Kilichotokea leo kwa mashujaa iwe fundisho kwa wale wapoteza muda!

Tambeni ila mjue msimu huu mtadondosha alama nyingi kuzidi msimu uliopita.
 
Kwani zilivyoongezwa 6 Simba wakicheza peke yao au mashujaa walishikwa miguu? Huko kwenu walio timamu bado ni WAWILI au wamepungua?
 
Miuto bana...imesahau ya kayoko...
Kayoko yuko kikaangoni
Na miyanga imepigwa faini ya milioni 10 kwa kupita milamgo ya nyuma mwiko...
 
mpumalelo dube mwanamfalme hadi sasa hivi ana magoli mangapi kwenye ligi kuu? bibi kaniuliza nimeshindwa.
 
Mechi za ligi kuu nyingi zinachezwa dakika chini ya 75. Timu inaanza kupoteza muda kuanzia dakika ya kwanza ya mchezo.

Kuna haja zote kucopy utaratibu wa ligi ya EPL. Kule zinaongezwa hadi dakika 12 ikibidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…