Opportunity Cost JF-Expert Member Joined Dec 10, 2020 Posts 9,034 Reaction score 6,913 May 21, 2021 #41 Huu mtindo wa ajira za kudumu bila kuangalia ujuzi ufe hasa kwenye taaluma zenye uelekeo wa mambo ya ufundi
Huu mtindo wa ajira za kudumu bila kuangalia ujuzi ufe hasa kwenye taaluma zenye uelekeo wa mambo ya ufundi
RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 May 21, 2021 #42 Mwacheni mama afanye kazi.
Bigteacher JF-Expert Member Joined Jan 31, 2014 Posts 458 Reaction score 192 May 21, 2021 #43 La LUKU na lile pambano la watani wa jadi pale kwa Mkapa ni kwasababu JPM hatunae tu
Mtali JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 3,660 Reaction score 2,932 May 21, 2021 #44 Shida hizi kazi watu wanapeana kindugu na kikabila bila kuangalia uwezo wao katika utendaji. Siku wakiamua kutuhujumu ndio inakuwa kama hivi. Mbaya sana.
Shida hizi kazi watu wanapeana kindugu na kikabila bila kuangalia uwezo wao katika utendaji. Siku wakiamua kutuhujumu ndio inakuwa kama hivi. Mbaya sana.