Shida mimi nliyoona hawana backup, nadhani server yao ndiyo ilizingua kutokana na maelezo ya naibu waziri aliposema kifaa kinachounga mfumo wa tanesco na hii mitandao ya sim na akima maxmalipo, nikahisi itakuwa server ndiyo ilizingua.ishu sio kwamba mfumo kuzingua ishu ni kwamba mfumo ukizingua ww ume react vipi?Mifumo mingi inazingua lakini kutokana na ufanisi wa wataaramu haichukua hata dakika tatizo linakuwa solved.
Nchi za wezetu hasa hayo mataifa makubwa, wanajielewa wao mfumo ukiteta shida ndani ya saa 1 kila kitu kipo sawaHata America hutokea hitilafu ila ikitokea Tanzania imekuwa shidaaaa
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Mtoa mada, Wahandisi wa umeme wana kosa gani? Umeme kwani ulikatika? Mbona unataka kuwaonea Wahandisi bure?(simaanishi kuwa wahandisi hawafanyi makosa, la hasha, ila kwa hili HAWAHUSIKI)Habari wadau!
Jana baada ya kutokea kashikashi ya mfumo wa manunuzi ya Luku, nikawaza sana hawa wahandisi wa umeme waliozingua watakuwa ni product ya chuo gani? Nikajiuliza je walipigwa interview kweli kabla ya kazi au ndio wale waliopata ajira za kamuite? Au ndio huu mfumo wetu wa kuangalia GPA za kukalili?
Kama sio hivyo basi watakuwa wanatumika? Wana kosaje kuwa na backup plan? Kwanini mfumo uzime siku tatu washinde kuurudisha au ndio walienda ku-Google? Kwanini wanashindwa kuanzisha mfumo wa kuhamisha unit kutoka mita moja kwenda mita nyingine? Yaani hawapo creative kabisa.
Mtanisamehe maana niliwaza vitu vya kijinga sana, wakati nipo pale Oilcom Petrol Station ya Kawe binafsi ni mhandisi lakini hawa wahandisi nime wawazia sana nani aliwapa proffessional Certificate pale ERB?
Wakati nipo kwenye mstari niliwaza mengi sana ghafla akaja mzee mmoja wa miaka kama sabini naye akasimama nyuma yangu akaanza kuniongelesha maswali yake yalikuwa kama yangu.
Hapo unaanza kumtafuta mchawi nani?Mtoa mada, Wahandisi wa umeme wana kosa gani? Umeme kwani ulikatika? Mbona unataka kuwaonea Wahandisi bure?(simaanishi kuwa wahandisi hawafanyi makosa, la hasha, ila kwa hili HAWAHUSIKI)
Watu wa mifumo ya TEHAMA ndiyo wa kulaumiwa kwani kilichosumbua ni mifumo ya Kidigitali ya kulipia umeme (ambao umeme wenyewe haukua na shida)haikua na mawasiliano.
Unapopewa jukumu lazima ulitendee haki boss,ww umepewa kutengo na mwanasiasa unataka mwanasiasa ndio aje kukushauri kuhusu backup.Shida mimi nliyoona hawana backup, nadhani server yao ndiyo ilizingua kutokana na maelezo ya naibu waziri aliposema kifaa kinachounga mfumo wa tanesco na hii mitandao ya sim na akima maxmalipo, nikahisi itakuwa server ndiyo ilizingua.
Ilibidi wawe na backup.
Marekani wao wana kila wataaramu wakenya,India,Israel n.k wale jamaa wakimuona mtu ana uwezo tu hawamuachi hata awepo Igunga watamtafuta tu wamuajiri sio huku bongo.😂😂Hitilafu zitokeazo Marekani nako waajiriwe wakenya?!!!
Wazee wametafuta mbinu ya kutuchafua kisiasa wanasema vijana ss wezi,ss sijuhi hao mafisadi wote wanaotumbuliwa kila siku ni vijana.?Ni muda umefika wazee watupishe vijana tufanye kazi maana technolojia inabadilika kila kukicha.awana new plan yoyote ile wakebaki tu kukalia viti maofisini
Hawa NIDA inakuaje inachukua mda mrefu saaaaaaaaaana kupewa kitambulisho physical? Tatizo ni nini?Tatizo sio wataalamu Tz ila tatizo ni siasa. Mashirika ya umma hayako preactive ie NIDA, Tanesco
Haukuwaza ujinga, uliwaza 'fact' mkuu.Habari wadau!
