Kilichotokea leo kwa mashujaa iwe fundisho kwa wale wapoteza muda!

Hivi huo muda ulioongezwa na kuwa gumzo hivi, waliongezewa Wachezaji wa Simba tu? Hao wachezaji wa Mashujaa walikuwa wamefungwa miguu wasicheze?
 
goli lilifungwa dk ya nyongeza 6 sekunde ya 54
 
Uliangalia mpira au unabwatabwata.. goli limefungwa dk 96 na sekunde kama 50+
 
Hukuona kwenye dakika za nyongeza kipa wa mashujaa aliumia na kutibiwa uwanjani?
 
Juzi juzi tu hapa mashujaa waliifunga Simba Leo watu wamejitoa ufahamu kwa goli moja!!!
 
Mkuu samahani hebu tuiweke hii sawa, dakika zikiongezwa zinaongezwa kwa timu zote au timu moja? Au katika nyongeza ya dakika timu moja inasimama nyingine ndio inashambulia? Kama dakika ni za wote huoni kama yeyote anaweza kushinda hapo
 
Marefa hawafanyago hivyo, kukiwa na movement ya mashambukizi hasa ndani ya box hata kama muda umepita refa ana mamlaka ya kuongeza muda wake binafsi hadi shambulizi lipite
 
Kona zilianza kupigwa muda gani? ungekua wewe ni refa unaweza kumaliza mpira wakati wa shambulizi?
 
Marefa hawafanyago hivyo, kukiwa na movement ya mashambukizi hasa ndani ya box hata kama muda umepita refa ana mamlaka ya kuongeza muda wake binafsi hadi shambulizi lipite
Costal na simba mpira ulimalizwa kukiwa na shambulizi
 
mbumbumbu bila kabahasha hakuna ushindi, na msimu huu nafasi ya nne inawahusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…