Kilichotokea Moshi sio kafara kwa sababu zifuatazo

Kwenye hyo video huko juu huyo binti kasema kabisa kila wakijaribu kuinuka kuna vijana walikua wanawarudisha chini hii inaonyesha kabisa hao vijana walikua hapo kwa kazi maalumu kufanya jamming .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ur still a learner
 
Yameumbwa na walio umbwa na Mungu. Uniformity imekuingia kweli mkuu. Just repent. God is timeless. Hujachelewa. Sema nikuongoze sala ya toba now.
Hujathibitisha Mungu yupo.

Hujathibitisha watu wana uniformity.

Hujathibitisha vyenye uniformity vumeumbwa na Mungu.

You are are forcing things like a village preacher short on facts and bent on a dogmatic crusade.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaonekana kutojali sana uhai wa watu na pia kujiambatanisha kwako na Mwamposa kunaonesha wazi wazi jinsi wewe na yeye mnavyo-share hisia moja; kutokujali.

Ninyi mpo tayari kuua kwasababu ya mstari mmoja wa Biblia mlioutafsiri kama mnavyopenda, hii ni hatari sana.

Mnasikika mkisema watu wanamwonea wivu Mwamposa, kwa jambo gani?

Manabii wa uongo wanaonekana waziwazi siku hizi ni ajabu kwamba hujaona hili, utakuwa mshiriki wake kwa namna fulani

Kafara inaweza kutolewa hata kwa mtu aliye mbali na familia yako. Zipo shuhuda nyingi mno za Kikristo zinazoonesha watu mbalimbali waliotakiwa na shetani kutoa kafara za watu mabarabarani kupitia ajali bila hata kutambua atakayekufa ni nani.

Kuna sababu kubwa ya shetani kutaka "damu" za wanadamu. Mtu wa karibu nawe ana mamlaka makubwa zaidi ya kukutoa kafara, lakini ukiwa mdhaifu kiroho hata mtu wa mbali anaweza kukutoa kwa shetani kafara.

Jihadharini na "manabii" hawa ambao baada ya kufanya matukio hata hawaoni hofu yoyote na wanatoweka na kwenda Dar halafu anasema nimeitwa Moshi na Polisi ngoja niende nikaitikie wito wa polisi. Kwanini ukimbie? Kwanini ufanye ibada hata baada ya muda ulioruhusiwa na Polisi? Mtumishi wa Mungu? mungu yupi?...
 

Na ukiua kwa kupiga rungu bila kutoa damu je
 
Kafara ya Damu ina masharti na ni ya temporary...kila baada ya muda inatakiwa uihuishe kwa either kutoa sadaka ya damu tena nk.

Yesu alikuja duniani kwa ajili hiyo - kuvunja maagano sugu ambayo wanadamu wameingia bila wao kujijua...kupitia mababu...

Kumbuka agano linaweza kudumu hadi kizazi cha nne cha ukoo wenu na linaendelea kuwatesa kama umefika masharti.
 
Nenda kasome Bio Cybernetics. Itakusaidia Sana kuelewa.
 
Shuhuda za uongo hizo mkuu. Hakunaga kafara ya namna.hiyo...

Kafara lazima utoe MTU anaweza husiana na wewe Kwa damu and not otherwise.

Hayo mengine NI story za vijiweni
 
Huenda ulichokisema ni sahihi.. Ila kuhusu mwamposa usimtetee.. Chanzo cha sisi kutomuamini mwamposa na watu wa aina yake ni wao wenyewe... Wanafanya mambo tofauti na jinsi tunavyotarajia.... Kwann wasitufundishe ni nn Mungu anataka kwetu?, tufanye nn ili tuwe karibu na Mungu, kiufupi watufundishe neno la Mungu.. Na sio kutuhubiria utajiri, mikosi, miujiza, mafanikio.... Unaenda ibadani kwa nabii, kuanzia mwanzo mpaka mwishi husikii ukifundishwa habari ya kuiakana dhambi na namna ya kuomba ili Mungu akusikilize.. Yy anaombea watu tu na kukusanya sadaka.....
NB;
Suala la vifo vya juzi kama ni kafara au la mimi cjui na cna uhakika kama ni kafara au la... Ila mwamposa abadilike ili afundishe wafuasi wake kinachotakiwa kufundishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaji wa akina mwamposa na jamii yake ni umbumbu wa waumini.

Iliyotokea moshi kweli ni ajali....lakin ajali iliyo katika msingi wa umbumbu wa waumini. Uzoba wa kufikiri na chuki dhidi ya tafakuri....

Eti kuna mwingine anawaambia wenzake wafungue wallet....Mungu anamwona.


Mungu anisamehe tu kwasasa sitafuata wala kuamini mitume wake wa kileo. Tutalijadili siku tukionana na Mungu...kwa sasa natumia akili alizonipatia.


Over!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ujinga wa kuwaita matapeli watumishi wa Mungu unadhihirisha utumwa wako,
Mtumishi gani wa Mungu alijilimbikizia Mali tena akichuma toka kwa maskini?,acha ujinga,labda uwe mmoja wa wanufaika wa sadaka,hata maaskofu wenu wameshawaambia huo ni ushirikina,sasa unaanzaje kumuita mshirikina mtumishi wa Mungu,
Yeye na maaskofu wenu nani mkweli,
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitaje Mali alizo jilimbikizia
 
Mpumbavu gani amesema ni kafara?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stori yako kuhusu Genocide 1994 yale hayakua mauaji dhidi ya watutsi bali watu wote waliuawa wahutu kwa watutsi hivyi kusema yalikua ni mauaji ya watutsi ni kutaka kuwa victimize watutsi wakati wao ndo walikua waasi wenyewe
 
Zitaje Mali alizo jilimbikizia
Anauza mafuta anauza maji anakusanya sadaka cha ajabu zaidi ana neno lake eti Dhabahu ya kujimaliza yani utoe kiasi chako chote cha pesa usibaki hata na nauli eti Mungu atakutendea miujiza njiani vitu vyengine tutumie tafakuri sio tubase upande mmoja
 
Nisome nini katika Bio Cybernetics?

Bio Cybernetics ni nini?

Ushakimbia kuthibitisha Mungu yupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Itajibu swali lako kuhusu uniformity and consistency. Swali nimekujibu vzr tu Sema umejiandaa kubisha badala ya kuelewa. Effort unayo itumia kubisha ungeitumia kuelewa ungekuwa umesha elewa vizuri Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…