Kama waandishi wenyewe kazi yao kuisifia serikali wataripoti vipi suala nyeti kama hili
Wapumbavu wote hawajui kuwa anayelengwa ni Pogba na Makonda kawa chambo tu
Labda wanahabari bado wapo kwenye mgomo wao ule wa habari za Makonda?
[Sarc]
Sent using Jamii Forums mobile app[/S]
Not only senseless but also stupidSenseless
Ondoa Post yako ujipange upya.Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani
Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu
====
Edit:
Azam TV wamei-cover habari hii
Sikuwahi jua kuwa wew ni mchumia tumbo namna hii. Ni heri ungekaa kimya kubakia na kaheshima kako kadogo kaliko salia. Kwahiyo uzalendo ni kutotangaza uovvu uliofanywa na mteule wa rais! Hii hasara kubwa kama taifa litakuwa na majitu ya kujikomba kama wewe.Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo vs mabeberu applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, amekuwa condemned unheard na mabeberu Wamarekani ambao ni outsiders, hivyo media ya Tanzania zimeamua kutanguliza uzalendo kwa kushikamana na mteule mzalendo mchapakazi Makonda na kuwapuuza mabeberu Wamarekani na vibaraka wao waliotamalaki mitandaoni.
P
Hahaaa beberu mfuasiUnawaita mabeberu ? Mbona misaada kutoka kwao tunaipokea ? Basi hata wewe ni beberu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nione nini kutoka katika nchi masikini Kama hii yetu ya Tanzania..?Kama ni ujinga au uzalendo utaiona as from next week
Labda kama gerezani watabadilisha vyeo vya wale manyapara waitwe Marais.Hamna anayejua hiyo habari zaidi ya watu wa Mitandaoni isitoshe siku Makonda akiwa president wataitoa hiyo habari
Ndumilakuwili katika ubora wako...👏Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo vs mabeberu applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, amekuwa condemned unheard na mabeberu Wamarekani ambao ni outsiders, hivyo media ya Tanzania zimeamua kutanguliza uzalendo kwa kushikamana na mteule mzalendo mchapakazi Makonda na kuwapuuza mabeberu Wamarekani na vibaraka wao waliotamalaki mitandaoni.
P
Kujua implication yake ni lazima uwe na akili ya kutafakari. La sivyo utafikiria kama ulivyofikiria.
😃😃sio kwa kung·ata na kupuliza hukuNaunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo vs mabeberu applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, amekuwa condemned unheard na mabeberu Wamarekani ambao ni outsiders, hivyo media ya Tanzania zimeamua kutanguliza uzalendo kwa kushikamana na mteule mzalendo mchapakazi Makonda na kuwapuuza mabeberu Wamarekani na vibaraka wao waliotamalaki mitandaoni.
P
Lakini hii ndio ingekuwa nafasi nzuri kwao (vyombo vya habari) kuandika habari hiyo kikamilifu kabisa na kwa uwazi ili wakisumbuliwa ionekane wazi kuwa wananyimwa nafasi ya kufanya kazi yao bila ya usumbufu.
Wanapoteza fursa nzuri sana hii.
si ndio uminywaji wa democrasia huo au umeshindwa kujiongeza tukusaidie ndugu
Kwani McMahoon, kuna sehemu yoyote katika andiko langu niliposema kwamba hayo yote uliyoyaweka hapo hayawapati wapinzani?Washasumbuliwa sana na faini wameshapigwa sana mpaka hawana hamu. Sasa hivi huwezi kukuta wapinzani mikutano yao inarushwa hewani. Wakiripoti kuhusu upinzani ni zile issue za wapinzani kwenda mahakamani. Unashitakiwa kwa kuhusiwa siyo mtanzania ila kesi inabadilishwa inakuwa ya uhujumu uchumi (money laundry). Hata kama hakuna sheria, tutakusumbua sana mpaka wenzio wakuonee huruma.
Kamuulize Kabendera anajibu zuri sana la kukupa
Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani
Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu
====
Edit:
Azam TV wamei-cover habari hii
Kwani McMahoon, kuna sehemu yoyote katika andiko langu niliposema kwamba hayo yote uliyoyaweka hapo hayawapati wapinzani?
Maana ya mapambano ni nini mkuu wangu; hukumbuki kuwa kuna watu walijitoa mhanga wa maisha yao katika baadhi ya nchi wakipambania uhuru wa nchi hizo?
Hayo wanayofanyiwa wapinzani hapa nyumbani ni sehemu ya mapambano, kamwe hayawezi kuzuia juhudi zao za kuyapambania wanayoyaamini wao kuwa ndiyo yenye manufaa kwa taifa letu.
Sasa kama kazi hiyo hawaiwezi kuifanya wakisubiri hadi hapo anayewazuia awaruhusu - kama hicho ndicho unachowashauri wakifanye, basi wewe na wao mtasubiri milele.
Azam walitangaza Ila wasema uPUMBAVU eti kazuiliwa sababu anakemea ushoga asee nimewadharau sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Njaa inakutesa sana!!!Naunga mkono hoja, hapa kanuni ya uzalendo vs mabeberu applies.
Makonda ni mteule wa rais wa JMT, amekuwa condemned unheard na mabeberu Wamarekani ambao ni outsiders, hivyo media ya Tanzania zimeamua kutanguliza uzalendo kwa kushikamana na mteule mzalendo mchapakazi Makonda na kuwapuuza mabeberu Wamarekani na vibaraka wao waliotamalaki mitandaoni.
P
Mkuu, haijalishi. Kukandamizwa na kunyimwa haki kunaweza kufanywa na yeyote bila kujali rangi yake.Tulipigana na Mkoloni mweupe ili tujenge nchi yetu sote. Najua kuna tofauti ndogo ndogo za kwetu wafrika ila siyo za kuturudisha kipindi kile cha ukoloni wa Mjerumani na Mwingereza. Ulichoandika kina maanisha wapinzani waanze tena kuikomboa nchi zao kutoka kwa mkoloni mweusi kama waasisi walivyokomboa nchi zao kutoka kwa wakoloni. Kitu ambacho siyo kweli 100%.
Kutozingatiwa katiba na sheria ndiyo maana unaona "Sasa kama kazi hiyo hawaiwezi kuifanya wakisubiri hadi hapo anayewazuia awaruhusu - kama hicho ndicho unachowashauri wakifanye, basi wewe na wao mtasubiri milele"
Mkuu, haijalishi. Kukandamizwa na kunyimwa haki kunaweza kufanywa na yeyote bila kujali rangi yake.
Wewe unayenyimwa haki ni wajibu wako kuitafuta haki hiyo kwa njia yeyote bila kujali ni mmatumbi mwenzio au ni mtu toka mbali.
Unaandika kuhusu "kutozingatiwa Katiba na Sheria". Hivi unaelewa maana ya maneno hayo kweli?