Kilichopo nyuma ya pazia Wema Sepetu kujiunga na Wasafi

Kwani dimondi keshaanza kusafisha rungu kwa sepenga? Nasikia dushe la dogo linamwaga asali mbichi.....
 
Collabo ya Diamond na Davido ilimsaidia Diamond kufahamika nje ya East Africa lakini East Africa tayari alishakuwa na jina kubwa kwa sababu alishakuwa na kazi zake kibao na bado aliendelea na kazi!

Hao Mastaa wa mbele uliowataja ni kwa sababu kuna kazi wanafanya sawa na akina Khadija Kopa ambao si ajabu wala hawana time na Instagram lakini wanafahamika kutokana na kazi zao!

Sifa kama hizo Zari hana kwa sababu, kwa hivi sasa hana entertainment product ya maana anayotoa for mass consumption zaidi ya Zari White Party!!

Zari alianza kufahamika UG baada ya kuanza ku-struggle kwenye muziki unfortunately muziki ukamkataa na ndio maana hata leo hii hapa tukiwataka watu wataje nyimbo 3 za Zari; cjui ni wangapi wanaweza kutaja!!

Eneo ambalo Zari amemfanya Mond a-shine ni UG peke yake kwa sababu mashabiki wa UG hawapendi muziki wowote zaidi ya UG made music with their dance hall style!
 
Ni win win situation.
Muda ni mzuri sana wacha tuusubiri.
 
[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] zari ndo nan ?
 
Duh! Naona ume-panic! Povu la nini?! You know what! Wakati wala sifahamu posts zako za zamani kuhusu hao watu zina-base wapi, kumbe wewe unanifuatilia what I write about Diamond!

Then ningekushauri rejea posts zangu kuhusu Zari na utagundua i've no problem with her and I was very disappointed by Diamond!!

However, hiyo haiwezi kunifanya nijitie upofu na kushindwa kuona uhalisia!! Nitakuwa mtu wa ajabu niseme eti shining ya Diamond inamtegemea Zari! How?

Diamond anatumia sana Instagram na ni very rare kukuta Zari akim-post Diamond!! Sasa kitakachofanya mwisho wa Diamond kwa sababu ya Zari ni nini?!

Halafu mambo mengine uwe unafikiri kabla ya kuongea... au hufahamu?

Zari kamwezesha Diamond kuwa Balozi?!

Diamond kawa Balozi wa Coca-Cola na Vodacom kabla hajaanza uhusiano na Zari! Hilo la karanga ni kihoja vile vile kwa sababu Zari kaanza uhusiano na Diamond wakati tayari Diamond akiwa na uhusiano mzuri na Clouds!

Sasa how come yeye awe ndie aliyempa mchongo?! Yaani Kusaga anamfahamu sana Zari kuliko Diamond?!

Danube??!! Kabisa ni Zari ndie kafanikisha issue ya Danube?! Si bora ungesema Makonda!! Au ni Zari ndie kawaunganisha Makonda na Diamond?!

Eti sifahamu lolote kuhusu Zari?! Kwahiyo wewe unamfahamu zaidi simply because Brookyln City College inatangazwa zaidi mitandaoni?!

Ni mitandao ipi hiyo inayokufanya uone ni big issue kutangazwa mitandaoni?! Nilitarajia ungesema chuo kinatangazwa sana in trade magazine... wewe unaniambia mitandaoni ambako yeyote anaweza kutangaza!!

By the way, hata kama chuo kinatangazwa sana mitandaoni, sasa hapo Zari anakuwa ana-trend vipi?

Tanzania kuna Zoom College, Azania College and the like!

Hivi vyuo vinatangazwa sana hadi kwenye tv na radio! Je, wamiliki wake wana-trend Tanzania hadi ionekane kutangazwa kwa Brookyln kutamfanya mmiliki wake nae awe ana-trend?

Zari alikuwa Bonge la Star UG?! Hivi we kweli unamfahamu Zari au nawe umemjulia ukubwani kama wenzako?!

By the time, Zari hakuwa BONGE la Star... she's just an average aliyejaribu kutoka kimuziki lakini muziki haukumtoa kivile! Na wala huo muziki hakufika nao mbali!

