Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Ulishawahi kuona Zamaradi kapiga na Ruge kipindi wana-date
Sana tuu na kumsifia kwenye media.. sasa hili zigo za Bashite hata kunawa nasikia bado hajaweza vizuri so anasubiri atakate kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulishawahi kuona Zamaradi kapiga na Ruge kipindi wana-date
Kwahiyo unataka kusema Zari ni jina kubwa kuliko Diamond sio!!
Kama jibu lako ni NDIYO, unaweza kutujuza kabla ya uhusiano wa Zari na Diamond; Watanzania walikuwa wanamfahamu Zari kupitia nini hasa?!
Umetumia vigezo gani mpaka kuaminisha watu kutwa zari na mond wameachana mazima?
Mchezo wao umeshamalizwa nguvu na zari. Kama kweli makonda ana nguvu ya ushawishi abadili msimamo wa zari kumrudia dai. Wasafi tv&radio kiki ishakufa zamaan saiv watatembelea jina kwa miaka miwili mitatu baada ya hapo chali kama sio wao walioingilia fani za watu kwa mbwembwe
Sidhani kama Zari ana akili kama zenu nyie wanawake wakibongo.
Jibu swali basi manake nina kumbukumbu ya Zari kuwa na Followers chini ya 40K Instagram kabla hajawa na Diamond and by the time Wema alikuwa na Followers takribani 1M lakini leo hii Zari ana Followers wengi Instagram kuliko Wema tena akiwa next to Diamond!Duh unataka kusema watanzania wamemfahamu zari kupitia dai ee pole mkuu basi ni akina wewe sio watanzania wote
Kauli yangu haibadiliki, muda utasema tu.
Nimekusoma kuna speculations nyingi hii ni mojawapo na inaweza kuwa na ukweli fulanimshana jr nilisikia kuwa Zari as a bisnesswoman alitamani kumcontrol na kumnyanyua Dai ila kikwazo kilikuwa mtu mmoja ambaye ndiye alikuwa anammilk Dai tumuite R. R kina anapoona Zari anajidhatiti, yeye anamleta Wema na kuonesha wanarudiana na Dai. Kawa vile Zari ana wivu sana, inabidi awe busy na kuhakikisha Wema hasogelei Dai na dili za R zinapeta. Je, haiwezekani ukawa ni mkakati wa R nao huo?
Mkuu, huyu jamaa yaelekea unamuota sana!Ni mchezo uliojaribu kuchezwa kwa ufundi kidogo lakini kama kawaida umakini ndio unafunua kila kitu wakuhusika wakuu hapa ni Kingpin Albert Bashe maandalizi ya mbali kisiasa na kujijenga.
Clouds Media Mhanga ni Ruge, visa na utemi wa ujanani na kugombea jina nani zaidi mpaka sasa ni majeruhi wa vipigo vingi.
Kingpin player keshamuumiza sana mpaka kwenye mahusiano na sasa inaingia vita ya kibiashara na mustakabali.
Diamond kupitia Wasafi tv na FM radio umaarufu wake na nafasi katika jamii anatumika kufanikisha malengo ya wengine. Hata kama hataki, hana hiari ya kukataa Wema Sepetu hili ni wazo la Albert.
Huyu ndio kasuka mpango wa kumtoa CHADEMA na kumnyooshea mambo yake yote kuanzia kesi mahakamani mpaka figisu za kibiashara anatumika kisiasa zaidi kwa manufaa ya wengine.
Sasa Kingpin ana kila silaha silaha ya kufanikisha agenda ovu za siri zisizo siri
Ana backup ya mamlaka karibia zote
Ana backup ya media Wasafi media na gazeti la Tanzanite. Ana wapambe kina Musiba na wengine wengi. Ana backup ya watu maarufu wengi vijana under 40
Nisiandike mengi kwa sasa lakini Wema ni sehemu ya mkakati wa kufanikisha jambo kubwa huko mbeleni. Clouds iliyokuwa sehemu muhimu ya kusambaza propaganda zao sasa hivi si kitu tena imeshaumizwa na kujeruhiwa pakubwa.
Inaelekea mwisho wa enzi Wasafi tv na radio zinajengwa kuchukua nafasi ya Clouds Media wakishamaliza hilo subirini wabongo mtafurahishwa!![]()
Jibu swali basi manake nina kumbukumbu ya Zari kuwa na Followers chini ya 40K Instagram kabla hajawa na Diamond and by the time Wema alikuwa na Followers takribani 1M lakini leo hii Zari ana Followers wengi Instagram kuliko Wema tena akiwa next to Diamond!
Swali linabaki pale pale... b4 November 2014, Watanzania walimfahamu Zari kupitia nini hadi uamini kusepa kwake WCB ndo basi tena?!
..
Kumbe unatumia insta kama kigezo cha mafanikio aiseee enheee wema hizo million za insta zilimuinuaje?
Na saiv zari katangaza kumtema dai je followers wamepungua?likes je?poule jaman
Nshataype ile comment na haifutiki. Ukweli ni kwamba Zari kazima kiki zoooteee za waisibiiiiii
kama ikitokea hivyo waziri mwenye kuipenda bendera yetu ajiandae kunyolewa.Namuona Bashite yuleeee.
Anakula kiapo mjengoni kwa Ndugai, dhen anakula kiapo cha Baraza la Magogoni.
The rest will be history.
Kanda ya Ziwa hoyeeeeeee.
KuwaKutwa au kuwa?
Nimetumia instagram ya zari na source toka bbc swahili. Swali jingine?
Hahaa!! Very funny!! Una-dis social media!! Hivi leo hii social media zote zikifungwa duniani Zari ataendelea ku-hit kupitia nini?!Kumbe unatumia insta kama kigezo cha mafanikio aiseee enheee wema hizo million za insta zilimuinuaje?
Na saiv zari katangaza kumtema dai je followers wamepungua?likes je?poule jaman
Nshataype ile comment na haifutiki. Ukweli ni kwamba Zari kazima kiki zoooteee za waisibiiiiii
Zari bila diamond hakuna ataejishughulisha nae ilo lipo wazi.
Diamond akimfungia zari vioo miezi miwili tu akaja na kitu kipya huyo zari hakuna atae mkumbuka waulize team wema watakwambia vizuri.
Hahaa!! Very funny!! Una-dis social media!! Hivi leo hii social media zote zikifungwa duniani Zari ataendelea ku-hit kupitia nini?!