Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Dakika zinazoongezwa hizi mechi za hawa wakubwa huwa zinawafavour sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashujaa ni kweli walipoteza muda na hata dakika zilizoongezwa kwangu ni chache sana.Mkuu samahani hebu tuiweke hii sawa, dakika zikiongezwa zinaongezwa kwa timu zote au timu moja? Au katika nyongeza ya dakika timu moja inasimama nyingine ndio inashambulia? Kama dakika ni za wote huoni kama yeyote anaweza kushinda hapo
Utakwenda peponi!Mashujaa ni kweli walipoteza muda na hata dakika zilizoongezwa kwangu ni chache sana.
Ila kutumia hoja ya kwamba dakika zinaongezwa kwa wote ni hoja dhaifu kwa kuwa mpira ni mchezo wa malengo. Yule anayelinda alichonacho zikiongezwa dakika nyingi kupitiliza zinamuweka hatarini wakati yule anayetafuta matokeo anakuwa kwenye faida zaidi ya kuyapata.
Mimi sio muumini kabisa wa kupoteza muda. Bodi ya ligi ifike muda wapitishe sheria ziongezwe hata dakika 10 ikibidi. Mpira wa Bongo unasimama sana. Hata ikitokea freekick karibu na box hadi ipigwe dakika nzima inakata.
Kila kitu ni kama.......mbumbumbu bila kabahasha hakuna ushindi, na msimu huu nafasi ya nne inawahusu
Hakika kabisa muhenga.....
Dese alipeleka msiba kwa MASHUJAA na wapambe wake woteMukwalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa........!! dakika za jiooooooooni......!!