Kwenye uwanja wa ‘Kitabibu’ kitu unachokiona wewe ni kidogo lakini si kidogo. Ndio maana kuna hospitali.Kwahiyo ni ugonjwa gani huo wa ghafla?.maana alikua safarini na timu sasa sidhani kama angekua mgonjwa muda kidogo nyuma asingeonekana ata wakati wa mazoezi hadi timu iambatane naye kwenda mwanza.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wachezaji wengi hupenda sana kubeba Mizigo ( Hirizi ) za Klabu katika Mechi na pia Kuzunguka mno kwa Waganga Kujiganga hivyo ukikosea tu Masharti lazima Mabalaa yatakupata na hata Kufa.Nakitafuta Kilichomuua huyu Sonso Kwenye hili Bandiko Lako bado Sijakipata...! Au hujamalizia?
Kuna ma virulent bacteria kibao yanaweza kuwa yameingia hapo mguuni... Sindano ya Tetanus peke yake haitoshi... inawezekana cancer pia... Bob Marley alikufa na kansa ya kidole cha mguu...Tetenasi inaua haraka sana. Baba mkwe wangu kidogo imuondoe.
.. Utakuta hakuchoma Sindano ya Tetenasi na alipata infections.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]...hata Mimi nimemshangaa JF hapa amefikaje Kuna umuhimu kubadili entry requirements za kujiunga Jf ,usishangae anamiliki degree ,Ila kusoma na apate point kwenye bandiko kachemka...kweli protein ukubwanUnanikumbusha ...Prof.Ngware alisema kana umeanza kula protein ukubwani unawapa shida sana walimu ...yaan unasoma michango yote hujaelewa...au umeingia tu ukakimbilia kuchangia
Nadhani ni cellulitis hiyo.Alihitaji broad spectrum antibioticsKuna ma virulent bacteria kibao yanaweza kuwa yameingia hapo mguuni... Sindano ya Tetanus peke yake haitoshi... inawezekana cancer pia... Bob Marley alikufa na kansa ya kidole cha mguu...
Lakini nimeshangaa sana, nimesikitika, nimecheka aliposema "nimetupiwa jini..."
Karne ya 21, a public figure anaamini kuna majini ????? hahahahahaaaaaaa.....
Chaaa!Jamaa anadai kabla ya game ya ruvu vs Simba huko ccm kilumba alihisi maumivu wa mguu akaongea na daktari wao akampa dawa ya kutuliza maumivu ..
Kesho yake pia akaona maumivu yanazidi basi kwenye hiyo game hakupangwa.. lakini akaanza kuona mguu unavimba kama tende akaongea na daktari wao wakampeleka muhimbili kwa matibabu zaidi
Basi baada ya matibabu hapo muhimbili akaomba akatabiwe kwao.. maana taarifa alizo zipata ni kwamba katupiwa jini
Basi mguu ukaendelea kuoza na kuharibika kabisa.. huko kwa mtalaam
R I p sonso
Daktari ahojiwe... alihisi maumivu wa mguu akaongea na daktari wao akampa dawa ya kutuliza maumivu ... Kesho yake pia akaona maumivu yanazidi
Mwanaume unaanzaje kumwita mwanaume mwenzako wangu? Au mm ndio Niko tofauti maana naona Neno "wangu" linafaa Zaid Kwa Ke kuliko Me.[emoji1541][emoji1541]View attachment 2117205
amakweli "a man rise or falls by his own principles".Kuna daktari mmoja niliongea nae aliniambia sijui ni ugonjwa gani ila jamaa mwenyewe alikataa kuendelea na tiba mpaka ikafika wakatoroka hospital kwenda Tanga kwa waganga wa kienyeji aliamini amelogwa ila ule ugonjwa ulikuwa una tibika vizuri hospital.
Mpira wa Kibongo uchawi mwingi sana msiwaone kina Bocco, Mkude, Shabalala wanakomaa mpaka leo washachanjwa sanaJamaa anadai kabla ya game ya ruvu vs Simba huko ccm kilumba alihisi maumivu wa mguu akaongea na daktari wao akampa dawa ya kutuliza maumivu ..
Kesho yake pia akaona maumivu yanazidi basi kwenye hiyo game hakupangwa.. lakini akaanza kuona mguu unavimba kama tende akaongea na daktari wao wakampeleka muhimbili kwa matibabu zaidi
Basi baada ya matibabu hapo muhimbili akaomba akatabiwe kwao.. maana taarifa alizo zipata ni kwamba katupiwa jini
Basi mguu ukaendelea kuoza na kuharibika kabisa.. huko kwa mtalaam
R I p sonso