Kilichonifanya niachane na forex ni hiki hapa

Please be informed that in order to protect our clients and our firm from any potential extreme market volatility, USDRUB is set to close-only effective immediately.
 

Aisee nimependa Sana uchambuzi wako na udadisi wako ktk biashara ya forex.

Lakini na Mimi pia Nina idea ninayoina inaweza kufanya kazi kwa trader yeyote

1. Kwenye Forex unaweza kuwa na Setup ile ile ya Jana ukaingia Kama Jana lakini Jana ikakupa pesa kesho ikakaunyima pesa vizuri tu.

2. Kwenye Forex Kuna kitu kinaitwa zero sum game theory Yani Kuna participants wapo connected na mabroker na special wapo kwaajiri ya kupata pesa na sio kupoteza so wao huwa wanajua kabisa wangapi wamebuy this pair na wao wakisell kwa uzito gani candle zitarespond kwao (Kama 3mzuka) na retail kuchoma au kuhit stoploss zao eg Nssf watrade pesa za wafanyakazi uko afu utegemee Nssf wapoteze pesa zao ni uongo.

3.sasa mbinu kubwa Sana ambayo mm naona inaweza kukupa pesa huko ni °kuingia setup zile zile unazozifaham usichange change the way u trade.

°kwasabuabu soko lipo kwaajiri ya wewe upoteze pesa af ao ma huge perticipants wavune mzigo Sasa wewe usiweke stoploss kwa kufuata mfumo wa vitabu vya fx au mentors comments wew weka stop loss kwa kuangalia I need to lose very small and hold more profits
Kuna kibabu kimoja iv ndo kinashikiria historia ya kuwa most profitable & pro trader of fx tangia ianze kinaitwa George Soros kilitoa ushauri mmoja ivi konki Sana kuhusu hii forex kilisema:

"ili ufanikiwe kwenye forex suala sio kupata faida au hasara ila suala ni unakuwa umepata faida kiasi gani in comparison na hasara kiasi gani."

kiufupi apo nikagundua hutakiwi kudeal ana na ma strategy strategy ila unatakiwa uangalie your trading account history ktk mt4 au 5 yako ndo inakuwa Kama kioo chako bcz ukipata asala itakaa uko na faida itakaa uko so jukumu kubwa la kulipambania ni kuweza kumaintain positive account history kwa day,week, month, 3month, 6month and more.


So cut your loss very very quickly ikikushinda tumia ata swings za 1min charts kuweka stoploss af tp consider your setup za kuanzia 4hrs+ Sasa ata Kama utalose setup 9 out of 10 let say kwa pips below 10 ambazo zoote unawinda not less than 150 pips basi it's 100% possibly kuwin setup 1 ambayo ni ya 10 ikiwa na return ya pips 100 na Sasa what if ktk izo loosing streak ya 10 pips ingekua mala 7 una lose af ukawin mala 3 out of 10. Your trading account history inakuwa in positivity and then ukimaintain hiyo habits basi linakuwa suala la kucompound tu Yan as time goes wew unaupdate lot sizes tu.

° remember the golden role hapo ni kuwa hakuna mafanikio ya haraka because utapoteza wee na lazima utapata setup ata 2 safi out of 10 so kuja kuwa na large amount of money ndo inaitaji subira na commitment like other business zinapokuwa kubwa within 5 - 10 years or even more than that.

4. Nilikuja kugundua forex Ina parts or phase kuu tatu (3) ambazo lazma uzipitie Kama trader
A. Age of technical analysis - apo ni
phase ya kutumia ma strategy kibao
ukidhani strategy ndo pesa.
B.Age ya psychology - apo ni phase ya
kuamini kuwa ela unaweza ukapata na
loss unaweza ukapata Sasa unajihisi
kuwa Kuna emotions zinakutesa.

C.Age ya ku fu*k attention ya mass
psychology + social medias about
trading fx na kupush mdogo mdogo
Yani slow gratification kiasi kwamba
it's you + your technique + your roles +
your plans + so it's you vs your fu*kng
shits kiasi kwamba ni chaguo lako
unaliishi kimya kimya bcz hauna wa kumtegea kwenye maisha yako so unapiga mzigo kimya kimya mbaka ufike stage ya kupata unacho kitafuta ata Kama ni kwa miaka 10.