Kuhusu Internet, I'm very certain nimekuwa na access to Internet kabla yako manake hata kabla ya JF watu tulishakuwa tume-bang sana kupitia Yahoo/MSN Messenger then Dar Hotwire kabla ya Jambo Forum let alone Jamii Forums!

Mi Muhenga wewe!

But this's not about you and me... tunazungumzia majority ya Watanzania! Kwamba by the time majority hawakuwa na access to Internet!

Kwamba eti nisiwalinganishe WCB na Legends, I think you're missing the point!!

Issue hapa ni kwamba, if you have something for mass consumption, especially kama kitu chenyewe ni entertainment; utasikika hata pasipo na Instagram! Ukweli mchungu ni kwamba, ni hizo Bongo Flavor ndio hivi sasa zinafuatiliwa kuliko hizo Barukutu zako!

Kwahiyo hata leo hii endapo social media zote zitafungwa bado Artists watasikika kupitia radio, tv na hata magazeti!

Kwamba ina maana hizo tv na radio zitawatangaza WCB tu na kumbania Zari!

Duh! Kumbania kivipi? Hao WCB watasikika kwa sababu ya muziki wao; what about Zari?! Again, kwahiyo zikitangazwa biashara zake tu nae umaarufu wake utakuwa unaongezeka? Really?

Lemme say this: I respect Zari... very much! And I believe she'll come back!

That said, stop hizi mbwembwe za kurudia rudia about hizo biashara zake as if kuna kitu very special kwenye hizo biashara!! Watu wana mabiashara makubwa makubwa na yanatangazwa kila leo lakini hizo biashara hazijawahi kuwafanya kuwa maarufu!

Ukweli mwingine mchungu ni kwamba, for the time being, Zari ataendelea kusikika zaidi through Diamond kuliko kupitia hizo biashara zake!
 
Aiseeee bonge la hadithi za shingongo,hapa kati yangu na wewe nani kapanic!?

Comment yangu ya kwanza haifutiki mkuu,usilie bana naona unataman hata kunipa ban poleeee
 
Aiseeee bonge la hadithi za shingongo,hapa kati yangu na wewe nani kapanic!?

Comment yangu ya kwanza haifutiki mkuu,usilie bana naona unataman hata kunipa ban poleeee
Naona sindano zimekuingia hadi una-quote na posts zisizohusika!!

Ni nani kakuambia "ufute" hiyo post yako ya kwanza? Ni wewe mwenyewe ndie utatamani kuifuta baada ya ramli yako kugonga mwamba! !

Btw, hivi kuna simulizi za Shigongo kama hizi za "biashara zake! Biashara zake!" As if kuna kitu very special kutoka kwenye hizo biashara!!

Lakini endelea kujifurahisha tu manake hata Mashabiki wa Wema ndivyo walivyokuwa wanasema lakini kila anayetumia ubongo wake sawasawa anafahamu ni nani aliendelea ku-trend baada ya Wema na Mond kubwagana!!

Wahenga tunasubiria muujiza kuona Msanii aliye very active huku akiwa na coverage kwenye nchi kadhaa za Africa, kwamba hatimae influence yake inazimwa na mtu asiye-release chochoote for mass consumption, wala hayupo kwenye same industry except one annual event inayofanyika in enclosed hall!
 
Makonda amshawishi zari amrudie dai ili iweje sasa????


Hiyo wasafi tv and radio itakuwa juu vizuri sana! Tatizo clouds walikuwa wanajiona sana.......kila kitu kina mwanzo na mwisho wake


Mimi sio mpenzi wa kuangalia local channels but naona wasafi itakuwa juu
 
Hadi unalia maskini,nimequote zote kukuonesha unavyopanic hahahahah muda wa kazi. Have a nice day
 
Huu ni ukweli kabisa nakumbuka mimi nilimfollow zari before hajawa na Diamond nilikuwa napenda anavoishi vile mafirst class tu anapanda dadeki na kipindi hicho alikuwa na followers wachache instagram


Sasa baada ya kuanza kudate na diamond na hapo watu wakaanza kumjua zaidi! Nampenda yule mdada ila sioni kama yeye ndo kampa mafanikio diamond! NAKATAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…