Kilichotokea Moshi sio kafara kwa sababu zifuatazo

Kilichotokea Moshi sio kafara kwa sababu zifuatazo

Una Anza kuleta utoto sasa. Mimi sijazungumzia kuhusu miaka ya kuishi wewe. Nimezungumzia ufanano wa Sura na tabia za maumbile, viungo na ogani za mwanadamu za ndani ya mwili. Mi naona mjadala umekushinda una anza viroja badala ya hoja.
Viungo vya ndani ya mwili pia havifanani, kuna watu wanazaliwa na moyo mkubwa, wanahitaji huduma tofauti.

Kuna watu wanazaliwa na viungo vya jinsia mbili tofauti.

Unaelewa hayo?
 
Viungo vya ndani ya mwili pia havifanani, kuna watu wanazaliwa na moyo mkubwa, wanahitaji huduma tofauti.

Kuna watu wanazaliwa na viungo vya jinsia mbili tofauti.

Unaelewa hayo?
1. Moyo MKUBWA but Sura na morphology yake is the same na moyo wa kawaida. Ndio maana ukaitwa moyo MKUBWA na sio ini kubwa.


2. Mention them so that we can be very sure that Ur not talking about ghosts.
 
1. Moyo MKUBWA but Sura na morphology yake is the same na moyo wa kawaida. Ndio maana ukaitwa moyo MKUBWA na sio ini kubwa.


2. Mention them so that we can be very sure that Ur not talking about ghosts.
Uniformity ina prove vipi Mungu yupo?

Sijaona jibu la swali hili.
 
Cogito, ergo sum.

Cause badala ya kujibu swali langu.ume enda kutafuta article google.na kuniquote nayo.


So I was.wondering how comes suala kama hili wewe unanijibu Kwa kutumia mawazo ya watu Wengine ndo maana nimekuwa " do you really think?"

Unaweza vipi kusema u reason au you think logically kama kila kitu mpaka u Google?

Free you mind
 
Acheni kumuonea wivu Apostle Mwamposa.

# Mungu amempa karama ya uponyaji na kuwafungua watu. U cannot change it. Just live with it. Muandishi umetukosea sana baadhi ya wanajamiii yani sisi wa kumuonea wivu Mwamposa kwa kuuza mafuta ambayo yatakupa miujiza ya kazi, ajira, ndoa, cheo na kila kitu kwa kuyakanyaga tu?

Mbona hata mtoto mdogo haimuuingii akilini kama mimi sitokaa niamini kama ile ni kafara ila tunaweza kuitafutia jina lingine linalofaa na kutosha ila kiutaratibu km lengo kila mtu akanyage yale mafuta kungekuwa na utaratibu maalum labda waanze wazeee kwenda mbele kukanyaga na kuondoka au wanawake kwanza au angetafuta utaratubu wowote unaofaaa kila mtu aguse hayo mafuta.

Kama watu wanayaamini kutoka moyoni mimi kiukweli nimeumizwa na hiki kitendo japo si mkiristo ila nina washkaji zangu sana moshi tunapiga stori tunafurahi.okay any way mungu ndio anajua zaidi siku ya hukumu ipo itafahamika tu japo kila mtu anaijua nafsi yake kipi inakichuma
 
LIKUD,
So ku google ni kigezo kuwa mtu hafikiri? 😂😂. Unaona unaendelea kujionyesha kuwa huna hoja na unatoka kenye mstari. Tetea hoja yako ya uniformity na consinstency achana na mambo ya google ka mkubwa.
 
Hii hoja haina mashiko , ni upuuzi.tu, watu wenye akili hatutaki kubishania mambo ya dini na biblia, kilichotokea moshi ni upumbavu wa mwamposa na ujinga(kukosa maarifa) wa watumishi kutoelewa hatimaye kupata madhara, na tukienda mbali zaidi hakuna kitakachoelezea hii zaidi ya KAFARA.

"Kekundu kekundu kekundu"

Oooh wajinga ndio waliwao ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kula tano mkuu. Ur the true son of your father
Mtarukaruka sana lakini damu za watu wasio na hatia kwa kutafuta utajiri haramu. Mungu mnayemtumikia si Mungu wa mbinguni bali wa Mbuyuni. Waumini wako wanakufa kwa kukanyagana sababu ya ujinga wako, mtumishi wa "Mungu" unakimbia umbali wa km 700 na unaendelea na shughuli zako kama vile waliokufa ni njiwa pori.? Hii ni kafara na kwa taarifa yako tunakwambia wazi aina hii ya kafara hata wafanyabiashara wapumbavu wa mikoa ya Songwe, Njombe na Mbeya wanaitumia sana. Wanatoa kafara Wapendwa wao na wanajifanya kusafiri, hata kama yuko umbali anaoweza kurudi kwa masaa 2 tu hatarudi kuona maiti. Pigeni porojo ndeeeefu lakini hakuna baraka ndani yenu. Mungu wa Rehema habariki watu wasio na huruma. Endeleeni kutumia ujinga wa watu wa Mungu mnaiwaangamiza kwa kukosa maarifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom