kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Na wakitaka kufungwa wao mpira unaisha hapo hapo, refer mechi ya Coastal Union. Hawa washenzi wanabebwa sanaMpira hauishi hadi makolo wapate goli
Goli limefungwa ndani ya muda wa nyongeza dk 6.Mpira hauishi hadi makolo wapate goli
Haya furahi Kijili hajachezaGoli limefungwa ndani ya muda wa nyongeza dk 6.
What makes you angry?Choko kweli ww, kwani dakika waliongezewa simba afu mashujaa wakafungwa miguu wasizitumie?
Kama inakuumiza chomoa
Hilo liangaliwe na takukuru!Shenzi fucker simba ποΈποΈποΈ mmebebwa na refa mashujaa sio namungo
Nahusika vipi na matokeo!Haya furahi Kijili hajacheza
Kiungo mshambuliaji et ahua πππHilo liangaliwe na takukuru!
Wa timu gani na amefanya nini!Kiungo mshambuliaji et ahua πππ
Yaani nji hii ngumu sana.Mpira hauishi hadi makolo wapate goli
Matokeo ni dhuluma ya waziNahusika vipi na matokeo!
Hawa wapuuzi walianza kupoteza muda tangu dakika ya 17 ya kipindi cha kwanza lakini mwisho wa siku wameruka mkojo wamekanyaga ma viSikupenda goli walilofungwa mashujaa lakini iwe fundisho kwa wale wapoteza muda mwisho wa siku imewagharimu.
Hongera simba kwa pointi tatu za jioni!
Angalizo man of the match ni johora!
PIA SOMA
- News Alert: - Mashujaa 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika | 1 November, 2024