Katkit
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,893
- 4,641
Kuna wakina jonivisomo walikua wanaamini kuwa wakwanza darasani ndio kuyapatia maisha. Saizi cjui wanaendesha bodaboda maeneo gani[emoji23][emoji23]sasa material nayo ya kunyimana??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wakina jonivisomo walikua wanaamini kuwa wakwanza darasani ndio kuyapatia maisha. Saizi cjui wanaendesha bodaboda maeneo gani[emoji23][emoji23]sasa material nayo ya kunyimana??
Kipo upanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dar kuna chuo cha Mzumbe?? Mbna sina habari?? Duuuh
Mikoko mkuuHapa nawaza ni eneo gani hapo Dar kuna vichaka vya mianzi japo hakuna bahari!.
...
..
.
(Mikoko)
Don bosco paleZamani nilikuwa nazurula sana penyaoenya ndio nakumbuka nilikiuna hiki chuo mpaka leo napita sana upanga hata sijui kilipo
Ahahaha sawa sawa... Hizo sehemu hatari sana zimemeza nyumba magari ya watu hapa daslama mkuu sitaki hata kuzisikiaHapana mkuu,kuna mshua kaniita tunaenda kuyajenga.Sikukuu zimeisha tunaendelea kupambania kombe
Mkuu hapa umepotosha.Ni City Center Upanga la aliyekuwa Mchungaji kiongozi baadaye akateuliwa na hayati Magufuli kuwa Mkurugenzi wa Usalama taifa DG kwa sasa ni Balozi nchini Namibia naye si mwingine bali ni Dk. Modestus Francis Kipilimba.
Kuna campus ya mzumbe ipo upanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dar kuna chuo cha Mzumbe?? Mbna sina habari?? Duuuh
Saa nne usiku gari bado zipo barabarani mbonaSaa nne usiku trafiki huyo anaongoza magari ya vibwengo.
Hapana sio karibu na jangwani girls, kipo mtaa wa olympioSikuwahi jua hili, means kipo karibu na Jangwani Girls Sec?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee acha ukorofiiiKuna wakina jonivisomo walikua wanaamini kuwa wakwanza darasani ndio kuyapatia maisha. Saizi cjui wanaendesha bodaboda maeneo gani
Oooh ouk sawaahHapana sio karibu na jangwani girls, kipo mtaa wa olympio
Sasa dogo anayetumwa samaki na boss ulitegemea nini ya maana?Uandishi wa hovyo ambao mtu mzima hapaswi kuandika.
"sikumbuki nini kilitokea ila nilijikuta ile njia ya muhimbili nipo kwenye kituo karibu na chuo sijui ndo mzumbe nasubiri gari ya kutoka kariakoo nirudi masaki"
Kichwa cha Habari:
"kilichonitokea jituo cha daraja la salenda baada ya kushuka kwenye dala dala saa nne usiku"
Swali:
Ni nini kilikutokea?
Upanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dar kuna chuo cha Mzumbe?? Mbna sina habari?? Duuuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dar kuna chuo cha Mzumbe?? Mbna sina habari?? Duuuh
Ndio mzumbe university Ina branch maeneo hayo , ukipita morogoro RD pale DIT Kuna kibao chake kinaelekezando maana nikasema sijui ila ni chuo pale kuna kipindi konda wa daladala aliwahi dungwa kisu na mwanafunzi hapo ndo maana nakikumbuka ila jina ndo silikumbuki la chuo
No malice to nobody[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee acha ukorofiii
Kilichokutokea au ulichokishuhudia? Halafu saa nne usimu huwa hakuna askari anayeongoza magari pale Selender, ila doria huwa wanakuwepo.Nakumbuka nikitokea maeneo ya Slipway baada ya boss wangu kunipa laki moja nikatafute samaki,
Nikaenda msasani nikakosa hivo nikaona niende feri, nikapanda gari la kwenda Kariakoo tulipokaribia Salender nikamwomba konda anishushe hapo, konda kwa mshtuko, unasema?
Nikamwambia tena nishushe Sarenda muda huo ni saa 4 usiku basi bhana kama unavojua kuna watu hawapendi fuatilia mambo ya watu gari ikasimama nikashuka
Mbele yangu kulikuwa na gari moja ndogo imesimama halafu but I la mbele limenyanyuliwa nahisi ilipata hitilafu, nyuma kulikuwa na trafiki anaelekeza magari ile njia ya kwenda Coco beach, njia ya kutokea Coco nikaona vijana kama sita hivi muda huo wote yaani ni kama dk 10 zimepita toka nishuke ila kila gari ninalolisimamisha la kwenda Posta kutoka Makumbusho hayasimami yaana yanapita na mia
Sasa wale jamaa walikuwa na vifaa vikubwa balaa nikafikiri ni wanamazoezi, nikafikiri kujiunga nao ili nivuke pale darajani
Bado nawaza haijaisha sekunde kumi naona wameanzisha timbwili kwenye gari lile lililokuwa limepaki hapo mbele, kulikuwa na vijana wawili, kama sio waarabu basi ni wahindi, mara jamaa wakafungua milango muda huo hawa jamaa wenye gari wamekimbia mmoja anaelekea kwa askari anayeongoza magari hapo njia ya Coco beach mwingine anakimbia huko upande wa Pili wa barabara
Sikumbuki nini kilitokea ila nilijikuta ile njia ya Muhimbili nipo kwenye kituo karibu na chuo sijui ndo Mzumbe nasubiri gari ya kutoka Kariakoo nirudi Masaki
Naomba tuwe busy na mambo yetu, mimi na wewe. Sema usiwe Mbaba![]()
![]()
![]()
nipo Mawasiliano, ila sikuwahi jua km kuna Campus ya Mzumbe hapa Dar, pia ni kwa postgraduate ndo maana sio maarufu.![]()
Au pia mie niko buzzy sana na mambo yangu.