Kilichotokea Moshi sio kafara kwa sababu zifuatazo

Kilichotokea Moshi sio kafara kwa sababu zifuatazo

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
KAFARA NI NINI?

Kafara NI kitu cha thamani kinacho tolewa na MTU Kwa Mungu au miungu Kwa sababu maalumu.


SABABU ZA KUTOA KAFARA.

Kafara hutolewa Kwa sababu mbalimbali.

Kwa sababu ya muda na nafasi nitazielezea chache Kwa ufupi:


1.TO PROVE YOUR LOYALTY AND OBEDIENCE TO THE GOD OR god(s) THAT UR SERVING OR THAT U R SEEKING TO ENTER INTO A PACT WITH:

Mfano:

When God asked Abraham to sacrifice his son ISACK ( ISHMAEL?) he actually wanted to prove Abraham's loyalty and obedience over him.

Wakati mwingine kafara ya aina hii ( to prove loyalty) sio lazima itolewe Kwa Mungu au muungu. Inaweza kutolewa Kwa MTU au kikundi cha watu.

Nitakupa mifano hai.


In 1994 wakati wa mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi huko nchini Rwanda kuna baadhi ya watutsi wali wasaliti watusi wenzao ili waweze kuwa spared from the interahamwe's wrath.

Wengi wao walikuwa ni wale walio julikana kama WAHUTSI ( Mixture Baba Mhutu/ Mama Mtutsi )

When the Interahamwe approached them these guys would say " DONT KILL US PLEASE. WE ARE NOT TUTSIS. ITS JUST OUR FATHERS MARRIED OUR TUTSI MOTHERS BUT WE OURSELVES HATE TUTSI TOO. AND WE CAN JOIN YOUR ' EVIL' CAMPAIGN"

Interahamwe: " Kama unamaanisha unacho kisema. Kamata panga, kamata rungu twende Hadi nyumbani kwenu umuue mama.ako na mama zako wadogo ambao ninwatutsi. Ukifanya hivyo utakuwa ume prove your loyalty to us.


After they killed their mothers they were then justified to be initiated in the interahamwe.

So Kwa lugha nyingine watu hawa waliwatoa kafara mama zao ili waweze kupona kuuwawa and at the same time to prove their loyalty to the interahamwe.


Mfano mwingine ni huko nchini Marekani. Kuna makundi ya kihuni maarufu kama the bloods and the crips.

It was alleged that if you want to join them you should first kill a person. The leader of the relevant sect of a gang will give you a task to kill a person who is of course one of their enemy and if u full fill the task you then qualify to join them..



2. GOD OR YOUR god(s) NEED YOU TO MAKE HIM THE FIRST PRIORITY.

When God asked Abraham to sacrifice his son ISACK ( ISHMAEL?) he actually wanted ABRAHAM to sacrifice the place of ISACK ( ISHMAEL?) in his heart and put God instead, of which he did. So to me ABRAHAM actually sacrificed his son.
The real and acceptable sacrifice is the one that take place in the heart . The physical one is just a translation to what has actually happened in your heart.

" Ukitaka kumchinja kuku, kondoo, mbuzi au n'gombe huwa Una mchinja Kwanza kwenye nafsi yako kabla hujamchinja kwenye shingo ) Maalim Mohamed Said atakubaliana na Mimi katika hili.


3. UNAFANYA KAFARA YA DAMU KWA AJILI YA KUITUMIA DAMU ULIYO IMWAGA KAMA POINT OF CONTACT BETWEEN YOU AND YOUR GOD,god(s) OR THE SPIRITUAL WORLD, WHICHEVER COMES FIRST.

Katika ulimwengu wa roho, moja Kati ya kazi za damu NI kutumika kama medium of communication. What do you want to communicate to the spiritual word? . You use the blood as a medium of communication. The blood will speak for you. You will speak to the blood what you want to speak to the spiritual world and the blood will speak to the spiritual world on your behalf. Moja Kati ya kazi kubwa za damu katika ulimwengu wa roho ni kutamka.etc.


4... DAMU HUTUMIKA.KATIKA MAAGANO YA KIROHO.

AGANO NI NINI? : AGANO NI MAKUBALIANO RASMI BAINA YA PANDE MBILI AMBAZO ZIMEKUBALIANA KUTEMBEA KWA PAMOJA KWA MUDA MAALUMU NA KWA MASHARTI NA UTARATIBU MAALUMU.

