Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Collabo ya Diamond na Davido ilimsaidia Diamond kufahamika nje ya East Africa lakini East Africa tayari alishakuwa na jina kubwa kwa sababu alishakuwa na kazi zake kibao na bado aliendelea na kazi!Zari kudate na diamond sawa imefanya watanzania wengi wamjue. Hata diamond alivyofanya collabo na davido alimfanya diamond ajulikane Nigeria haimanishi kua diamond hakua anajulikana Tanzania.
Followers sio chakula. Wapo mastar wa marekani na followers za kuokoteza na wanajulikana duniani.
Ni win win situation.Collabo ya Diamond na Davido ilimsaidia Diamond kufahamika nje ya East Africa lakini East Africa tayari alishakuwa na jina kubwa kwa sababu alishakuwa na kazi zake kibao na bado aliendelea na kazi!
Hao Mastaa wa mbele uliowataja ni kwa sababu kuna kazi wanafanya sawa na akina Khadija Kopa ambao si ajabu wala hawana time na Instagram lakini wanafahamika kutokana na kazi zao!
Sifa kama hizo Zari hana kwa sababu, kwa hivi sasa hana entertainment product ya maana anayotoa for mass consumption zaidi ya Zari White Party!!
Zari alianza kufahamika UG baada ya kuanza ku-struggle kwenye muziki unfortunately muziki ukamkataa na ndio maana hata leo hii hapa tukiwataka watu wataje nyimbo 3 za Zari; cjui ni wangapi wanaweza kutaja!!
Eneo ambalo Zari amemfanya Mond a-shine ni UG peke yake kwa sababu mashabiki wa UG hawapendi muziki wowote zaidi ya UG made music with their dance hall style!
[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] zari ndo nan ?Mchezo wao umeshamalizwa nguvu na zari. Kama kweli makonda ana nguvu ya ushawishi abadili msimamo wa zari kumrudia dai. Wasafi tv&radio kiki ishakufa zamaan saiv watatembelea jina kwa miaka miwili mitatu baada ya hapo chali kama sio wao walioingilia fani za watu kwa mbwembwe
[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] zari ndo nan ?
Bosslady.[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] zari ndo nan ?
Nyie team zari bwana [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Na ndo mtunzi wa nyimbo za diamondBosslady.
Duh! Naona ume-panic! Povu la nini?! You know what! Wakati wala sifahamu posts zako za zamani kuhusu hao watu zina-base wapi, kumbe wewe unanifuatilia what I write about Diamond!Kweli nyani haoni kund.l. ina maana haujajishtukia tu eti mahaba hadi shetan anayaogopa yako hujayaona!! Unatype hadi mshipa wa shingo waonekana,kila kona wanapomkosoa dai upo na magazeti yako hujion ee
Bila social media wcb si kitu wamepandishwa kwa kiki za kila aina
Zari kampa akili dai mpaka kupata udhamin na ubalozi wa kila aina anzia karanga mpaka coca,voda etc
Hamisa kazaa na dai mbona mwanae hajapata ubalozi danube?arobain haijakiki kama za watoto wa zari,chezea zari wewe classy woman,kila akifanyacho kina faida kuliko hasara
Nimegundua hufahamu chochote kuhusu zari jaman mbona sijawah ona tangazo ka vyuo vya zari mitandaon,unadhan biashara ya chuo ni sawa na ubalozi wa karanga? show zake unazifahamu aje?au ndo utasema dai alimpa wazo la kuanzisha white party shows. Na kwa kukumbusha tu wakati dai kahit 2010,zari alikua staa mkubwa tu huko uganda,wafahamu hilo?(go you tube do some research)
Hayo matusi kwa legends wa muziki uache,acha kabisa kulinganisha muziki mtamu wa bakurutu na hizo bongo fleva. Bila social media bongo fleva chali
2010 labda wewe haukua na access ya internet usiongelee wengine maana hata JF ilianzishwa kabla ya 2010 na bado ikawa na wanachama wa kutosha.
