Kilichonikuta Mlimani City: Nimekula chakula na kupewa bili kubwa nisiyotarajia

Huyo ni msuka nywele kama wewe, sio Men huyo!
Sisi wasukuma hatuwezi kuishi Dar kwa kula chips aiseeeeee.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Tulicho kifanya ni kuwaleta wanaume wawili tu wakisukuma ili waje wawatawale kuwasaidia kuwadhibiti wale watoto "panyarodi" huko Dar......[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
"Pole mwana ila wenzako wenye pesa zo huwa wanakulaga bila hata kuuliza bei na bili ikija wanalipa tuu kiroho safi"
 
Mimi Dar siwezi kuja mkuu, huo mji mimi siwezi kupishana na wanaume warembo kama dada zao....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kwani umeombwa uje? Mji wenyewe umejaa sana unafanya vuzuri kubaki huko Kolomije, hamasisha na wenzio wabaki huko maana mkija huku mnabeba na tabia zenu za porin
 
pole na hongera lakini si ulipewa risiti mbele ya yule muhindi?
Hiyo ndiyo price discrimination.....
Hapo kodi ni kubwa,mazingira mzuri,hali ya hewa nzuri tena kwa sasa wameboresha zaidi na pia kuna usalama kuanzia wa chakula chako hadi wewe....
Na wi-fi alipata huyo jamaa
 
Acha tuchangie mkuu...hio 5000 kitaa chips kuku unapata.
Ila mkuu tunachangia nyingi sana ukilinganisha na huduma zinazo turudia ukijumlisha bandali mali asili kuna vitu ilitakiwa visiingizwe kwenye hii kodi umeme tunauziwa kwa bei kuna faida hapo wanapata kuna service chag hii inalipwa tuu sijui kwa nini na kila yunit tunalipa
 
Kwani umeombwa uje? Mji wenyewe umejaa sana unafanya vuzuri kubaki huko Kolomije, hamasisha na wenzio wabaki huko maana mkija huku mnabeba na tabia zenu za porin
Bora tuendelee kubaki huku Coll Me J, maana huyo mmoja tulie mleta hapo Dar anawapeleka puta hata mnashindwa kuhema wallah....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Nilienda na ex wangu kipindi fulani kuagiza sambusa mbili msimbaz ukakatika hapo hapo
 
Mkuu hio mada itaharibu mood ya TGIF
 
Mngeenda kununua uswahili. Muwarudishie vinywaji vyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…