Kilichonitokea jana baada ya kuamka kula daku saa10, sitakuja kurudia

Mfungo wengi wanaifanya kama mazoea tu na kwa sababu ni takwa la dhehebu lao lakini hawafanyi kama ibada yaani kutaka uhusiano wa karibu na Mungu wao ili kumueleza yale magumu ambayo imeonekana hayawezekani maana mfungo upo kwa ajili ya kuhitaji intervention ya Mungu kwa jambo gumu kabisa

MT. :17:21
Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga.

Na ili kuifanya ibada hii kuna utaratibu wake umeelezwa

Lakini wengi sasa wanafanya kama fashion tu akifunga kila mtu atataka ajue na wakati wa kufturu ndiyo shida anakula kama mfungwa aliyetoka jela wakati kiuhalisia kwa kufunga kwake ilitakiwa ile fedha ambayo hakuitumia yeye kula ilipaswa aipeleke kwa wahitaji ambao hawajui watakula nini
 
Ndugu zetu waislamu ndiyo wana hizi tabia mkuu
 
Kwani umewaza nn? Je km alishanichumbia zamani? Sahivi ni kukamilisha ndoa tyuh?
😂😂😂😂😂
Ha ha ha, inaonekana kuna kitu alikuambia ukamwambia bado unasoma mpk umalize kwa hiyo alikuwa anakufuatilia
 
Siku ingine ukichelewa kuamka rudisha masaa 2 nyuma,
funga mapazia kutengeneza giza humo ndani.
Endelea kula daku na mtu yeyote atakayekukuta unakula muonyeshe saa uliyorudisha masaa 2 nyuma utakuwa upo sawa..
 
Back
Top Bottom