REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
πππ huu ndio uzuri wa JF tunamalizana humu humu ukisoma ulichoandika hapa na shutuma ulizopewa humu kuwa umemuuza kapendela kwa vyombo vya dola basi hakuna ubishi kuwa kweli bro ulimuuza kabendela hivi madudu na ujinga wa makonda kweli wakumtetea au kwakua ni home boy mwenzako kanda ya ziwa mojaNaunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, Wamarekani are outsiders, hivyo media ya Tanzania imeshikamana na mteule na kuwapuuza mabeberu.
Sasa inasaidia nini wakati Radio nyingi zinajiunga na BBC, DW, VOA na RFA na watu wengi ukifika wakati huo wanasogea kwenye redio zao na hapo wanakutana na hiyo habari ikiwa ya moto?Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, Wamarekani are outsiders, hivyo media ya Tanzania imeshikamana na mteule na kuwapuuza mabeberu.
P
Magazeti pendwa yamemtwangia mbali huko. Full kumuanika mshenzi huyoNimefungua redio nasubiri kusikia magazeti yatasemaje na kwa uzito gani. Kama hayaipi uzito habari hiyo nitasikitikia sana media zetu
Nimefungua redio nasubiri kusikia magazeti yatasemaje na kwa uzito gani. Kama hayaipi uzito habari hiyo nitasikitikia sana media zetu
MayallaNaunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo vs mabeberu applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, amekuwa condemned unheard na mabeberu Wamarekani ambao ni outsiders, hivyo media ya Tanzania zimeamua kutanguliza uzalendo kwa kushikamana na mteule mzalendo mchapakazi Makonda na kuwapuuza mabeberu Wamarekani na vibaraka wao waliotamalaki mitandaoni.
P
Haha haha mutuka munene kangii nzeraa wapi papaa mayalaNaunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo vs mabeberu applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, amekuwa condemned unheard na mabeberu Wamarekani ambao ni outsiders, hivyo media ya Tanzania zimeamua kutanguliza uzalendo kwa kushikamana na mteule mzalendo mchapakazi Makonda na kuwapuuza mabeberu Wamarekani na vibaraka wao waliotamalaki mitandaoni.
P
Nakubaliana nawe isipokuwa sentesi yako ya mwisho pale ulipoandika neno "ZEZETA"Unajifanya kuwa hujui katika nchi ya puerto rico vyombo vya habari vilishawekwa mfukoni siku nyingi?Unajifanya ugandamizaji wa uhuru wa kujieleza pamoja na uhuru wa habari uliotajwa na michael pompeo kwenye lile tamko lake huujui?Wewe unaishi nchi gani au ni zezeta tu usiefuatilia vitu?
SenselessNaunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo vs mabeberu applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, amekuwa condemned unheard na mabeberu Wamarekani ambao ni outsiders, hivyo media ya Tanzania zimeamua kutanguliza uzalendo kwa kushikamana na mteule mzalendo mchapakazi Makonda na kuwapuuza mabeberu Wamarekani na vibaraka wao waliotamalaki mitandaoni.
P
Hahaha, "Uhuru wa habari", Serikali ya USA inataka Serikali ya Tanzania iwapatie raia wake Uhuru huoNaunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo vs mabeberu applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, amekuwa condemned unheard na mabeberu Wamarekani ambao ni outsiders, hivyo media ya Tanzania zimeamua kutanguliza uzalendo kwa kushikamana na mteule mzalendo mchapakazi Makonda na kuwapuuza mabeberu Wamarekani na vibaraka wao waliotamalaki mitandaoni.
P
I see watu wanapenda sana mabeberuMayalla kikwetu maana yake NJAA
R
Na hii pekee itawaacha hao traitors katika aibu kubwa....Umoja wa Tanzania umeonekana jana na kuwatenga wale waliotanguliza maslahi yao binafsi peke yao kama yatimaNaunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo vs mabeberu applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, amekuwa condemned unheard na mabeberu Wamarekani ambao ni outsiders, hivyo media ya Tanzania zimeamua kutanguliza uzalendo kwa kushikamana na mteule mzalendo mchapakazi Makonda na kuwapuuza mabeberu Wamarekani na vibaraka wao waliotamalaki mitandaoni.
P
Kama ni ujinga au uzalendo utaiona as from next weekHahaha, "Uhuru wa habari", Serikali ya USA inataka Serikali ya Tanzania iwapatie raia wake Uhuru huo
Wamarekani wanataka Watanzania wapate haki yao ya msingi ya kupata habari za uhakika na za kweli
Leo hii vyombo vya Habari ikiwemo TBC zimeficha hizi habari za Makonda kuzuiwa kuingia USA,
Vyombo vya habari kuzuia habari za Makonda kutoruhusiwa kuingia USA VIMEDHIHIRISHA kwa Serikali ya Marekani kuwa kweli Uhuru wa Habari UNAMINYWA Tanzania
Dunia Hivi sasa imekuwa ndogo hii ni karne ya "Information Technology " , ni ujinga kuzuia hizo habari kwani zimetapakaa kila kona ya media, Twitter, YouTube, Telegram, Instagram, Dw, BBC, VoA... . nk
Walichofanya vyombo vya habari vya Tanzania sio UZALENDO ni UJINGA
Hao wengi wamo kwenye tumbo lako wale wa kawaida wako na sisiWengi wa watanzania hawaridhishwi na ujinga wenu Wakoromije nyinyi
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo vs mabeberu applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, amekuwa condemned unheard na mabeberu Wamarekani ambao ni outsiders, hivyo media ya Tanzania zimeamua kutanguliza uzalendo kwa kushikamana na mteule mzalendo mchapakazi Makonda na kuwapuuza mabeberu Wamarekani na vibaraka wao waliotamalaki mitandaoni.
P
Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo vs mabeberu applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, amekuwa condemned unheard na mabeberu Wamarekani ambao ni outsiders, hivyo media ya Tanzania zimeamua kutanguliza uzalendo kwa kushikamana na mteule mzalendo mchapakazi Makonda na kuwapuuza mabeberu Wamarekani na vibaraka wao waliotamalaki mitandaoni.
P
Yaani we lijamaa umekuwa lijinga kabisa kwa kujikomba kwenye huu utawala wa kishenzi. Shenzi kabisaNaunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo vs mabeberu applies.