Halafu hata hauelew unachoandika mara redio na tv zitakuwepo kuwapa sapot wasafi so dunia nzima wasafi watasikika redio ila zari atabaniwa ee?hatasikika kabisaaa iwe shows au biashara zake jaman jaman hahahaha
Hapa ndipo aliponishangaza mshana jr !!Hivi kuna mtu anatoa pesa na kununua gazeti la Tanzanite??
Duh! Naona ume-panic! Povu la nini?! You know what! Wakati wala sifahamu posts zako za zamani kuhusu hao watu zina-base wapi, kumbe wewe unanifuatilia what I write about Diamond!
Then ningekushauri rejea posts zangu kuhusu Zari na utagundua i've no problem with her and I was very disappointed by Diamond!!
However, hiyo haiwezi kunifanya nijitie upofu na kushindwa kuona uhalisia!! Nitakuwa mtu wa ajabu niseme eti shining ya Diamond inamtegemea Zari! How?
Diamond anatumia sana Instagram na ni very rare kukuta Zari akim-post Diamond!! Sasa kitakachofanya mwisho wa Diamond kwa sababu ya Zari ni nini?!
Halafu mambo mengine uwe unafikiri kabla ya kuongea... au hufahamu?
Zari kamwezesha Diamond kuwa Balozi?!
Diamond kawa Balozi wa Coca-Cola na Vodacom kabla hajaanza uhusiano na Zari! Hilo la karanga ni kihoja vile vile kwa sababu Zari kaanza uhusiano na Diamond wakati tayari Diamond akiwa na uhusiano mzuri na Clouds!
Sasa how come yeye awe ndie aliyempa mchongo?! Yaani Kusaga anamfahamu sana Zari kuliko Diamond?!
Danube??!! Kabisa ni Zari ndie kafanikisha issue ya Danube?! Si bora ungesema Makonda!! Au ni Zari ndie kawaunganisha Makonda na Diamond?!
Eti sifahamu lolote kuhusu Zari?! Kwahiyo wewe unamfahamu zaidi simply because Brookyln City College inatangazwa zaidi mitandaoni?!
Ni mitandao ipi hiyo inayokufanya uone ni big issue kutangazwa mitandaoni?! Nilitarajia ungesema chuo kinatangazwa sana in trade magazine... wewe unaniambia mitandaoni ambako yeyote anaweza kutangaza!!
By the way, hata kama chuo kinatangazwa sana mitandaoni, sasa hapo Zari anakuwa ana-trend vipi?
Tanzania kuna Zoom College, Azania College and the like!
Hivi vyuo vinatangazwa sana hadi kwenye tv na radio! Je, wamiliki wake wana-trend Tanzania hadi ionekane kutangazwa kwa Brookyln kutamfanya mmiliki wake nae awe ana-trend?
Zari alikuwa Bonge la Star UG?! Hivi we kweli unamfahamu Zari au nawe umemjulia ukubwani kama wenzako?!
By the time, Zari hakuwa BONGE la Star... she's just an average aliyejaribu kutoka kimuziki lakini muziki haukumtoa kivile! Na wala huo muziki hakufika nao mbali!
Kuhusu Internet, I'm very certain nimekuwa na access to Internet kabla yako manake hata kabla ya JF watu tulishakuwa tume-bang sana kupitia Yahoo/MSN Messenger then Dar Hotwire kabla ya Jambo Forum let alone Jamii Forums!
Mi Muhenga wewe!
But this's not about you and me... tunazungumzia majority ya Watanzania! Kwamba by the time majority hawakuwa na access to Internet!
Kwamba eti nisiwalinganishe WCB na Legends, I think you're missing the point!!
Issue hapa ni kwamba, if you have something for mass consumption, especially kama kitu chenyewe ni entertainment; utasikika hata pasipo na Instagram! Ukweli mchungu ni kwamba, ni hizo Bongo Flavor ndio hivi sasa zinafuatiliwa kuliko hizo Barukutu zako!
Kwahiyo hata leo hii endapo social media zote zitafungwa bado Artists watasikika kupitia radio, tv na hata magazeti!
