Kilichomuua Ally Sonso hiki hapa, wachezaji, klabu zamlilia

Kilichomuua Ally Sonso hiki hapa, wachezaji, klabu zamlilia

Kwahiyo ni ugonjwa gani huo wa ghafla?.maana alikua safarini na timu sasa sidhani kama angekua mgonjwa muda kidogo nyuma asingeonekana ata wakati wa mazoezi hadi timu iambatane naye kwenda mwanza.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwenye uwanja wa ‘Kitabibu’ kitu unachokiona wewe ni kidogo lakini si kidogo. Ndio maana kuna hospitali.

Je,unajua kama hata ukijikwaruza kidogo tu inaweza ikapelekea matatizo kama hayo kama tiba sahihi isipotolewa?!
 
Nakitafuta Kilichomuua huyu Sonso Kwenye hili Bandiko Lako bado Sijakipata...! Au hujamalizia?
Wachezaji wengi hupenda sana kubeba Mizigo ( Hirizi ) za Klabu katika Mechi na pia Kuzunguka mno kwa Waganga Kujiganga hivyo ukikosea tu Masharti lazima Mabalaa yatakupata na hata Kufa.

Walichokosea kwa Marehemu baada ya Kugundua kuwa walimpeleka kwa Mganga wa Kienyeji Kutibiwa pale alipozidiwa wangemuachia hilo Jukumu Mganga na siyo Kumuwahisha Hospitali ambapo alipigwa Sindano ambayo huwa haipatani na Miiko ya Uganga kwani Damu huwa inatoka na ndiyo huwa Chakula Kitamu cha Jini lolote lile

Naomba niishie hapa.
 
Tetenasi inaua haraka sana. Baba mkwe wangu kidogo imuondoe.

.. Utakuta hakuchoma Sindano ya Tetenasi na alipata infections.
Kuna ma virulent bacteria kibao yanaweza kuwa yameingia hapo mguuni... Sindano ya Tetanus peke yake haitoshi... inawezekana cancer pia... Bob Marley alikufa na kansa ya kidole cha mguu...

Lakini nimeshangaa sana, nimesikitika, nimecheka aliposema "nimetupiwa jini..."

Karne ya 21, a public figure anaamini kuna majini ????? hahahahahaaaaaaa.....
 
Unanikumbusha ...Prof.Ngware alisema kana umeanza kula protein ukubwani unawapa shida sana walimu ...yaan unasoma michango yote hujaelewa...au umeingia tu ukakimbilia kuchangia
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]...hata Mimi nimemshangaa JF hapa amefikaje Kuna umuhimu kubadili entry requirements za kujiunga Jf ,usishangae anamiliki degree ,Ila kusoma na apate point kwenye bandiko kachemka...kweli protein ukubwan
 
Kichwa cha habari kimeandikwa kijinga sana....hizo sababu hapo ziko wapi?..

Waswahili sisi tuwajinga sana na sijui hata tungeishije bila uwepo wa Mataifa mengine ya Watu wanaotumia akili.

Tunafanya mizaha tu na ujinga ujinga bila kujali uzito wa jambo.

Taarifa ya kifo cha huyu Mchezaji ni za kushtua na kuogofya kwa wengine haswa wanaocheza na wanaotamani kuja kucheza kama yeye, wanahitaji taarifa kamili na za uhakika za nini kimemkuta Mwenzao na si kuandika tu hovyo.

Kabla kuja kuandika kwa nini Mtu usitafute taarifa za kutosha kujua tatizo ni nini?.

Kuna kila dalili kuwa Kijana alipata tatizo ambalo sio yeye au Wanaomzunguka walikuwa tayari kuchukua hatua za dharura kutibu tatizo...au la hakukuwa na uchunguzi wa kutosha kujua kinachomsibu, au matibabu sahihi yaliwekwa kando na kuzingatiwa matibabu mbadala yasiyo na uhakika, au la Kijana alikuwa na tatizo la ziada lisilo la kawaida (rare desease) ambalo likasisimuliwa na jeraha alilopata mchezoni n.k.

Kusema tu kuwa kalogwa au katupiwa majini ni ujinga ambao Mtu unapaswa kubaki nao na sio kuusambaza kwa wenzako, maana sio wote wana akili nyepesi zisizo na uwezo wa kuhoji jambo kwa makini.

Tuwe serious kwa mambo serious.
 
Kuna ma virulent bacteria kibao yanaweza kuwa yameingia hapo mguuni... Sindano ya Tetanus peke yake haitoshi... inawezekana cancer pia... Bob Marley alikufa na kansa ya kidole cha mguu...

Lakini nimeshangaa sana, nimesikitika, nimecheka aliposema "nimetupiwa jini..."

Karne ya 21, a public figure anaamini kuna majini ????? hahahahahaaaaaaa.....
Nadhani ni cellulitis hiyo.Alihitaji broad spectrum antibiotics
 
Jamaa anadai kabla ya game ya ruvu vs Simba huko ccm kilumba alihisi maumivu wa mguu akaongea na daktari wao akampa dawa ya kutuliza maumivu ..

Kesho yake pia akaona maumivu yanazidi basi kwenye hiyo game hakupangwa.. lakini akaanza kuona mguu unavimba kama tende akaongea na daktari wao wakampeleka muhimbili kwa matibabu zaidi

Basi baada ya matibabu hapo muhimbili akaomba akatabiwe kwao.. maana taarifa alizo zipata ni kwamba katupiwa jini

Basi mguu ukaendelea kuoza na kuharibika kabisa.. huko kwa mtalaam

R I p sonso
Chaaa!
Kumbe ni mambo za kalumalinzila tena !
 
Kuna daktari mmoja niliongea nae aliniambia sijui ni ugonjwa gani ila jamaa mwenyewe alikataa kuendelea na tiba mpaka ikafika wakatoroka hospital kwenda Tanga kwa waganga wa kienyeji aliamini amelogwa ila ule ugonjwa ulikuwa una tibika vizuri hospital.
 
amakweli "a man rise or falls by his own principles".
 
Kwa hiyo hapa kikichomuua ni kipi kama ulivyodai kwenye kichwa cha habari hapo?
 
Jamaa anadai kabla ya game ya ruvu vs Simba huko ccm kilumba alihisi maumivu wa mguu akaongea na daktari wao akampa dawa ya kutuliza maumivu ..

Kesho yake pia akaona maumivu yanazidi basi kwenye hiyo game hakupangwa.. lakini akaanza kuona mguu unavimba kama tende akaongea na daktari wao wakampeleka muhimbili kwa matibabu zaidi

Basi baada ya matibabu hapo muhimbili akaomba akatabiwe kwao.. maana taarifa alizo zipata ni kwamba katupiwa jini

Basi mguu ukaendelea kuoza na kuharibika kabisa.. huko kwa mtalaam

R I p sonso
Mpira wa Kibongo uchawi mwingi sana msiwaone kina Bocco, Mkude, Shabalala wanakomaa mpaka leo washachanjwa sana
 
Back
Top Bottom