Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ni mchezo uliojaribu kuchezwa kwa ufundi kidogo lakini kama kawaida umakini ndio unafunua kila kitu wakuhusika wakuu hapa ni Kingpin Albert Bashe maandalizi ya mbali kisiasa na kujijenga.
Clouds Media Mhanga ni Ruge, visa na utemi wa ujanani na kugombea jina nani zaidi mpaka sasa ni majeruhi wa vipigo vingi.
Kingpin player keshamuumiza sana mpaka kwenye mahusiano na sasa inaingia vita ya kibiashara na mustakabali.
Diamond kupitia Wasafi tv na FM radio umaarufu wake na nafasi katika jamii anatumika kufanikisha malengo ya wengine. Hata kama hataki, hana hiari ya kukataa Wema Sepetu hili ni wazo la Albert.
Huyu ndio kasuka mpango wa kumtoa CHADEMA na kumnyooshea mambo yake yote kuanzia kesi mahakamani mpaka figisu za kibiashara anatumika kisiasa zaidi kwa manufaa ya wengine.
Sasa Kingpin ana kila silaha silaha ya kufanikisha agenda ovu za siri zisizo siri
Ana backup ya mamlaka karibia zote
Ana backup ya media Wasafi media na gazeti la Tanzanite. Ana wapambe kina Musiba na wengine wengi. Ana backup ya watu maarufu wengi vijana under 40
Nisiandike mengi kwa sasa lakini Wema ni sehemu ya mkakati wa kufanikisha jambo kubwa huko mbeleni. Clouds iliyokuwa sehemu muhimu ya kusambaza propaganda zao sasa hivi si kitu tena imeshaumizwa na kujeruhiwa pakubwa.
Inaelekea mwisho wa enzi Wasafi tv na radio zinajengwa kuchukua nafasi ya Clouds Media wakishamaliza hilo subirini wabongo mtafurahishwa!