Kwamba ina maana hizo tv na radio zitawatangaza WCB tu na kumbania Zari!
Duh! Kumbania kivipi? Hao WCB watasikika kwa sababu ya muziki wao; what about Zari?! Again, kwahiyo zikitangazwa biashara zake tu nae umaarufu wake utakuwa unaongezeka? Really?
Lemme say this: I respect Zari... very much! And I believe she'll come back!
That said, stop hizi mbwembwe za kurudia rudia about hizo biashara zake as if kuna kitu very special kwenye hizo biashara!! Watu wana mabiashara makubwa makubwa na yanatangazwa kila leo lakini hizo biashara hazijawahi kuwafanya kuwa maarufu!
Ukweli mwingine mchungu ni kwamba, for the time being, Zari ataendelea kusikika zaidi through Diamond kuliko kupitia hizo biashara zake!
Hapa ndipo aliponishangaza mshana jr !!
We Mshana, ni kwamba ana backup ya "gazeti"la Tanzanite au ulitaka kusema ana backup ya utajiri kupitia madini ya Tanzanite?!
Wallah tena, the so said gazeti la Tanzanite nimelifahamu juzi kupitia issue ya Mange!
Naona sindano zimekuingia hadi una-quote na posts zisizohusika!!Aiseeee bonge la hadithi za shingongo,hapa kati yangu na wewe nani kapanic!?
Comment yangu ya kwanza haifutiki mkuu,usilie bana naona unataman hata kunipa ban poleeee
Makonda amshawishi zari amrudie dai ili iweje sasa????Mchezo wao umeshamalizwa nguvu na zari. Kama kweli makonda ana nguvu ya ushawishi abadili msimamo wa zari kumrudia dai. Wasafi tv&radio kiki ishakufa zamaan saiv watatembelea jina kwa miaka miwili mitatu baada ya hapo chali kama sio wao walioingilia fani za watu kwa mbwembwe
Naona sindano zimekuingia hadi una-quote na posts zisizohusika!!
Ni nani kakuambia "ufute" hiyo post yako ya kwanza? Ni wewe mwenyewe ndie utatamani kuifuta baada ya ramli yako kugonga mwamba! !
Btw, hivi kuna simulizi za Shigongo kama hizi za "biashara zake! Biashara zake!" As if kuna kitu very special kutoka kwenye hizo biashara!!
Lakini endelea kujifurahisha tu manake hata Mashabiki wa Wema ndivyo walivyokuwa wanasema lakini kila anayetumia ubongo wake sawasawa anafahamu ni nani aliendelea ku-trend baada ya Wema na Mond kubwagana!!
Wahenga tunasubiria muujiza kuona Msanii aliye very active huku akiwa na coverage kwenye nchi kadhaa za Africa, kwamba hatimae influence yake inazimwa na mtu asiye-release chochoote for mass consumption, wala hayupo kwenye same industry except one annual event inayofanyika in enclosed hall!
Huu ni ukweli kabisa nakumbuka mimi nilimfollow zari before hajawa na Diamond nilikuwa napenda anavoishi vile mafirst class tu anapanda dadeki na kipindi hicho alikuwa na followers wachache instagramDuh! Naona ume-panic! Povu la nini?! You know what! Wakati wala sifahamu posts zako za zamani kuhusu hao watu zina-base wapi, kumbe wewe unanifuatilia what I write about Diamond!
Then ningekushauri rejea posts zangu kuhusu Zari na utagundua i've no problem with her and I was very disappointed by Diamond!!
However, hiyo haiwezi kunifanya nijitie upofu na kushindwa kuona uhalisia!! Nitakuwa mtu wa ajabu niseme eti shining ya Diamond inamtegemea Zari! How?
Diamond anatumia sana Instagram na ni very rare kukuta Zari akim-post Diamond!! Sasa kitakachofanya mwisho wa Diamond kwa sababu ya Zari ni nini?!
Halafu mambo mengine uwe unafikiri kabla ya kuongea... au hufahamu?
