Kilichonifanya niachane na forex ni hiki hapa

wewe unataka kile unachoamini au kujua ndio kiwe always kwa akili hii forex huiwezi utapoteza sana pesa.
Sijakuambia kuwa ukiamini trading is like other shit in life so kila mtu Anazo beliefs zake sema uzuri your beliefs inapimwa na your trading account haifichi kile unachokifahamu mkuu.

Your true measuring your what you say you know
 
Forex inataka ujue yakua soko linaweza kwenda vyovyote kwa wakati wowote lakini wewe unataka soko liende kama analysis yako kila wakati so utapigwa tu.
Sipendi tuongee like Kama tunaoshena umwamba na kuhukumiana ama kutunishiana misuli. I don't like this kind of shit. Kama unachokifahamu just make money.

Most are attracted to trading because of the freedom it can bring and the near-zero physical work involved, just a click of the mouse. However, what goes behind the scene is seldom talked about and much less publicized.
 
So imagine ukiwa na wanafunzi 1,000 wakakulipa $50 kwa mwezi si chap umepata easy money ya $ 50,000
Baadae utakuja kuelewa kuwa walimu ambao hata hawana mtaala maalumu unaowaongoza sio trader mkuu.
Hii kitu Kama unaipata huwezi kujifanya eti unawapenda watu kuwa uwafundishe.
If there's an easy money none will force them to your pocket.
 
Understanding and doing are two quite different things. Wangapi wanajua sigara pombe kuzini Ni kubaya Ila hawawezi acha fanya.
To know and to do yaani haviendani na ndio Mana wengi wanajua Ila hawafanyi.

Unakubali kuwa Kuna rubbish books and teachers out there waiting kukuonyesha namna ya kumeki money badala ya yeye kumeki mane
 
No surprise that new traders will likely encounter the fear of the unknown because the picture is painted bright and rosy, till reality sinks in.

Most are attracted to trading because of the freedom it can bring and the near-zero physical work involved, just a click of the mouse. However, what goes behind the scene is seldom talked about and much less publicized
 
No surprise that new traders will likely encounter the fear of the unknown because the picture is painted bright and rosy, till reality sinks in.

Most are attracted to trading because of the freedom it can bring and the near-zero physical work involved, just a click of the mouse. However, what goes behind the scene is seldom talked about and much less publicized
Bishana na legendary ambaye hakufundisha na alianza zero mpaka $100M in 1929.
Napenda ukubali kuwa wanafundisha hawajaijua game mkuu. Huku Kuna easy money kuliko kufundisha
 

Merci nitafutie huyu alipofundisha ili ku diversify risk mkuu. Nadhani naomba tufunge mjadala Mana my mental capital is wasted.
Huyu watu eti Sasa wapo wanaojifanya kumtumia Kama kuwafundisha wengine mbinu alizokuwa anatumia. Ukitaka nitakuambia anayefundisha mbinu zake Yuko Dubai.
Nimeshindwa kuweka kiemoji Cha kucheka ama kufurahi.
 
Mi kilichonifanya niache forex, kuna siku nilikua natrade short, na chart zilikuwa zinaenda down in my favour, zimepass 21 pips, badala ya kuonyesha profit of 21 usd, instead ikawa inaonyesha loss of 21 usd, nikashangaa sanaa.. nikawacheck customer care, naona wananijib siasa nyingi. Baadae price line ikaoverturn ikawa above the selling price line(ask), heeh! Naona still inaonyesha Γ±egative.. ikiwa above, negative(loss), ikiwa below, negative(loss).

Nikagundua hawa jamaa kumbe wanao uwezo wa kucontroll chart na balance wanavyotaka, wakiamua. Nikaclose trade, nikawithdraw balance yote iliyobaki, nikaachana nao, shenzi sana. Nilimind kinoma.
 
Wewe ni muongo[emoji2]

Maelezo Yako ni uongo pure
 
Umeiva tayari mkuu.
 
Nakuomba cheki wazungu wanavyofanya kazi mkuu,hawafanyi uaminifu kwani umefungua nyumba ya ibada ili uaminifu wako ututeke ili tutoe sadaka kweli.
Jaribu kufanya kitu kiwe genuine,let say ukafa ama mie nikafa nitapataje haki yaangu. Jaribu kuomba ushauri ufanye kitu yaani mtu anaagiza Hana presha ivi unajua ishu za hela lakini..haya wewe nitumie tv 52" kwa uaminifu ikifika mpaka kwangu nikakaa nayo like mwezi ndio nikutumie hela. Ngoja tuone iyo Imani kwako Kama inafanya kazi.
Dunia ya saivi sio kutumia ule ujamaa wa kiafrika wa maisha ya kuishi ki community ama kijamaa ya kimasikini kusaidiana panapo shida mkuu ama kuoneana huruma.
Hivi USA huwa wanafanyeje mazishi Kuna wanazengo kweli Mara huku unatishiwa kuwa hatuji msibani unadhani Kama wanakuja kumfufua marehemu
 
Mkuu na weww tuwekee screenshots za withdrawals za hio 6350...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We pengine primary ulisoma miaka 7,, secondary pengine adi 4 four miaka 4 km ulienderea 5 & 6 miaka miwili na chuo miaka 3 lengo uwe mtu wa aina flani hivi kitofauti,,, swali,,,, je kwenye foreign exchange au forex ulitumia miaka zaidi ya 8 ili ujue nn kianendaea huko Dunia ya kwanza ???? Au uliwaza kalala maskini ukiamka tajiri Alf utemberee Aud Y6 ,,, V8 kupitia Forex,,,, kumbuka'' If there's no struggling there's nothing progress....!!!! Forex haiwezi enda vile utakavyo bila kujua economy data release kwenye financial markets.
 
Forex sio ya kila mmoja wetu,ukweli uko hivi wenye forex yao wako kimya sana na hutaona wanachangia kitu hapa.Cha msingi tuliopigwa na forex tuendelee na matanga faraja iko mbele kwa kufanya mengine nje ya forex.Wenye liforex lao waacheni wasonge na wanaotaka kuingia huko forex waende tuu no one know tomorrow.
 
Hivi ni kwanini komment zako nyingi huzipost usiku mnene tu, saa 6,7 8,9 10 au 11 alfajiri?
 
Uliposema tu habari ya KUCHEZA forex na sio kufanya kama kazi ..nikajua bado una uelewa MDOGO SANA TENA FINYU KABISA kuhusu FOREX...forex HATUCHEZI....Tunafanya kama kazi na sio BETTING....Usilolijua hata hao MABROKERS pia ni matrader wazuri na baadhi yao waliweza propose trading theory...mfano mzur n #WYCKOF....Ushauri wangu kama unaanza kutradi FOREX achana SCALPING ...ila trade INTRADAYTRADING na SWING TRADING...Kojoa ukalale mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…