# MASHARTI NA UTARATIBU HUO LAZIMA VIWE VINAENDANA NA KANUNI ZA ASILI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO. MASHARTI AU UTARATIBU HUO UKIENDA KINYUME NA KANUNI MAMA ZA ULIMWENGU WA ROHONI BASI AGANO HILO LINAKUWA IMPOTENT. HALIWEZI KUWA EXECUTED KATIKA ULIMWENGU WA DAMU NA NYAMA.


# AGANO LIKISHA INGIWA HALIWEZI KUVUNJWA KIENYEJI ENYEJI BILA PANDE HIZO MBILI KURUDI MEZANI KUFANYA MAZUNGUMZO.

# ENDAPO PANDE HIZO ZITA AFIKIANA BASI LITAUNDWA AGANO JINGINE MAALUMU KWA AJILI YA KUVUNJA AGANO HILO. KWA LUGHA NYINGINE AGANO HUVUNJWA KWA AGANO.


# AGANO linaweza kuingiwa Kwa hiyari au Kwa kushurutishwa.


# AGANO la hiari : Pande mbili zinakubaliana kuingia katika AGANO.


# AGANO SHURUTI: Mchawi anaweza kuingia katika AGANO na mapepo Kwa ajili ya kumfunga MTU Fulani. Eg kumsababishia maradhi ya kichawi, kufunga rizki, kumchukua msukule au kumfanya kuwa mpenzi, mke, mine etc.

KAZI YA DAMU KATIKA MAAGANO YA KIROHO.

Damu ina kazi nyingi Sana katika ulimwengu wa kiroho. Muda hautoshi. Nitazielezea chache Kati ya hizo.

1. Kuua na kuhuisha( kukipa uhai )kitu, madhabahu au AGANO.

Katika ulimwengu wa roho damu inasimama kama Ishara ya Uhai but at the same time inasimama kama Ishara ya kifo na hatari.

Mfano: MTU akiishiwa damu anakufa lakini MTU huyo huyo akiongezewa damu ana rejewa na uhai.

Kama MTU anataka kuua ( kumaliza) Jambo Fulani linalo msumbua ana weza kutumia kafara ya damu . MTU huyo huyo kama anataka kuhuisha Jambo lake anaweza kufanya hivyo Kwa kutumia kafara ya damu.

2. DAMU HUTUMIKA KUBADILISHA AU KU TRANSFORM KITU, HALI AU JAMBO.

Kama.tulivyo ona hapo Juu nguvu ya damu inaweza KUBADILISHA uhai kuwa kifo na kifo kuwa uhai. Nguvu hiyo hiyo ya damu katika ulimwengu wa roho inaweza kutumika KUBADILISHA Hali ya kitu au MTU.

Biashara au mapenzi yaliyo kufa yanaweza kuhuishwa Kwa nguvu ya kafara ya damu. Biashara yenye ' uhai' inaweza kuuliwa Kwa nguvu ya kafara ya damu.

3. KUHALALISHA HATIA : Wachawi hawawezi kumroga mtu bila MTU huyo kuwa na HATIA. Kama MTU anae kusudiwa kurogwa Hana HATIA basi Wachawi wanaweza kuhalisha HATIA ya MTU huyo Kwa kutumia damu ya mnyama.

# Likitokea tukio la mauaji ya umwagaji damu. MTU atakae kutwa eneo la tukio na michirizi ya damu basi atatuhumiwa kuhusika na mauaji hayo Kwa namna moja au nyingine. This is what am talking about here

4. KUHALALISHA SPIRITUAL TRANSFER OF OWNERSHIP

Vitu huwa vinaanza kumilikiwa katika ulimwengu wa ROHONI Kwanza kabla havija nilikuwa kwenye ulimwengu wa NYAMA.

Kinacho weza kumpa MTU uhalali wa kumiliki kitu au Jambo Fulani kwenye ulimwengu wa NYAMA hata kama.sio lake NI damu.

Kwa mfano MTU anaweza kwenda kufanya kafara ya damu Kwa ajili ya kumiliki Kiwanis chako, biashara yako, mke wako, nyota yako nakadhalika.

5. KUSIMAMISHA AGANO. ( To erect a spiritual covenant )


6. KUKAZIA AGANO ( To execute a covenant )

7. Kuanzisha madhabahu ( To establish an altar )

8. Kuita roho na viumbe mbalimbali wa kiroho ( To summon spirits )

9. Kuunganisha nafsi.

10. Kufunga
11. Kufungua
Nakadhalika nakadhalika.

TUKIO LA MOSHI NI AJALI YA KAWAIDA TU KAMA AJALI ZINGINE. USICHUME DHAMBI BURE KWA KUMNENEA MABAYA MTUMISHI WA MUNGU.