5.forex ni biashara inayo cheza Sana na psychology yako binafsi ( ukishindwa kujiwekea Sheria na kuzifiata) basi jua ni shimo ilo Mimi pia nimechoma Sana tu because of psychology lakini nikaja pia kugundua njia moja ya trader kuhandle saikolojia yake: nikagundua kila trader anaudhaifu wake unaompelekea ale loss na uo udhaifu ndo akili yake na ndio ubongo wake 😄 Sasa njia pekee ya kudeal na psychology yako sio kusema I need to be consistent, discipline, patient wewe unahitaji 1st: trade ktk week 1 tu 😄af orodhesha makosa yako yoote uliyoyaona af ayo makosa yatengenezee Sheria ama katiba kuwa Sheria yangu nisirudie hili na hili na hili bro I swear utajikuta ayo masuala ya psychology yanakuwa under your control bcz ukiwa unafuata roles zako vizuri lazma discipline itajidhihirisha na consistency itaonekana tu sio wewe uanze kusema naitafuta hapana😄😄😄


Note: niwe muwazi nimeanza kujifunza in deep hii forex Jan 2017 - now 2022 Yani simaanishi kujifunza juu juu af naacha no Yan kila ninapokuwa na bundle nafatilia maforex tu most of time na nimefanya vitu vingi ma indicator, marobots, signals, nimeuzuria course sijui za akina sirjeff sijui akina nani uko😄😄 namaanisha nimeifatilia in deep nimefika stage mt5 au 4 naifanya Kama application ya kucheza game so it's my hobby. But I believe one day I'll make it because I love it and I'm committed to do it.

For more forex ideas check me 0744-08-9993 bcz mm sio fan wa JF nimepita pita tu na kucomment for free ili kuacha a small legacy kwa mtu ambaye anapush upande huu wa fx
 
Mkuu umefafanua kitaalamu sana na bila shaka umebobea sana katika FOREX
 
Mkuu umefafanua kitaalamu sana na bila shaka umebobea sana katika FOREX
Nifundishe forex
Mkuu nifundishe forex
 
Inaonekana hujui ishu inaitwa diversification. Humuoni Mo anamakampuni kibao hadi mkonge analima? Kwenye biashara usiweke mayai yako yote kwenye kapu moja. Ishu ya forex inarisk kubwa kwakua wengi hawataki kukubali yakua pair/indices au zile volatility zinaweza kwenda tofauti na analysis zao. Ni kama mkulima ufikiri kwakua ni majira ya mvua na umefuata mbinu za kilimo bora basi lazima uvune kama ulivyotegema, wakati kunaweza tokea mabadiliko ya hali ya hewa na ukatengeza hasara sana. Cha msingi kwenye forex ni kuzingatia uelewa (knowledge and analysis) wa soko, kudhibiti uoga na ulafi na pia kupanga kiasi cha hasara iwapo mambo yatakwenda tofauti. Sasa forex inaendeshwa na watu ama makampuni yenye fedha ndefu hivyo inaweza tokea tu mtu mwenye pesa akaamua kubuy au kusell huge wkt analysis yako ilikua inaonyesha kubuy mfano zamani alifanya George Soros hadi kuishusha pound. So kwenye mazingira haya ile hasara ulioipanga itaondoka na wewe utassess upya na kuendelea na soko. Ishu ya wengi utaanza kupingana na soko na kusema aaah hii lazima iende huku na utazidi kuongeza positions huku soko linaenda tofauti ila wewe utafikiri unamiliki pesa zote duniani utaendelea kulazimisha soko liende upande wako na mwisho unaunguza account. So kwa kifupi kwenye forex ni muhimu kujifunza vizuri na kufanya majaribio ikiwamo na kuweka mind yako vizuri.
 
i have been in thee game for the last three years since 2019, i agree that i have made big loses n less profits.

Forex trading real, the problem with you is that your greed n you want quick money it wont work
Forex is 80%waiting n 20% trading.
um in the game for life risk management is the key never fight the market, follow wht it is doing.
 
katika mt5 yako fungua demo account kisha rudi real account ukisha weka pair yako kaiweke sawa na kule kwenye demo kisha angalia na trading view same pair hiyohiyo utaweza kutana na kitu cha ajabu mno
Wewe ni muongo mkubwa nimekushtukia[emoji2]
 
Kwa hii commemt wewe ulikusa bado mchanga

Kila kitu kinafata mashrti yake hakuna kubadili masharti eti kisa unajiamini

Fuata huo utaratibu mwaka mzima uone kama utachoma account hasa kama njia yako ni ya ukweli.
 
