KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,320
- Thread starter
- #281
Kuna aina ya watu ambao huwa nawaita WATU WALIOJAA UJINGA WA FRIKA NA KUUMWA UMIMISina la kuongezea...[emoji116][emoji116]
Kwanin mtu anapojaribu kuongea ubaya aliouona katika uzuri wako mnamuweka kundi la asiyejielewa wala asiyejua maisha?
sio lazima umjue Mungu ili ujue thamani ya upendo,
Unapaswa kujua thamani ya utu na kuelewa maisha yetu baasi.
sasa unanipa shida sana kujua uhalisia wa maisha yako katika maamuzi inapofikia hutaki watu waongee mabaya wanayoyaona
nakukumbusha tena forex nisawa na mpango mkakati uliofanywa kuwaweka africa nyuma kimaendeleo hasa kuwapotezea muda wao.
mtu anafanya kazi analipwa laki 4 kazini anakaa masaa 8-10 na bado anafanya forex tena eti extra income kweli akili au matope?
jifunze kujifunza kwanini wengine wanapinga utakuwa na sababu za msingi sana kuwapinga au kujielewa wapi haujajielewa