Jana baada ya kutokea kashikashi ya mfumo wa manunuzi ya Luku, nikawaza sana hawa wahandisi wa umeme waliozingua watakuwa ni product ya chuo gani? Nikajiuliza je walipigwa interview kweli kabla ya kazi au ndio wale waliopata ajira za kamuite? Au ndio huu mfumo wetu wa kuangalia GPA za kukalili?
Kama sio hivyo basi watakuwa wanatumika? Wana kosaje kuwa na backup plan? Kwanini mfumo uzime siku tatu washinde kuurudisha au ndio walienda ku-Google? Kwanini wanashindwa kuanzisha mfumo wa kuhamisha unit kutoka mita moja kwenda mita nyingine? Yaani hawapo creative kabisa.
Mtanisamehe maana niliwaza vitu vya kijinga sana, wakati nipo pale Oilcom Petrol Station ya Kawe binafsi ni mhandisi lakini hawa wahandisi nime wawazia sana nani aliwapa proffessional Certificate pale ERB?
Wakati nipo kwenye mstari niliwaza mengi sana ghafla akaja mzee mmoja wa miaka kama sabini naye akasimama nyuma yangu akaanza kuniongelesha maswali yake yalikuwa kama yangu.
Tenaaa! Wee acha tu, wengine ni wasema hovyo tunashindwa pa kuanzia kusema!Hawa NIDA inakuaje inachukua mda mrefu saaaaaaaaaana kupewa kitambulisho physical? Tatizo ni nini?
Habari wadau!
Jana baada ya kutokea kashikashi ya mfumo wa manunuzi ya Luku, nikawaza sana hawa wahandisi wa umeme waliozingua watakuwa ni product ya chuo gani? Nikajiuliza je walipigwa interview kweli kabla ya kazi au ndio wale waliopata ajira za kamuite? Au ndio huu mfumo wetu wa kuangalia GPA za kukalili?
Kama sio hivyo basi watakuwa wanatumika? Wana kosaje kuwa na backup plan? Kwanini mfumo uzime siku tatu washinde kuurudisha au ndio walienda ku-Google? Kwanini wanashindwa kuanzisha mfumo wa kuhamisha unit kutoka mita moja kwenda mita nyingine? Yaani hawapo creative kabisa.
Mtanisamehe maana niliwaza vitu vya kijinga sana, wakati nipo pale Oilcom Petrol Station ya Kawe binafsi ni mhandisi lakini hawa wahandisi nime wawazia sana nani aliwapa proffessional Certificate pale ERB?
Wakati nipo kwenye mstari niliwaza mengi sana ghafla akaja mzee mmoja wa miaka kama sabini naye akasimama nyuma yangu akaanza kuniongelesha maswali yake yalikuwa kama yangu.
System breakdown s zipo jamani
Ss kama hawajajua hilo swala la kuwa na backup all the time hawa watu competence yao si inabidi tuwawekee mashaka.Yes zipo na ndio maana kwenye installation unafanya backup incase server ikileta shida ,wengine wanafanya kama server moja ipo dar basi nyingine inakuwa dom na zinafanya kazi kama Active/Standby mode moja ikipiga chini nyingine ina teake over with the same efficiency huku wakitafuta solution ya tatizo la server ya mwanzo.
You are all Lunatics.Hata America hutokea hitilafu ila ikitokea Tanzania imekuwa shidaaaa
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Mkuu kama imekuuma sana wewe nenda kaombe kazi Tanesco kama unaona ni rahisi, ama wale jamaa walizembea. Sio kila kitu ni rahisi kama uwazavyo wewe.tuambie unachokijua ww?hayo ni mambo niliyokuwa nawaza na nimeomba radhi kama nitakuwa niliwawazia vibaya .Je ww unajua nini au ndio unataka kutuambia hawa walitumwa kumkwamisha SASHA aonekani hafai?