Kilichomtoa Dkt. Msonde NECTA ni Kufaulisha sana bila mpangilio, Rais agusia leo, matokeo ya mwaka huu tutegemee heshima NECTA

Kwani watu wanafaulishwa au wanafaulu? Aache wivu kwa shule za kanisa, mbona Zenji hawafaulishwi?
 
Umeonaee!
 
Ndugu acha kukariri, siku hiz wakurugenzi wanateuliwa hata hawajawah Kuwa hta kwenye utumish wa umma, sembuse headmaster Tena unakuta amefanya vizuri kwenye kaz yake... Acha watu wale matunda.
Haya bas sawa.
 
Tunakutana nao advance na chuoni, tunawajua vizuri.
Ukitaka kuamini, mchukue huyo wa st francis afu advance akasome GVT utaona sasa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuliwaambia kipindi cha jpm huu ujinga wa sant sijui nini kufaulisha wanafunzi wote ulipotea kabisa sasa umerudi tena kipindi cha mama
Kwani tangu aingie mama kuna form four ngapi au form six waliyomaliza ?au ndio chuki tu kila jumba bovu unamuangushia yy
 
Tuliwaambia kipindi cha jpm huu ujinga wa sant sijui nini kufaulisha wanafunzi wote ulipotea kabisa sasa umerudi tena kipindi cha mama
Aligeuza tu,saint Nini kuacha kufaulisha na kuanza kufaulisha saint Kayumba na kuongoza kabisa kitu ambacho si kweli hata kidogo...
 
HAKUNA aliemkamilifu
 
lakini hiyo dv 1 ulishawahi kuipata jamani...sema dv3 kweli ila sio 1 ndugu
 
Hii haikuamriwa ama kuanzishwa na Msonde. Mabadiliko ya muundo wa mitihani haianzii na kuishia kwa Msonde.
kuna mtu aliitwa magembe kama mnamkumbuka mmmhh tulisoma commerce with bookeeping
 
Mkuu, siku hizi humu JF kumejaa wajinga. Alichokiandika mleta mada wala hakina mantiki kabisa. Wala haelewi hata michakato ya mitihani inaendaje mpk matokeo kutolewa.

Na wajinga wenzie wanatoa maoni kama mazuzu. Hata hayajiulizi
unatakiwa kuchangia hoja sasa,sio kudhihaki hauko sawa...hoja iko mezani changia kwa muono chanya sio kukashifu
 
kuna mtu aliitwa magembe kama mnamkumbuka mmmhh tulisoma commerce with bookeeping
Hapana. Aliyeunganisha physics/chemistry na kufuta Commerce, bookkeeping na agriculture alikuwa Joseph Mungai
 
Mimi mpaka kesho sikubali hii system ya one ya saba hata wachimbachumvi.

Warudishe system ya zamani za usahishai zile grade za miaka ile

A -81

sio A-70[emoji15]

ili tujue nani ni nani.

Na hio mitihani wakaze kidogo

Tunajenga Taifa ya wachimbachumvi wanaofaulu kwa mseleleko.
 
Yani inabidi waweke penati kwa hesabu pia na gs a level
 
Mambo ya kutambia chuo yalishapitwa na wakati

Udsm chuo cha kawaida tu siku hizi wala hakitishi.

Kimebaki na jina kubwa tu

Hata wachimbachumvi wanasoma udsm siku hizi na wanagraduaate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…