Don't take Mo as reference Mana mo sio traders Wala investor Bali Ni businessman.
Sasa mie nakupa reference ya gwiji mmoja alisema diversification is for who don't know what are they doing, they aren't sure of their professionals. pia alisema risk comes of not knowing of what are you doing.Pengine nakubaliana na wewe. Hebu niambie Ni wapi gwiji ambao Ni traders ambao walimeki above $100M walikuja kujifanya Kama wanakupenda kukuelekeza wanakuuzia services of trading.
Listen if you really know this shit you make very fuckin money than selling trading services.
Show me the books written by Jesse Livermore,Joji Soros,Richard Dennis,William Eckhart,Bill lipschtiz, Paulo Tudor Jones.
Pia hao Wana brag mitandaoni wauze hata waonyeshe withdraw ya dola alfu kumi from broker to their Bank account uwaone watakavyotoa povu mkuu.
Listen teaching trading is very easy is like childish game but the real game is really played by men when real money is on the line.
Many can talk the talk but few can walk the walk when real money is on line.
You've to have a thick skin or ice cold in your blood vessels.
Kufundisha Vita Ni rahisi mno yaani mno mkuu,demo is like plastic bullets but the real fight with real risasi utakutana na wanaume wachache mno.
Kama hutaki shupaza kichwa. Pia Kama unaifanya hupati muda wa ku brag in social networks pia unakuwa hujaji master your mental emotions effectively.
Hebu check jamaa mmoja mjapani anaitwa Takashi Kotegawa alitoa akaunti from $13600 to $158M Sasa niletee video hata take moja alipokuwa anafundisha Kuna laki hapa mfuko wa shati nakupa.

Tunaishi dunia ya information yaani chochote ukitaka unakipata ndani ya sekunde. Sasa hatari tuliyo nayo Ni Aina gani ya real, genuine information.
Kizazi Cha saivi we've to be able to learn, to learn unlearn,to relearn,filter right information Mana kila mtu anaweza akaaandika hints za kiafya ingawa sio kuwa Yuko entitled to it,not answerable to it.
Trading Haina tofauti hakuna right education ambayo Ni easily available,kila mtu anafundisha alichosoma kwa pdf fulani.
Yaani Kuna education imejaa kila Kona Sasa je Ni right education jiulize Kama Ni right education why this industry has more failure rate?
It's impossible to fail in 50/50 but we fail.
Waandika vitabu pages za kufa mtu hawana rekodi za trading.
Cheers endelea kukomaaa sibishani Ila we share our experiences,pia sihitaji kuwa mshindi mie Ni kilaza napiga demo account so relax am still newbies.
Stay with your beliefs
 
Naona kuna ishu zinakusumbua sana kwenye mind yako. Ni hivi forex ni risk business hivyo watu wanatafuta namna ya kupunguza risk mojawapo ni hiyo kuwafundisha wengine au hata kuwa broker. So imagine ukiwa na wanafunzi 1,000 wakakulipa $50 kwa mwezi si chap umepata easy money ya $ 50,000!. Ninachokwambia sio kila biashara ni ya kila mtu hasa forex maana kwenyewe saikoloji ndio ishu kubwa sana sasa na wewe unataka kile unachoamini au kujua ndio kiwe always kwa akili hii forex huiwezi utapoteza sana pesa. Forex inataka ujue yakua soko linaweza kwenda vyovyote kwa wakati wowote lakini wewe unataka soko liende kama analysis yako kila wakati so utapigwa tu. Mfano leo akienda mfanyabiashara sokoni kariakoo akawa na magunia milioni moja ya mahindi anauza unafikiri nini kitatokea kwenye bei? ninachomaanisha wakati wowote kwenye forex anaweza tokea mwenye pesa say hedge funds au banks au large trader akaingiza sokoni big lot kutokana na mtaji wake hapo soko litamfuata yeye haijalishi set up au structure ilikuaje. Ukifaham hili always utalinda mtaji wako na kujifunza zaidi analysis. Forex sio rahisi na huku kuna wenye pesa na utaalam sana so ukiingia kichwa kichwa unaliwa tu. So for now jifunze kile unaweza fanya na kifanye always utapata odds za kuwin kubwa. By the way kwenye forex inafaa ujue hakuna strategy iliobora 100% ila kuna trader ambao ni bora 100% mfano anaweza kuwa na strategy yenye win ratio ya 40% maana yake ktk mfano trade 10 anakua sahihi 4 ila ktk hizo 4 anatengeneza mpunga mrefu zaidi ya alichopoteza hii ndio inaitwa consistency.
 
ivoooo
 

Attachments

  • F6C4701F-F6DC-4C9A-B59D-0C095BBD1BD9.png
    74 KB · Views: 31
Naona bado hujajua unachokifanya Sasa trading ndio Ina easy money sema kuzipata Ni ngumu. Trading is the hardest way to get easy money.
imagine ukiwa na wanafunzi 1,000 wakakulipa $50 kwa mwezi si chap umepata easy money ya $ 50,000!.
 
Listen analysts dont make money bro trust me. Wanafundisha trust me.making money isn't a function of your analysis.kumbuka unaongea na kilaza Kama wewe Ni guru sawa.
Forex inataka ujue yakua soko linaweza kwenda vyovyote kwa wakati wowote lakini wewe unataka soko liende kama analysis yako kila wakati so utapigwa tu
 
You're alright.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…