Kilichotokea kwa Aziz Ki kimenifanya niamini kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa kibongo wanatumia ndumba kwenye mahusiano

Hamna cha ushirikina au ndumba, ni tamaa za wanaume kufikiri kwamba wanawake wana jipya la kuwapa, ingekua hivo Mo na Bakresa kila wiki wangekua wana oa wa bongo wenye kufanya ndumba.
Mkuu umeifunga mada.

Ni tamaa tu ambayo huwa haidumu mioyoni mwa wadau walio wengi na ndiyo maana ya ndoa kuvunjika mapema.

Kuna wengine hudiriki hadi kutoa mahari kwa wachumba wasiokuwa na haja ya kuwaoa, ili mradi tu afanikishe dhamira yake ya 'kupata' bila kujali gharama ama hasara.
 
Wengine tunasubiri kuona kiwango uwanjani kitongezeka ama kushuka tupate la kujazia
 
Hajarogwa bwana yeye kapenda tako lile...mobeto mzuri nyie achine kwanza ukimvua kyupi yule unaweza anza kupiga sala kushukuru bahati ya kukojolea pale.

Aziz baba wee kula mali safi hiyo maisha ndio haya haya
Tofautisha kuwa mzuri na maarufu, huku mtaani kuna watoto wazuri tena bikra na bado hutoi hiyo 30M
 
Hamna cha ushirikina au ndumba, ni tamaa za wanaume kufikiri kwamba wanawake wana jipya la kuwapa, ingekua hivo Mo na Bakresa kila wiki wangekua wana oa wa bongo wenye kufanya ndumba.
Wahindi wafanyabiashara hawathombi nje,niliipata specifically kwa manji,wanaogopa huo ungese, maana utakuyumbisha
 
Nitakuwa wa kwanza kuamini HAMISA ni Mrs kii

Nikutakie khery Tena kwako Mr and Mrs kii kwenye ndoa yenu

Mkafanikiwe kwenye kila kusudio lenu. Amen
 
Hahaha
 
Hamna cha ushirikina au ndumba, ni tamaa za wanaume kufikiri kwamba wanawake wana jipya la kuwapa, ingekua hivo Mo na Bakresa kila wiki wangekua wana oa wa bongo wenye kufanya ndumba.
Hahaha
 
Hamna cha ushirikina au ndumba, ni tamaa za wanaume kufikiri kwamba wanawake wana jipya la kuwapa, ingekua hivo Mo na Bakresa kila wiki wangekua wana oa wa bongo wenye kufanya ndumba.
1 million likes mkuu.
 
Why does it matter to you if Aziz marries Hamisa or not?

You are not the one getting married, so why does it matter to you?

Your family is not paying for this wedding, so why does it matter to you?

1 million likes mkuu
 
uwe na subra MTU akiwa ana-enjoy hela zake.

Almradi TRA hawamdai Aziz muhimu tuwaombee ndoa yao ifanikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…