Zari kamwezesha Diamond kuwa Balozi?!
Diamond kawa Balozi wa Coca-Cola na Vodacom kabla hajaanza uhusiano na Zari! Hilo la karanga ni kihoja vile vile kwa sababu Zari kaanza uhusiano na Diamond wakati tayari Diamond akiwa na uhusiano mzuri na Clouds!
Sasa how come yeye awe ndie aliyempa mchongo?! Yaani Kusaga anamfahamu sana Zari kuliko Diamond?!
Danube??!! Kabisa ni Zari ndie kafanikisha issue ya Danube?! Si bora ungesema Makonda!! Au ni Zari ndie kawaunganisha Makonda na Diamond?!
Eti sifahamu lolote kuhusu Zari?! Kwahiyo wewe unamfahamu zaidi simply because Brookyln City College inatangazwa zaidi mitandaoni?!
Ni mitandao ipi hiyo inayokufanya uone ni big issue kutangazwa mitandaoni?! Nilitarajia ungesema chuo kinatangazwa sana in trade magazine... wewe unaniambia mitandaoni ambako yeyote anaweza kutangaza!!
By the way, hata kama chuo kinatangazwa sana mitandaoni, sasa hapo Zari anakuwa ana-trend vipi?
Tanzania kuna Zoom College, Azania College and the like!
Hivi vyuo vinatangazwa sana hadi kwenye tv na radio! Je, wamiliki wake wana-trend Tanzania hadi ionekane kutangazwa kwa Brookyln kutamfanya mmiliki wake nae awe ana-trend?
Zari alikuwa Bonge la Star UG?! Hivi we kweli unamfahamu Zari au nawe umemjulia ukubwani kama wenzako?!
By the time, Zari hakuwa BONGE la Star... she's just an average aliyejaribu kutoka kimuziki lakini muziki haukumtoa kivile! Na wala huo muziki hakufika nao mbali!
Kuhusu Internet, I'm very certain nimekuwa na access to Internet kabla yako manake hata kabla ya JF watu tulishakuwa tume-bang sana kupitia Yahoo/MSN Messenger then Dar Hotwire kabla ya Jambo Forum let alone Jamii Forums!
Mi Muhenga wewe!
But this's not about you and me... tunazungumzia majority ya Watanzania! Kwamba by the time majority hawakuwa na access to Internet!
Kwamba eti nisiwalinganishe WCB na Legends, I think you're missing the point!!
Issue hapa ni kwamba, if you have something for mass consumption, especially kama kitu chenyewe ni entertainment; utasikika hata pasipo na Instagram! Ukweli mchungu ni kwamba, ni hizo Bongo Flavor ndio hivi sasa zinafuatiliwa kuliko hizo Barukutu zako!
Kwahiyo hata leo hii endapo social media zote zitafungwa bado Artists watasikika kupitia radio, tv na hata magazeti!
Kwamba ina maana hizo tv na radio zitawatangaza WCB tu na kumbania Zari!
Duh! Kumbania kivipi? Hao WCB watasikika kwa sababu ya muziki wao; what about Zari?! Again, kwahiyo zikitangazwa biashara zake tu nae umaarufu wake utakuwa unaongezeka? Really?
Lemme say this: I respect Zari... very much! And I believe she'll come back!
That said, stop hizi mbwembwe za kurudia rudia about hizo biashara zake as if kuna kitu very special kwenye hizo biashara!! Watu wana mabiashara makubwa makubwa na yanatangazwa kila leo lakini hizo biashara hazijawahi kuwafanya kuwa maarufu!
Ukweli mwingine mchungu ni kwamba, for the time being, Zari ataendelea kusikika zaidi through Diamond kuliko kupitia hizo biashara zake!
Naked truth!Zari bila diamond hakuna ataejishughulisha nae ilo lipo wazi.
Diamond akimfungia zari vioo miezi miwili tu akaja na kitu kipya huyo zari hakuna atae mkumbuka waulize team wema watakwambia vizuri.