Kilichotokea kwa Aziz Ki kimenifanya niamini kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa kibongo wanatumia ndumba kwenye mahusiano

Kilichotokea kwa Aziz Ki kimenifanya niamini kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa kibongo wanatumia ndumba kwenye mahusiano

Anyways hiko hivi... Japo mimi ni team Kataa Ndoa tena ni mwandamizi mkuu... Ila hii ndoa ya Aziz na Hamisa iacheni kama ilivyo msiiharibu waacheni wainjoi... Ukiwa na jicho la 3 la kufikiria utagundua Aziz ame win lakini pia Hamisa ame win ktk hiyo ndoa...
Mnajua WaTz wengi sisi ni masikini ndio maana wengi wetu tunaona Aziz ametoa pesa nyingi kulipia mahari, pia tunaona Aziz atachunwa pesa nyingi na Hamisa...
Embu kaeni mjifikirie tumieni akili ndogo tu za darasa la 4C. Tambueni mshahara wa Aziz ni zaidi ya Million 30 kwahio kutumia mshahara wake wa miezi 3 kugharamia mahari na harusi ni jambo dogo sana tena sana...
Kwahio mlitaka Hamisa awe mpumbavu aseme anataka mahari ya ng'ombe mmoja na kinyago cha bibi 🤣😂 wakati anaona kabisa hata akisema mahari ni million 100 Aziz angeweza kutoa bila tatzo...
Aziz amelamba asali na Hamisa amelamba dume hiyo kitaalamu tunasema WIN WIN SITUATION au wazee wa kubet wanasema BOTH TEAMS TO SCORE 🤣😂
Hii ndoa ni faida kwa taifa la Tanzania, kama nchi tumeshinda ktk hili jambo, tumeshinda kijamii na kiuchumi...

Wanaume wa Tanzania ni marufuku kuoa mwanamke masikini, mwanamke tegemezi asiye mbele wala nyuma...
KATAA NDOA 👰❌🤵
 
Hilo ndilo watu wanalisahau. Hamisa kumjua ni issue ya kuingia insta na YouTube kwa hiyo Aziz kaoa mtu anaemjua pamoja na madhaifu yake

Lakini kikubwa yeye ndiye anamjua hamisa nje ya mtandao na kaona anastahili kuwa mkewe.

Japo hata mimi nilikuwa na mashaka kama hii sio promo tu lakini kama wameoana ni sawa tu
Yaah sure mkuu, huenda jamaa kuna kitu extra kaona.

Hizi mbanga za kudhani kauziwa mbuzi kwenye gunia ni za waja tu wasio mjua huyo binti zaidi ya kumuona kwa picha tu.
 
K
Sijaelewa labda kuna wanaoona hamisa ni gold digger kwa hiyo jamaa anaenda kupukutishwa pesa na kuharibiwa career.
Ki àna hela za msimu na si tajiri. Hela zake inabidi azitunze. Kwenye kitabu àna miaka 28 kiuhalisia ana 34. Baada ya mwaka kipaji kwisha na bei yake itashuka. Asipotunza hela àtafirisika haraka na kwa sura ile hàta gigy money hampati.
 
Wanawake wengi makombo ila inaleta maana kuoa, siyo kuoa mobeto, hayo ni matumizi mabaya ya ndoa. Mwaka hauishi Ki atakuwa amefilisika hamisa anaendelea na wahuni wenzie.
huo ndo ukweli japo mchungu
 
Kuna watu wanaandika kama wamekasirika walitaka waolewe wao vile.

Waachieni watu waoe au waolewe wanavyotaka.

