Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa
Endelea kuamini hizo drama.
Woyoooo ndo mawazo yako hayo aiseee. We unazani zari ni nyumbu kama wema. Zari ni strong kabla ya dai alikua na maisha yake na kaja kamfundisha ujanja dai so poule.
Tuhesabu miez miwili ee so kwa mawazo yako unahisi zari atafuliaaaaa na kurudi uganda as if dai ndo aliekua anamlea sauz
Very funny... una mahaba hata shetani anayaogopa!Kupitia show zake za white party bila kusahau biashara ya chuo huko sauz.
Haya leo social media zikifungwa dai atahit kupitia nini,in ur dreams(wasafi tv)bwahahahaha
Zari kudate na diamond sawa imefanya watanzania wengi wamjue. Hata diamond alivyofanya collabo na davido alimfanya diamond ajulikane Nigeria haimanishi kua diamond hakua anajulikana Tanzania.Jibu swali basi manake nina kumbukumbu ya Zari kuwa na Followers chini ya 40K Instagram kabla hajawa na Diamond and by the time Wema alikuwa na Followers takribani 1M lakini leo hii Zari ana Followers wengi Instagram kuliko Wema tena akiwa next to Diamond!
Swali linabaki pale pale... b4 November 2014, Watanzania walimfahamu Zari kupitia nini hadi uamini kusepa kwake WCB ndo basi tena?!
..
😀😀😀[emoji39] [emoji39] [emoji39] mashaulwah mtoto yule
Very funny... una mahaba hata shetani anayaogopa!
Tuanze na shows zake: zinakuwa ngapi kwa mwaka?
Kuhusu chuo: Ni kwamba atakuwa ana-hit kupitia matangazo ya redioni/TV/Magazetini wakati kinatangazwa chuo; au?!
Kuhusu WCB: Hilo liko wazi... wataendelea ku-shine kwa ngoma zao kupitia radio/tv kama ambavyo walikuwa wana-shine Sikinde, Msondo Ngoma, Diamond Musica, akina B Kidude, Ngurumo, Khadija Kopa, Innocent Nganywagwa n.k!
Hao wote walikuwa wana-shine hata kabla ya Internet let alone Instagram! RTD peke yake ilitosha kuwafanya wafahamike!!
Na kwa kukukumbusha tu, Diamond alianza ku-hit since 2010 wakati access to Internet ilikuwa chini Sana!
baada ya miezi miwili ntafukua hii comment tusikaushane uzazi bure kwa mipovu.
pole na feel jinsi ulivyochukia jinsi daimond alivyoachana na zari lkn kiukweli daimond amekuwa na mchango mkubwa sana kwenye maisha ya zari financially kuliko zari alivyo mboost daimond..huo ni ukweli mchungu kdg...lkn pili zari ni next level...huwezi kumfananisha na hawa wakina wema wa bongo....tatu si rahisi kumshusha diamond hata ukizima mitandao ya kijamii na sio kwa sababu anaimba sana ila ni kwasababu ana nework kubwa na ana akili sana au management yake ina akili sana....kusema wasafi tv inatakufa sababu zari kasepa..pole tena kwa maumivu unayosikia zari ku break na diamond ila si rahisi wasafi kufa kirahisi hivo..Kweli nyani haoni kund.l. ina maana haujajishtukia tu eti mahaba hadi shetan anayaogopa yako hujayaona!! Unatype hadi mshipa wa shingo waonekana,kila kona wanapomkosoa dai upo na magazeti yako hujion ee
Bila social media wcb si kitu wamepandishwa kwa kiki za kila aina
Zari kampa akili dai mpaka kupata udhamin na ubalozi wa kila aina anzia karanga mpaka coca,voda etc
Hamisa kazaa na dai mbona mwanae hajapata ubalozi danube?arobain haijakiki kama za watoto wa zari,chezea zari wewe classy woman,kila akifanyacho kina faida kuliko hasara
Nimegundua hufahamu chochote kuhusu zari jaman mbona sijawah ona tangazo ka vyuo vya zari mitandaon,unadhan biashara ya chuo ni sawa na ubalozi wa karanga? show zake unazifahamu aje?au ndo utasema dai alimpa wazo la kuanzisha white party shows. Na kwa kukumbusha tu wakati dai kahit 2010,zari alikua staa mkubwa tu huko uganda,wafahamu hilo?(go you tube do some research)
Hayo matusi kwa legends wa muziki uache,acha kabisa kulinganisha muziki mtamu wa bakurutu na hizo bongo fleva. Bila social media bongo fleva chali
2010 labda wewe haukua na access ya internet usiongelee wengine maana hata JF ilianzishwa kabla ya 2010 na bado ikawa na wanachama wa kutosha.
Halafu hata hauelew unachoandika mara redio na tv zitakuwepo kuwapa sapot wasafi so dunia nzima wasafi watasikika redio ila zari atabaniwa ee?hatasikika kabisaaa iwe shows au biashara zake jaman jaman hahahaha
pole na feel jinsi ulivyochukia jinsi daimond alivyoachana na zari lkn kiukweli daimond amekuwa na mchango mkubwa sana kwenye maisha ya zari financially kuliko zari alivyo mboost daimond..huo ni ukweli mchungu kdg...lkn pili zari ni next level...huwezi kumfananisha na hawa wakina wema wa bongo....tatu si rahisi kumshusha diamond hata ukizima mitandao ya kijamii na sio kwa sababu anaimba sana ila ni kwasababu ana nework kubwa na ana akili sana au management yake ina akili sana....kusema wasafi tv inatakufa sababu zari kasepa..pole tena kwa maumivu unayosikia zari ku break na diamond ila si rahisi wasafi kufa kirahisi hivo..
nime quote sababu naona umepoteza kufikiria kwa facts umezama zaidi kwenye hisia kwamba imekuuma hii couple kubreak kiasi kwamba umeshindwa kbs kutumia logic yan sasa unaishi hisia zako sio hali halisiAwesome mnavyoniquote na kuweka maneno yenu mnanipa raha sana bwahahahaha.
Pole mkuu comment yangu imekuchoma ee. Safi kabisa. Bado napokea quotes hahahahah
nime quote sababu naona umepoteza kufikiria kwa facts umezama zaidi kwenye hisia kwamba imekuuma hii couple kubreak kiasi kwamba umeshindwa kbs kutumia logic yan sasa unaishi hisia zako sio hali halisi