Wa mjini wala hatupi shida. Wanaolialia ni wakuja ndio wanapata tabu....na bado mtarudi wote porini huko. Si umesikia kasema mpaka lini sijui atakaebaki Dar mwanaume.....so far waliorudi wa mkoaniBora tuendelee kubaki huku Coll Me J, maana huyo mmoja tulie mleta hapo Dar anawapeleka puta hata mnashindwa kuhema wallah....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahahhaha....hela iliniuma hadi kichwa kiliniuma nikiwaza 79000 ya konyagi jamani!Mngeenda kununua uswahili. Muwarudishie vinywaji vyao
Wanaume wa Dar ni tatizo sana aiseeeee........22000 ndo unaanzisha uzi??really??
Ila kweli kama ameweza kufanya shopping mlimani city nadhan hawezi shangaa bei hiyo ya chakula maana vitu tu vya mliman vina bei mara tatu ya vitu vya sehemu nyingine sasa nadhan anazingua tuSasa unawezaje kufanya shopping mcity ukashangaa 22,000 ya bili ya msosi? Au ulienda kifanya window shopping?
We differ boss22000 ndo unaanzisha uzi??really??
No,kuna vitu mliman city ni bei chee kuliko mtaan,mfano vyakula ,vinywaji na vipodoz vya kwenye supermarketIla kweli kama ameweza kufanya shopping mlimani city nadhan hawezi shangaa bei hiyo ya chakula maana vitu tu vya mliman vina bei mara tatu ya vitu vya sehemu nyingine sasa nadhan anazingua tu
Mnavyotubeza wanaume wa Dar! Sasa hizo ndizo sehemu tunazowapelekaga wanawake wa Dar. Yani tunasimamia show za kibabe bili ikija- laki na ushehe... Sio hao wanaume wenu wa mikoani wakiwatoa outing bill sh elfu tano alafu wanajifanya kuongeea.
Acha zeleu jombaaMnavyotubeza wanaume wa Dar! Sasa hizo ndizo sehemu tunazowapelekaga wanawake wa Dar. Yani tunasimamia show za kibabe bili ikija- laki na ushehe... Sio hao wanaume wenu wa mikoani wakiwatoa outing bill sh elfu tano alafu wanajifanya kuongeea.
Uwiiii pole mkuu mimi nilienda arusha kumfata hubby so jioni akaniambia twende impala sasa hubby yeye ni mzee wa konyagi always akaagiza konyagi yake na mie nikaagiza savana yangu +indian food ile kumaliza tunataka kuondoka tukaomba bill lohh kuangalia bei ya konyagi ni tsh 79000 nilishangaa sana na hela iliniuma sana kwa kwl duh.....siku ya pili gold crest tukaenda inauzwa 45 kitu kama hicho!! Nikasema shkamoooo arusha
Kwa muandiko huu....Pole xn ndo umejifunza hko nzur hyo
Hapo ndipo tunawakamatia wao ngoja. Kwanza restaurant pale zina,menuSasa unawezaje kufanya shopping mcity ukashangaa 22,000 ya bili ya msosi? Au ulienda kifanya window shopping?