Kuwaingilia kwenye maamuzi yao hayo ni ushamba tu.
Watu wa jamii ya kiafrika hovyo sana, yani kutokana na umasikini wanadhani nyama na samaki ni mboga ya kutafunia vitu vingine kama ugali, mihogo, magimbi na wali... Hawako tayari kukubali nyama na samaki vinaweza kuliwa vyenyewe kama chakula 🤣🤣

Kinachowauma sio Hamisa kuolewa bali ni mahari kwa ng'ombe fuso 2 na hiyo milioni 30
Wamezoea kutoa mahari za laki 5 hivyo wanaona kama Aziz kakosea
 
Watu wa jamii ya kiafrika hovyo sana, yani kutokana na umasikini wanadhani nyama na samaki ni mboga ya kutafunia vitu vingine kama ugali, mihogo, magimbi na wali... Hawako tayari kukubali nyama na samaki vinaweza kuliwa vyenyewe kama chakula [emoji1787][emoji1787]

Kinachowauma sio Hamisa kuolewa bali ni mahari kwa ng'ombe fuso 2 na hiyo milioni 30
Wamezoea kutoa mahari za laki 5 hivyo wanaona kama Aziz kakosea
Ng'ombe fuso mbili kwa kukadilia haraharaka kila fuso ilikua na Ng'ombe ngapi? Tuseme 12 kila fuso jumla Ng'ombe 24 × 800@ hapo nishilling ngapi hapo, kwa jumla na mahari ya shilling 30m havuki 70m, wakati kuna watu wanaolewa kwa kupewa majengo mjini, mnyatuzo mweupe kule simiu anaolewa kwa mahare ya ngombe 100, mtu anapewa range rover 120m kama zawadi, kweli watu waone wivu kwa ngombe 24 tu na 30m.
 
Jama i eeh nasema hivi 98%ya wanaume tutaoa malaya sema tuu 95% tutaoa malaya ambao sio maarufu
mkuu ume hitimisha kipuuzi sana, wanawake wenye heshima na utu bado wapo.

ni vile hatuja, hauja waona au ku experience mazingira yao.

ila trust me or not, wanawake wenye nidhamu na kustahili wema wapo.
 
Nilishawahi kushauri vijana muwe fit kwenye mambo ya kimila hamkuelewa. Kilichomkuta Aziz Ki kitawakuta wengine mnaodharau mambo ya mila na utamaduni. Nampongeza HAMISA kwa kuzingatia mambo ya kimila kufanikisha jambo lake. Hamisa ni mfano wa kuigwa kwa wanawake wengine. Nitakuwa na safari ya kwenda kufanya ibada za kimila huko Wampembe, Ziwa Tanganyika. Kwa aliye tayari kwenda anicheki.
 
Mimi nimewashauri wanaume tutafute nguvu za kiroho hatuskii.

Hapa kuna kikundi kinajiita KATAA NDOA, kina lia lia kila siku.

Hivi hatujiulizi kwanini wanawake hawana msimamo wa kukataa ndoa?

Hawa watu wako hatua nyingi sana mbele kwenye mambo ya kiroho kulinganisha na wanaume, hata kabla hajaenda kwa mganga anajua anaweza kukudhibiti kwa njia gani...

Na kujiamini kote waliko nako kunatokana na huko kututangulia, ndio maana utakuta familia za watu wanaojua mambo makubwa ya kiroho ngumu sana kuteswa na mapenzi.

Wanaume wengi wanaoa wanawake waliolazimishwa wawaoe, na wale wanawake tuliowapenda na ambao tungedumu nao kwa furaha na mafanikio, tunazuiwa tusiwaoe.

Kama mwanaume angekuwa na uwezo wa kiroho, usingesikia campaign kama KATAA NDOA.

Huwezi kumkuta ngosha huko Geita anakwambia KATAA NDOA, sanasana utamkuta ana wake wawili ama zaidi.

Sasa kama tunashindwa kuwa na maamuzi na mamlaka dhidi ya wanawake tutawezaje kuwa na maendeleo?

Kwa sababu bila kuwa na ndoa imara ni wazi hakuna maendeleo...
 
mkuu ume hitimisha kipuuzi sana, wanawake wenye heshima na utu bado wapo.

ni vile hatuja, hauja waona au ku experience mazingira yao.

ila trust me or not, wanawake wenye nidhamu na kustahili wema wapo.
bro watafute mie sina muda huo. nakomaa na hawa hawa breki pumbuz maisha ni haya haya. utelezi haukauki. muhimu nimepata pakukojolea
 
Back
Top Bottom