Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Anyways hiko hivi... Japo mimi ni team Kataa Ndoa tena ni mwandamizi mkuu... Ila hii ndoa ya Aziz na Hamisa iacheni kama ilivyo msiiharibu waacheni wainjoi... Ukiwa na jicho la 3 la kufikiria utagundua Aziz ame win lakini pia Hamisa ame win ktk hiyo ndoa...
Mnajua WaTz wengi sisi ni masikini ndio maana wengi wetu tunaona Aziz ametoa pesa nyingi kulipia mahari, pia tunaona Aziz atachunwa pesa nyingi na Hamisa...
Embu kaeni mjifikirie tumieni akili ndogo tu za darasa la 4C. Tambueni mshahara wa Aziz ni zaidi ya Million 30 kwahio kutumia mshahara wake wa miezi 3 kugharamia mahari na harusi ni jambo dogo sana tena sana...
Kwahio mlitaka Hamisa awe mpumbavu aseme anataka mahari ya ng'ombe mmoja na kinyago cha bibi 🤣😂 wakati anaona kabisa hata akisema mahari ni million 100 Aziz angeweza kutoa bila tatzo...
Aziz amelamba asali na Hamisa amelamba dume hiyo kitaalamu tunasema WIN WIN SITUATION au wazee wa kubet wanasema BOTH TEAMS TO SCORE 🤣😂
Hii ndoa ni faida kwa taifa la Tanzania, kama nchi tumeshinda ktk hili jambo, tumeshinda kijamii na kiuchumi...
Wanaume wa Tanzania ni marufuku kuoa mwanamke masikini, mwanamke tegemezi asiye mbele wala nyuma...
KATAA NDOA 👰❌🤵