Kilichopo nyuma ya pazia Wema Sepetu kujiunga na Wasafi


baada ya miezi miwili ntafukua hii comment tusikaushane uzazi bure kwa mipovu.
 
Kupitia show zake za white party bila kusahau biashara ya chuo huko sauz.

Haya leo social media zikifungwa dai atahit kupitia nini,in ur dreams(wasafi tv)bwahahahaha
Very funny... una mahaba hata shetani anayaogopa!

Tuanze na shows zake: zinakuwa ngapi kwa mwaka?

Kuhusu chuo: Ni kwamba atakuwa ana-hit kupitia matangazo ya redioni/TV/Magazetini wakati kinatangazwa chuo; au?!

Kuhusu WCB: Hilo liko wazi... wataendelea ku-shine kwa ngoma zao kupitia radio/tv kama ambavyo walikuwa wana-shine Sikinde, Msondo Ngoma, Diamond Musica, akina B Kidude, Ngurumo, Khadija Kopa, Innocent Nganywagwa n.k!

Hao wote walikuwa wana-shine hata kabla ya Internet let alone Instagram! RTD peke yake ilitosha kuwafanya wafahamike!!

Na kwa kukukumbusha tu, Diamond alianza ku-hit since 2010 wakati access to Internet ilikuwa chini Sana!
 
Zari kudate na diamond sawa imefanya watanzania wengi wamjue. Hata diamond alivyofanya collabo na davido alimfanya diamond ajulikane Nigeria haimanishi kua diamond hakua anajulikana Tanzania.
Followers sio chakula. Wapo mastar wa marekani na followers za kuokoteza na wanajulikana duniani.
 
natamani watu wangejua kati ya diamond,fella,sallam au tale kuna mmoja ana akili sana tena sana...itoshe tu kusema kumuangusha diamond si kitu kidogo...diamond ni taasisi sio tu msanii wa bongofleva tena ni taasisi inayokua kwa kasi....
 
Kweli nyani haoni kund.l. ina maana haujajishtukia tu eti mahaba hadi shetan anayaogopa yako hujayaona!! Unatype hadi mshipa wa shingo waonekana,kila kona wanapomkosoa dai upo na magazeti yako hujion ee

Bila social media wcb si kitu wamepandishwa kwa kiki za kila aina

Zari kampa akili dai mpaka kupata udhamin na ubalozi wa kila aina anzia karanga mpaka coca,voda etc

Hamisa kazaa na dai mbona mwanae hajapata ubalozi danube?arobain haijakiki kama za watoto wa zari,chezea zari wewe classy woman,kila akifanyacho kina faida kuliko hasara

Nimegundua hufahamu chochote kuhusu zari jaman mbona sijawah ona tangazo ka vyuo vya zari mitandaon,unadhan biashara ya chuo ni sawa na ubalozi wa karanga? show zake unazifahamu aje?au ndo utasema dai alimpa wazo la kuanzisha white party shows. Na kwa kukumbusha tu wakati dai kahit 2010,zari alikua staa mkubwa tu huko uganda,wafahamu hilo?(go you tube do some research)

Hayo matusi kwa legends wa muziki uache,acha kabisa kulinganisha muziki mtamu wa bakurutu na hizo bongo fleva. Bila social media bongo fleva chali

2010 labda wewe haukua na access ya internet usiongelee wengine maana hata JF ilianzishwa kabla ya 2010 na bado ikawa na wanachama wa kutosha.

Halafu hata hauelew unachoandika mara redio na tv zitakuwepo kuwapa sapot wasafi so dunia nzima wasafi watasikika redio ila zari atabaniwa ee?hatasikika kabisaaa iwe shows au biashara zake jaman jaman hahahaha
 
Mie nimeiscreenshot kabisa nadhan mwezi umeanzia febr 14 mpaka april itakua ishafika miezi miwili ntakukumbusha ukisahau
baada ya miezi miwili ntafukua hii comment tusikaushane uzazi bure kwa mipovu.
 
Kete yangu bado ipo kwa ruge

Japo za kunyapia nyapia inasemekana kuwa hiyo wasafi TV na wasafi Radio ni project za mr kusaga ( wana bifu flan kati yao ruge na kusaga)
 
Sio kanda ya ziwa sababu jamaa alienda kule kasema nchi haina pesa ya kukupeni nyie kwanza tetemeko nyie , ukimwi nyie huku kasema hakuna kuwabomolea coz wamenipa kula sasa hapo ni ukanda au ni ikabila
 
pole na feel jinsi ulivyochukia jinsi daimond alivyoachana na zari lkn kiukweli daimond amekuwa na mchango mkubwa sana kwenye maisha ya zari financially kuliko zari alivyo mboost daimond..huo ni ukweli mchungu kdg...lkn pili zari ni next level...huwezi kumfananisha na hawa wakina wema wa bongo....tatu si rahisi kumshusha diamond hata ukizima mitandao ya kijamii na sio kwa sababu anaimba sana ila ni kwasababu ana nework kubwa na ana akili sana au management yake ina akili sana....kusema wasafi tv inatakufa sababu zari kasepa..pole tena kwa maumivu unayosikia zari ku break na diamond ila si rahisi wasafi kufa kirahisi hivo..
 
Awesome mnavyoniquote na kuweka maneno yenu mnanipa raha sana bwahahahaha.

Pole mkuu comment yangu imekuchoma ee. Safi kabisa. Bado napokea quotes hahahahah
 
Awesome mnavyoniquote na kuweka maneno yenu mnanipa raha sana bwahahahaha.

Pole mkuu comment yangu imekuchoma ee. Safi kabisa. Bado napokea quotes hahahahah
nime quote sababu naona umepoteza kufikiria kwa facts umezama zaidi kwenye hisia kwamba imekuuma hii couple kubreak kiasi kwamba umeshindwa kbs kutumia logic yan sasa unaishi hisia zako sio hali halisi
 
Comment yangu ya kwanza ndan ya uzi huu kabisa imeendana na beat ya comment zote ninazotoa kwenye uzi huu.

Naona nakuumiza dah usilieeee
nime quote sababu naona umepoteza kufikiria kwa facts umezama zaidi kwenye hisia kwamba imekuuma hii couple kubreak kiasi kwamba umeshindwa kbs kutumia logic yan sasa unaishi hisia zako sio hali halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…