Ungeweza kumuonea MTUMISHI Kwa kusema katoa kafara kama walio kufa wangekuwa.

# wazazi wake.
# watoto wake.
# mke wake.
#dada ake
# Kaka ake au mdogo wake.


Kafara lazima iwe na MTU ambae ana damu yako.sio MTU ilimradi MTU.


How do you prove loyalty to the gods for a sacrifice of strangers? Hell No!!!


UZUSHI MKUBWA KUHUSU KAFARA ZA DAMU NA MAJINI / MAPEPO.


Ooh MAJINI na mapepo chakula Chao kikuu NI damu .
MAJINI na mapepo NI roho ( spirits). Tangu lini roho zikala au zikanywa ?

Mambo ya Kula na kunywa halo designed Kwa binadamu na wanyama wenye miili sio MAJINI wala mapepo.

Ingekuwa MAJINI chakula Chao NI damu za watu basi leo duniani kusinge kuwa na watu coz they are more then us. It is said that Kwa kila MTU mmoja kuna MAJINI Mia TATU.


Wengine ooh ukitaka kuwa tajiri wewe yape MAJINI sadaka ya damu.

Unapoyapa damu unaya furahisha and in turn yanakupa utajiri. Hahahaha mawazo ya kitoto kweli.


Ingekuwa rahisi namna hiyo basi hata Kiranga angekuwa tajiri. Ange Acha kubeba box na kupigwa na narudi Chicago.


# Acheni kumuonea wivu Apostle Mwamposa.

# Mungu amempa karama ya uponyaji na kuwafungua watu. U cannot change it. Just live with it.


# Kumsingizia uchawi sio Jambo la kushangaza Kwa sababu hata Yesu aliwahi kuhisiwa kutumia nguvu za shetani kutokana na Miujiza mikubwa aliyo kuwa akiifanya.


# So kumu husisha Bulldozer na uchawi it's a compliment Kwa sababu in other words Ur trying to say that this guy is performing wonderful miracles and signs that can only be performed by people with supernatural powers.


SWALI LA KITOTO KWELI: " KAMA.BULDOZER NI MTUME WA MUNGU KWELI KWANINI HAKUONA TUKIO LA.MOSHI KABLA HALIJATOKEA?"


Kabla hujauliza SWALI la KITOTO Anza Kwanza kujiuliza maswali yafuatayo:

1. Kama Mungu alijua Shetani atakuja kumu Hasi kwanini alimuumba? Ina maana hakujua kama atakuja kumuhasi?


2. Kama Mungu alijua Adam na Hawa watakuja kuhasi, kwanini aliwaumba na kuwaweka kwenye bustani ya Edeni? Ina maana hakujua kuwa watakuja kumu Hasi ?

Kifo huwa hakikosi sababu na hakichagui mahali pa kutokea. Mungu pekee ndio ajuaye siku yako NI lini.

# Don't call God's curses upon your head Kwa KUMNENEA MABAYA MTUMISHI wake.

# THOSE WHO WANT APOSTLE MWAMPOSA TO CRY. GOD THE ALMIGHTY SHALL MAKE THEM CRY BLOOD FIRST.

# Rip Kwa waliopoteza maisha yao. Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi.


# Poleni mliopoteza ndugu, Jamaa na marafiki zenu, Mungu awatie Nguvu.

ALAMSIK
 
Mkuu umeeleza vizuri!Sina cha kuongeza!
Lkn hapo kwenye ishmael,mtoe abaki isaka ndo sahihi!
Na damu ni point of contact ktk ulimwengu wa roho na wa mwili ambapo nyuma yake kuna roho zinazohakikisha zinasimamia damu iliyomwagwa inafanya kazi husika iliyokusudiwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana sisi tuna damu ya Yesu!

Shida ni kuwa wapendwa wengi hawajui kuotumia hii damu!

Lkn ndo damu pekee inayoweza kuvunja agano looted,inayoweza kukulinda na chochote wachawi wanajua[emoji16]hapawanapita kimyakimya!

Biblia inasema,kwenye damu kuna uhai..! Kwahiyo kwenye damu ya Yesu kuna Roho Mtakatifu, na kwenye damu za wanyama kuna roho gani...,jibu unalo... Walawi...ebrania 9,12:24,kutoka 12:12,23...

