Kilichopo nyuma ya pazia Wema Sepetu kujiunga na Wasafi

Ulishawahi kuona Zamaradi kapiga na Ruge kipindi wana-date


Sana tuu na kumsifia kwenye media.. sasa hili zigo za Bashite hata kunawa nasikia bado hajaweza vizuri so anasubiri atakate kwanza
 
Duh unataka kusema watanzania wamemfahamu zari kupitia dai ee pole mkuu basi ni akina wewe sio watanzania wote

Kauli yangu haibadiliki, muda utasema tu.
Kwahiyo unataka kusema Zari ni jina kubwa kuliko Diamond sio!!

Kama jibu lako ni NDIYO, unaweza kutujuza kabla ya uhusiano wa Zari na Diamond; Watanzania walikuwa wanamfahamu Zari kupitia nini hasa?!
 
Kutwa au kuwa?

Nimetumia instagram ya zari na source toka bbc swahili. Swali jingine?
Umetumia vigezo gani mpaka kuaminisha watu kutwa zari na mond wameachana mazima?
 

Sidhani kama Zari ana akili kama zenu nyie wanawake wakibongo.
 
Duh unataka kusema watanzania wamemfahamu zari kupitia dai ee pole mkuu basi ni akina wewe sio watanzania wote

Kauli yangu haibadiliki, muda utasema tu.
Jibu swali basi manake nina kumbukumbu ya Zari kuwa na Followers chini ya 40K Instagram kabla hajawa na Diamond and by the time Wema alikuwa na Followers takribani 1M lakini leo hii Zari ana Followers wengi Instagram kuliko Wema tena akiwa next to Diamond!

Swali linabaki pale pale... b4 November 2014, Watanzania walimfahamu Zari kupitia nini hadi uamini kusepa kwake WCB ndo basi tena?!
..
 
Nimekusoma kuna speculations nyingi hii ni mojawapo na inaweza kuwa na ukweli fulani
 
Mkuu, huyu jamaa yaelekea unamuota sana!
 
Zamaradi ndo fimbo kubwa kwa ruge hakuna kitu kibaya kma adui akijua udhaifu wako utajuta!!!
 
Kumbe unatumia insta kama kigezo cha mafanikio aiseee enheee wema hizo million za insta zilimuinuaje?

Na saiv zari katangaza kumtema dai je followers wamepungua?likes je?poule jaman

Nshataype ile comment na haifutiki. Ukweli ni kwamba Zari kazima kiki zoooteee za waisibiiiiii
 

Zari bila diamond hakuna ataejishughulisha nae ilo lipo wazi.

Diamond akimfungia zari vioo miezi miwili tu akaja na kitu kipya huyo zari hakuna atae mkumbuka waulize team wema watakwambia vizuri.
 
Namuona Bashite yuleeee.
Anakula kiapo mjengoni kwa Ndugai, dhen anakula kiapo cha Baraza la Magogoni.

The rest will be history.
Kanda ya Ziwa hoyeeeeeee.
kama ikitokea hivyo waziri mwenye kuipenda bendera yetu ajiandae kunyolewa.
 
Hahaa!! Very funny!! Una-dis social media!! Hivi leo hii social media zote zikifungwa duniani Zari ataendelea ku-hit kupitia nini?!
 
Woyoooo ndo mawazo yako hayo aiseee. We unazani zari ni nyumbu kama wema. Zari ni strong kabla ya dai alikua na maisha yake na kaja kamfundisha ujanja dai so poule.

Tuhesabu miez miwili ee so kwa mawazo yako unahisi zari atafuliaaaaa na kurudi uganda as if dai ndo aliekua anamlea sauz
Zari bila diamond hakuna ataejishughulisha nae ilo lipo wazi.

Diamond akimfungia zari vioo miezi miwili tu akaja na kitu kipya huyo zari hakuna atae mkumbuka waulize team wema watakwambia vizuri.
 
Kupitia show zake za white party bila kusahau biashara ya chuo huko sauz.

Haya leo social media zikifungwa dai atahit kupitia nini,in ur dreams(wasafi tv)bwahahahaha
Hahaa!! Very funny!! Una-dis social media!! Hivi leo hii social media zote zikifungwa duniani Zari ataendelea ku-hit kupitia nini?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…