Hahaha, "Uhuru wa habari", Serikali ya USA inataka Serikali ya Tanzania iwapatie raia wake Uhuru huo
Wamarekani wanataka Watanzania wapate haki yao ya msingi ya kupata habari za uhakika na za kweli
Leo hii vyombo vya Habari ikiwemo TBC zimeficha hizi habari za Makonda kuzuiwa kuingia USA,
Vyombo vya habari kuzuia habari za Makonda kutoruhusiwa kuingia USA VIMEDHIHIRISHA kwa Serikali ya Marekani kuwa kweli Uhuru wa Habari UNAMINYWA Tanzania
Dunia Hivi sasa imekuwa ndogo hii ni karne ya "Information Technology " , ni ujinga kuzuia hizo habari kwani zimetapakaa kila kona ya media, Twitter, YouTube, Telegram, Instagram, Dw, BBC, VoA... . nk
Walichofanya vyombo vya habari vya Tanzania sio UZALENDO ni UJINGA