Kilichotokea Moshi sio kafara kwa sababu zifuatazo

Kilichotokea Moshi sio kafara kwa sababu zifuatazo

LIKUD,
So those are the things that prove the existance of God?

1. Kwanini kuna mutation kama umesema kuna uniformity?

2. Consistent things are dead things, like rocks, human beings tuna inconsistencies kibao.

Put some effort at convincing people about what you want them to believe!
 
Wewe ndio umechanganya.madesa.mkuu. Nimesema " vitu" havitokei vyenyewe.

Mungu hayupo.kwenye " vitu". When we talk about " things" we do not include the Almighty God. Even Steve Wonder can c this.

Nitake radhi tafadhali
You are being arbitrary.

Nakuataka uthibitishe Mungu yupo, unamtengenezea u special ambao hauthibitishiki, halafu unaufanya huo u special ambao hauthibitishiki kuwa ndio uthibitisho.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
So those are the things that prove the existance of God?

1. Kwanini kuna mutation kama umesema kuna uniformity?

2. Consistent things are dead things, like rocks, human beings tuna inconsistencies kibao.

Put some effort at convincing people about what you want them to believe!
Mtu anakwambia waafrika na wazungu wanafanana.

Wakati sababu ya kuwaita hawa waafrika na hawa wazungu ni ukweli kwamba wana tofauti!
 
Nime sha prove tayari on the ground of uniformity and consistency
 
Mtu anakwambia waafrika na wazungu wanafanana.

Wakati sababu ya kuwaita hawa waafrika na hawa wazungu ni ukweli kwamba wana tofauti!
U heard me Wello. Hapa umeamua kujifariji. Nimezungumzia ufanano Kwa habari ya Sura za maumbile Yao plus Sura na tabia za viungo na ogani zao kama.vile.moyo, figo nakadhalika.
 
U heard me Wello. Hapa umeamua kujifariji. Nimezungumzia ufanano Kwa habari ya Sura za maumbile Yao plus Sura na tabia za viungo na ogani zao kama.vile.moyo, figo nakadhalika.
Kama unaongelea kufanana, mbona kuna watu wanazaliwa wana vidole sita, wengine wanazaliwa hawana macho, wengine wanazaliwa wawili wameungana?

Hapo vipi? Mungu wako anakuwa kasinzia katika kazi yake ya kufanya watu wafanane?
 
Mtu anakwambia waafrika na wazungu wanafanana.

Wakati sababu ya kuwaita hawa waafrika na hawa wazungu ni ukweli kwamba wana tofauti!
Bro kwa logic tu watu wengi wanafeli, nakuonaga unapata tabu sana kuelewesha watu jinsi ya ku reason na kutumia logic.

Mtu anakuambia kuna uniformity hapo hapo hata hao wazungu kuna blondes, brunettes, redheads n.k macho yana tofauti mwingine serene, hazel n.k. Where's the uniformity?
 
Bro kwa logic tu watu wengi wanafeli, nakuonaga unapata tabu sana kuelewesha watu jinsi ya ku reason na kutumia logic.

Mtu anakuambia kuna uniformity hapo hapo hata hao wazungu kuba blondes, brunettes, redheads n.k macho yana tofauti mwingine serene, hazel n.k. Where's the uniformity?
Yani point za kumpinga yeye mwenyewe anazileta yeye mwenyewe.

Wewe uniformity gani watu wengine wanafariki tumboni mwa mama zao hawaoni hata jua.

Wengine wanaishi zaidi ya miaka 100.

Hiyo uniformity kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So those are the things that prove the existance of God?

1. Kwanini kuna mutation kama umesema kuna uniformity?

2. Consistent things are dead things, like rocks, human beings tuna inconsistencies kibao.

Put some effort at convincing people about what you want them to believe!

What do you think? Do they prove or they prove not?

1..Mimi.nimezungumza kuhusu uniformity. Habari ya mutation wewe ndio unaijua
So you tell us about mutation.

2. Who taught you this ?Is the sun a dead thing?

3. U got it twisted man. I am not here to convince anyone about anything
U will be considered a fool if u think some one has to convince you into believing about God's existence
 
Bro kwa logic tu watu wengi wanafeli, nakuonaga unapata tabu sana kuelewesha watu jinsi ya ku reason na kutumia logic.

Mtu anakuambia kuna uniformity hapo hapo hata hao wazungu kuna blondes, brunettes, redheads n.k macho yana tofauti mwingine serene, hazel n.k. Where's the uniformity?

Shuleni huwa mnaenda kusomea ujinga ama nini?

How comes u cannot understand a very simple sentence?

Nimesema uniformity IPO kwenye Sura za maumhile, viungo na ogani za miwili plus tabia zake za asili. We unaongelea habari za rangi za nywele we bwege nini?

Nikatolea mfano " Figo". Hakuna tofauti ya Sura na tabia za Figo ya mzungu Vs Figo ya mwafrika.

Wewe ukila chakula. Kitamengenywa na kisha kutolewa nje Kwa njia ya haja kubwa in the same same way kama itakavyo kuwa Kwa mchina, mwarabu, mzungu, muhindi etc

Uchungu alio upata mama ako wakati anakuzaa NI the same same na uchungu alio upata mama ake na Donald Trump wakati anamzaa.

This is the kind of uniformity am talking about

Hebu uache kujitoa ufahamu
 
LIKUD,

I don't need you to convince me, i know what i believe.

The only thing i want you to do is not lie about consinstency and uniformity. There's nothing like that.

The other thing i want you to do is use logic and reason in your thinking. Before you argue take into consideration that we are not toddlers but grown ups who can think and reason with logic.

Thanks.
 
LIKUD, Hata dunia ilivyo inaonekana kanisa ilikua spesho Kwa jili ya viumbe jaijaja bahat Mbaya na pia Kuna wanasayans wanathibitisha kwamba behind of university Kuna nguvu ya asili ilitumika kukriet japo hawasemi ni mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una Anza kuleta utoto sasa. Mimi sijazungumzia kuhusu miaka ya kuishi wewe. Nimezungumzia ufanano wa Sura na tabia za maumbile, viungo na ogani za mwanadamu za ndani ya mwili. Mi naona mjadala umekushinda una anza viroja badala ya hoja.
Kiranga,
 
Ur the true son of your father
Hata dunia ilivyo inaonekana kanisa ilikua spesho Kwa jili ya viumbe jaijaja bahat Mbaya na pia Kuna wanasayans wanathibitisha kwamba behind of university Kuna nguvu ya asili ilitumika kukriet japo hawasemi ni mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I don't need you to convince me, i know what i believe.

The only thing i want you to do is not lie about consinstency and uniformity. There's nothing like that.

The other thing i want you to do is use logic and reason in your thinking. Before you argue take into consideration that we are not toddlers but grown ups who can think and reason with logic.

Thanks.
" Think!!!???" How ??? Do u really think?

Mkuu thinking is not as easy as you wish.
 
Back
Top Bottom