kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Kivipi mkuu, sijakusoma hapoMbona uzi kama unatoka Internet cafe japo ilitakiwa kuwa chai
Sawa mkuuHaya wamekusikia.
Arafu mkisha vimbiwa kwa kula usiku kucha mkiamka mna anza kuwataka wasio waislam wasile chakula kwa sababu nyinyi mmefunga na kuwaita kobe nkMliofunga kama mimi poleni na mfungo muda si mrefu tunafuturu, tuendelee kuwa wavumilivu.
Juzi usiku nilikuwa nimepika futari nikala mida ya nne usiku nikasema ntaamka saa10 kula daku, nikaweka alarm ya saa kumi na nusu, kweli ilivyolia nikaamka kula.
Hadi kufikia saa11 nikaingia kulala nikaweka alarm ya saa1 asubuhi ili niwahi kibaruani, usingizi kila nikiutqfuta hauji nimekuja kulala saa 12 kasoro.
Alarm ya saa1 na nusu niliyoweka ilivyolia nikaizima nikasema nitaamka saa2, 🥲🥲si nikapitiliza mpaka saa4 asubuhi.
Nimeamua sitakula tena Daku maana nilishindwa hata kwenda kibaruani ikabidi nibaki tu ndani nagalagala.
Haya ndugu zangu tuwe na mfungo mwema, , uzi wa mapenzi mwezi huu tuachane nayo😁😁
Mimi siyo muislamu mimi ni mkristo nilikuwa najaribu tu kula dakuArafu mkisha vimbiwa kwa kula usiku kucha mkiamka mna anza kuwataka wasio waislam wasile chakula kwa sababu nyinyi mmefunga na kuwaita kobe nk
Poa poa.Sawa mkuu
Basi ujumbe uwafikie wausika waache mambo ya kipumbavuMimi siyo muislamu mimi ni mkristo nilikuwa najaribu tu kula daku
Haikuwa ugali mkuu ilikuwa futari tuMtume alikua anakula daku tende na Maziwa nyie mnafukia maugaliii
Hao waislamu?Basi ujumbe uwafikie wausika waache mambo ya kipumbavu
We unachekesha sanaMliofunga kama mimi poleni na mfungo muda si mrefu tunafuturu, tuendelee kuwa wavumilivu.
Juzi usiku nilikuwa nimepika futari nikala mida ya nne usiku nikasema ntaamka saa10 kula daku, nikaweka alarm ya saa kumi na nusu, kweli ilivyolia nikaamka kula.
Hadi kufikia saa11 nikaingia kulala nikaweka alarm ya saa1 asubuhi ili niwahi kibaruani, usingizi kila nikiutqfuta hauji nimekuja kulala saa 12 kasoro.
Alarm ya saa1 na nusu niliyoweka ilivyolia nikaizima nikasema nitaamka saa2, 🥲🥲si nikapitiliza mpaka saa4 asubuhi.
Nimeamua sitakula tena Daku maana nilishindwa hata kwenda kibaruani ikabidi nibaki tu ndani nagalagala.
Haya ndugu zangu tuwe na mfungo mwema, , uzi wa mapenzi mwezi huu tuachane nayo😁😁
Nachekesha nini mkuu?We unachekesha sana
Hehehe!!!
Imani ikoje mkuu, na kwanini unasema hivyo?Wewe hujafunga bali unashinda njaa ! Unajua maana ya imani ?
Kwani we unakula daku?Nachekesha nini mkuu?
Nilikujibu swali lako nimepitia nione kwanini unasema sikukujibu nimegundua mod wamefuta comment yanguWe unachekesha sana
Hehehe!!!