Ngoja niishie hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeeleza vizuri!Sina cha kuongeza!
Lkn hapo kwenye ishmael,mtoe abaki isaka ndo sahihi!
Na damu ni point of contact ktk ulimwengu wa roho na wa mwili ambapo nyuma yake kuna roho zinazohakikisha zinasimamia damu iliyomwagwa inafanya kazi husika iliyokusudiwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kula tano mkuu. Ur the true son of your father
 
Yoyote yenye mantiki thabiti, isiyopingika, inayoweza kurudufishwa.
Consistency and uniformity:

A: uniformity

1. Watu wote dunia.nzima.waafrika, warabu, wahindi, wachina Kwa wazungu wanafanana Sura za maumbile Yao. Mfano ukichukua papuchi ya mwafrika .inafanana Sura na.ya mzungu,mwarabu, mchina etc. The same Kwa wanaume..size inaweza kuwa tofauti but Sura is the same.


2. Utamu wa kupizi Kwa wanaume wote duniani unafanana.


3. Sura ya ogani za ndani za binadamu wote duniani kama.vile maini, moyo n.k zinafanana.

4. Taste ya ladha mbalimbali is the same to every person..mfano kitu chenye ladha chungu. If I taste here in Tz I will feel the same taste as the guy in Papua New Guinea if he tastes the same stuffs

Hapa kwenye uniformity Mifano ipo Mingi mno.

This uniformity aspect proves that we came from the same source. We were carefully created by the same God. Things wouldn't be the same kama tungekuwa tumetokea Kwa bahati mbaya.


Hata kwenye criminal investigation, you can prove that a series of crimes were committed by the same guy just by looking at the way the said crimes were committed.

Mifano ipo mingi.mno.


B: CONSISTENCY

1. Duniani kila mwanadamu anae zaliwa anazaliwa akiwa na Alama zake mwenyewe.za vidole vya.mikono ( finger prints ). This has been consistency since the beginning of time.

2..Jua siku zote Lina chomoza MASHARTI na Lina Zama.magharibi.This is consistency.

Hapa kwenye consistency Mifano ndio ipo ya kumwaga.


Consistency is a.proof that there is a power behind.
 
LIKUD,

First things first.

Ukishasema watu wote dunia nzima waafrika , waarabu, wahindi, wachina, wazungu wanafanana, tayari ushaji contradict.

Hawa ni watu tofauti, na ndiyo maana una makundi hayo tofauti.

Hlafu naweza kukuambia mbona watu hawafanani na nguruwe? Kwa nini unafananisha wanaokaribiana tu?

Halafu hata kama wote wangefanana sawasa bila tofauti hata ya nukta, hilo lingethibitishaje Mungu yupo?
 
Kiranga,

Nimesema Sura na tabia za maumbile Yao pamoja na ogani zake za ndani ya mwili. Yani ukichukua moyo wa.mwarabu ukaufananisha na.moyo.wa.mwafrika,muhindi, mchina au mzungu. Sura is the same. Tabia is the same

Nguruwe anafanana na nguruwe wenzake. Nguruwe wa Tz is the Same Kwa Sura na tabia as nguruwe wa Australia na Argentina.


It proves God's existence cause it show uniformity. It proves that we were carefully designed and created by a higher being. Hatukutokea Tu from nowhere.

Logic inasema vitu havitokei vyenyewe Bali vinasababishwa kutokea au kuwa namna vilivyo.


Ukiona maji yapo kwenye chupa basi Jua kuna MTU Aliya weka humo. Utakuwa so unliogical kama uta kuwa na mtazamo kwamba hayo maji yamejiweka humo yenyewe.
 
LIKUD,
Unaelewa kwamba ukisema hakuna kinachotokea tu bila designer, kimsingi unakataa uwepo wa Mungu?
 
Mimi nilimshangaa sana alipokimbia baada ya majanga kutokea
 
Kwa sababu hata Mungu wako naye atahitaji designer, na designer wake atahitaji designer.

Ad infinitum, ad nauseam.

Sasa huyo Mungu au kikaragosi?
Hiki ni nini? Mbona kuna ushahidi mambo haya yalipangwa?
 

Attachments

  • VID-20200203-WA0017.mp4
    11.8 MB
Kwa sababu hata Mungu wako naye atahitaji designer, na designer wake atahitaji designer.

Ad infinitum, ad nauseam.

Sasa huyo Mungu au kikaragosi?
Wewe ndio umechanganya.madesa.mkuu. Nimesema " vitu" havitokei vyenyewe.

Mungu hayupo.kwenye " vitu". When we talk about " things" we do not include the Almighty God. Even Steve Wonder can c this.

Nitake radhi tafadhali
 
Back
Top Bottom