Kilichotokea leo kwa mashujaa iwe fundisho kwa wale wapoteza muda!

Kilichotokea leo kwa mashujaa iwe fundisho kwa wale wapoteza muda!

Mwamuzi leo ametutoa kimasomaso.
Wataalamu tumepitia upya mwanzo mpaka mwisho wa kipindi cha pili. Katika dakika 45 za kipindi cha pili, dakika zilizopotea zilikuwa 4 kasoro, lakini kamisaa akaonyesha nyongeza 6.
Hiyo cha mtoto, katika zile 6 za nyongeza muda uliopotezwa ulikuwa ni sekunde 35, lakini mwamuzi akaongeza za kwake na goli likafungwa dakika ya 7 na sekunde ya 20s.
 
Back
Top Bottom