Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mkuu umeifunga mada.Hamna cha ushirikina au ndumba, ni tamaa za wanaume kufikiri kwamba wanawake wana jipya la kuwapa, ingekua hivo Mo na Bakresa kila wiki wangekua wana oa wa bongo wenye kufanya ndumba.
Ni tamaa tu ambayo huwa haidumu mioyoni mwa wadau walio wengi na ndiyo maana ya ndoa kuvunjika mapema.
Kuna wengine hudiriki hadi kutoa mahari kwa wachumba wasiokuwa na haja ya kuwaoa, ili mradi tu afanikishe dhamira yake ya 'kupata' bila kujali gharama ama hasara.