Kilichonifanya niachane na forex ni hiki hapa

hpa ndo mnapoliwa..
speculation is probability, currency CFD is among application of probability in real life and that application we terms it BUSINESS, if you believe probability is a business ongeza juhudi, and if you don't pita kushoto, the probability to be a business you must have knowledge, if you don't have knowledge don't term it business. uhakika wa kuita biashara ni proportional na maarifaa sahihi. najua niwachache wanaofanikiwa, ila kupitia hao wanaofanikiwa ndo tunadhibitisha kuwa ni biashara

ni sawasawa na kujihusisha na uranguzi wa mafero ya mchanga wa dhahabu, unaponunua lundo ukapiga chabo, hio chabo si uhakika kwamba ukisaga hayo mafero utapata gramu nyingi, ila maarifa yako yanaweza ongeza or maxmizing your probabilty to achieve more ng'anaazi! hicho kitendo cha kulangua fero ni BIASHARA na unalipia leseni TRA, japo tunasema ni probability business, na hizi mambo mala nyingi risk huwa ni kubwa so kupata pesa nyingi inawezekana na kupoteza inawezekana,

inaweza kuwa tofauti na biashara nyingine kwasababu zenyewe unatarajilika slowly na pia unanfilisika slowly, ile kugain slowly watu wana term kuwa uhakika ahahahaha! na probability game inaweza ukaitune uongeze uhakika wa kugain slowly na kufilisika slowly, na pia unaweza uitune ukagain fast na ufilisike fast tofauti na biashara zingine huweze tune magunia ya mchele uyapandishe bei juu fast na ugain fast hapana, ila unaweza yatune bei uishushe ufilisikee mapema, so inakuwa free kwa upande mmoja na closed upande mwingine, ila forex iko open pande zote za kutune

summary
forex , tune more slowly gain and loss more slowly also tune more gain and more loose

other business, tune more slowly gain and more slowly loose and also tune more loose and slowly gain or no gain

huyo mr hapo juu kadepost 10, lakini now inasoma 17 hapo ni trade moja tu na ukute ni siku mbili tu, sasa kapandisha profit ya 7usd kutoka 10usd amabyo ni sawa na 70% ya capita yake, kitu kwa biashara zingine ni ngumu coz ninategemeana ugain slowly hadi kufika breakeven, yaani kweli uzungushe 10million then after three days upate faida ya 10million, hapana ningumu sanaa
ILOVE FOREX, sitafuti wateja, sihitaji TIN, nawithdraw muda wote, pesa napata kimykmya pasipo jilani kujua kama nimehila, nafanya mipango kimyakmya na vilevile napoteza kimykmy huwezi jua hadi nikuambie mahitaji yangu ni bando,simu/laptop, cfd account,maarifa, na capital yangu kuanzia 25000tsh nachekelea huku naangalia shuguli zingine za kupunguza kitambi uzembe.
 
 
wabongo bwana !.kila kitu wanacho kiona wanataka wakifanye.
wewe kama umeweza jambo fulani fanya.sio mwenzako kafanya hivi na wewe unataka kufanya ili kesho uje kulalamika sio biashara.

kuna watu maisha yao ni betting,forex,madini na n.k
kwa vile unaona watu wanapata pesa na wewe unataka ukipigwa unakuja kulalamika hoo sijui madini ni kazi ya umaskini,hoo sijui betting au forex ni kubahatisha.

kama kazi yako kuuza duka au kuchimba kokoto jikite
 
Watu wamemaliza chuo degree miaka na miaka na hawana kazi

Wengine miaka hata 10 ,je degree ni utapeli,je chuo ni utapeli!!? Maana unamaliza kusoma na hakuna uhakika wa maisha sio tu kwamba tuseme elimu utapeli.

Maana kuna ambao hawana kisomo na wana maisha mazuri kuliko wenye kisomo.

Kwenye elimu wapo wanaofanikiwa na wapo wasiofanikiwa

Mfano tuseme mleta ameshidwa pata degree ndio tu conclude elimu ni utapeli!?[emoji15][emoji2]

Ukindishwa kitu usiwe na tabia ya kusambaza sumu kwa aspirants

Ukweli ni kwamba either,

1.Uwezo wako akili ni mdogo kulinganisha na unachojifunza

2. Unatamaa na haraka ya mafanikio yaani overnight success.

3. Huna uvumilivu wala hujifunzi makosa yako

4. Hujapata taarifa na ujuzi sahihi waunachokifanya.

5. Mvivu

Nahii ina applya katika kila nyanja ya maisha.

Kun watu wanaishi hapo dar kwa FX nawajua na wanamaisha mazuri kuliko wengine humu wenye kejeli na hawana mishe ingine yeyote.

Kitu kama huna interest nacho usikejeli usivyovijua

Tabia za kitanzania kufata mkumbo kwenye kila kitu tuache.

Jambo usilolijua ni sawa usiku wa giza
 
Mbona unatuchanganya ilitakiwa utuambie mwalimu aliyekufundisha forex huo mwaka wa 2013 yupo wapi sasa

Huyo sir Jeff au Ontario hajakufundisha chochote unamungizaje kwenye mada

Hata darasani Somo la hesabati liliwashinda na linaendelea kuwatesa wanafunzi mpaka sasa, kwahiyo hisabati nalo ni utapeli ?

Kalime matikiti mkuranga

Forex it's not for everyone
 
Kumbuka anasoma 20yrs almost na bado anahitaji miaka si chini ya 10 afanye kazi awe professional level.
Unamjua highway Engineer or resident Engineer wanaosimamia miradi kikubwa kabisa like bwawa la nyerere ama ujenzi wa reli sgr ama viwanja vya mpira huko Qatar wanachukuliwa wakiwa na uzoefu si chini ya 20 miaka katika fani.
Hakuna kirahisi duniani.
Kusoma umesoma na unaweza usisome right education na bado hujaingia kazini ukifanyie kazi ulichosoma mkuu.
Hii achana nayo Ila Sasa usitake kumfanya kila mtu aiache.
Naomba unikumbushe hapa hapa baada ya miaka 5 mbele kuanzi 2022 kuwa nimefikia wapi na Nina Nini nitaku prove wrong your mindset
 
Dogo umeiva lazima tutembelee Wall Street one day,Tokyo stock , Singapore, Sydney, Frankfurt,Paris, London n.k.
Nimepiga salute mkuu uko kwa njia sahihi ongeza bidii sana. Don't be satisfied where are you.
Keep on pushing yourself. Hakuna kanuni ya kujenga like goli la mpira wa kikapu Ila jamaa wanarusha mipira takribani alfu kumi baadaye wanaanza kuwa na Ile intuition.
Trade trade trade until it becomes second nature
 
MKUU UMEPIGA KWENYE MSHONO
 
maana kupitia forex nilitaka hadi inapofika 2030 walau ukoo wangu niwe nimeutengenezea hata ma bilionea zaidi ya kumi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kafanye biashara itakayokupa hao mabilionea sasa.
Tatizo vijana mnatamaa sana,mnataka mambo yaende very fast.
Be Patient man.
 
Asante kwa somo. Umeeleza umeeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…