Kilichotokea Syria kwa Urusi ni kibaya na aibu kuliko kilichotokea Vietnam na Afghanistan kwa Marekani

Mnasherehekea Rais Assad kuondolewa madarakani, huku mkisahau hao watakaochukua nchi hawana tofauti na Wataliba

Mkuu Yoda, kwani Ritz anasemaje?
Maana amewahi kusema Urusi na Iran hawawezi kukubali Syria kutwaliwa na waasi.
Marekani,Israel pamoja na washirika wao wa magharibi wamepata goli la kujifunga, kusherehekea ni uendawazimu.
Kwa mtazamo wangu , serikali itakayofuata Syria italeta changamoto na usumbufu zaidi ya serikali iliyopinduliwa ya Assad.
Urusi na Iran watalazimika kurudi Mezani na serikali mpya ya Syria ili kuweka sawa mitazamo yao na kuishi kwa mwongozo wa ujirani mwema. Lakini ni dhahiri Marekani na washirika wake hawataendana na mipango ya Serikali mpya ya taifa huru la Syria, labda wafanikiwe kuweka kibaraka wao madarakni.
 
Taarifa za Damascus kuanguka mikononi mwa waasi zikiwa zinaendelea kusambaa na kusubiria kuthibitishwa rasmi wengi wameshangazwa na waasi wa Syria kuweza kufanikiwa kirahisi na kwa haraka sana dhidi ya utawala wa Bashar al-Assad

Hapa tunajifunza kwa vitendo pia kwamba majeshi ya Urusi, Iran na Hezbollah yaliyokuwa tegemeo kuu la Assad yameshindwa vibaya kumlinda na kumtegemeza mshirika wao muhimu.

Inaonekana Urusi hawezi kupigana vita katika front nyingi, Ukraine imemtoa upepo na bado inaendelea kumtoa jasho hadi anapoteza focus kwingine. Iran na Hezbollah wametikisiwa kidogo na Israel wametepeta.

Kilichotokea Syria inapaswa kuwa aibu kubwa kwa linalodiwa taifa kubwa la Urusi, mshirika wao amepigwa wakiwepo. Afghanistan ilianguka mikononi mwa Taliban baada ya Marekani kuondoka, Vietnam ilianguka mikononi mwa Viet Cong baada ya Marekani kuondoka. Syria imeanguka mikononi mwa waasi Warusi wakiwa wamejaa kwenye makambi yao ya kijeshi Syria wakishangaa tu waasi wanvyochukua nchi.
Urusi kaona mshika mbili zote humpongoka. Kaamua abakie na ukraine 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wamemlia timing vibaya sana!

Serikali ya georgia ni pro Russia. West wame fund vikundi vya kumtoa madarakani rais wa huko muda wote wanaandamana kuishinikiza serikali ijiunge EU.

Mbaya zaidi kama kikinuka kama kipindi cha Bush wanaweza wakazichapa na Russia mambo ikiwa mambo yakiwa magumu.

Russia mwenyewe anapambana Ukraine, huyo huyo amlinde Assad, huyo huyo amlinde Belarus na huyu huyo ailinde Russia yake, ni ngumu.

Russia inambidi abadilishe mbinu kama wenzake wamagharibi. Wenzake wanatengeneza makundi yanayopigania masilahi yao kwa kuanzisha vurugu sehemu tofauti tofauti.

Ikiwa Russia nayo ikifanya haya sijui dunia itakuwaje kwa kweli!

Na ndiyo mueleŵe kwa sasa picha imekuja wazi. Hivyo vikundi vya kigaidi havipo kwa mlengo wa dini bali kwa maslahi ya wakubwa popote pale wanapoona mambo kwao yanakuwa magumu wanatumia hivyo vikundi.

Dini wanaitumia tu kama mgongo ila si watu wa dini. Dunia ina mengi hii!
True
 
Taarifa za Damascus kuanguka mikononi mwa waasi zikiwa zinaendelea kusambaa na kusubiria kuthibitishwa rasmi wengi wameshangazwa na waasi wa Syria kuweza kufanikiwa kirahisi na kwa haraka sana dhidi ya utawala wa Bashar al-Assad

Hapa tunajifunza kwa vitendo pia kwamba majeshi ya Urusi, Iran na Hezbollah yaliyokuwa tegemeo kuu la Assad yameshindwa vibaya kumlinda na kumtegemeza mshirika wao muhimu.

Inaonekana Urusi hawezi kupigana vita katika front nyingi, Ukraine imemtoa upepo na bado inaendelea kumtoa jasho hadi anapoteza focus kwingine. Iran na Hezbollah wametikisiwa kidogo na Israel wametepeta.

Kilichotokea Syria inapaswa kuwa aibu kubwa kwa linalodiwa taifa kubwa la Urusi, mshirika wao amepigwa wakiwepo. Afghanistan ilianguka mikononi mwa Taliban baada ya Marekani kuondoka, Vietnam ilianguka mikononi mwa Viet Cong baada ya Marekani kuondoka. Syria imeanguka mikononi mwa waasi Warusi wakiwa wamejaa kwenye makambi yao ya kijeshi Syria wakishangaa tu waasi wanvyochukua nchi.
Usitudanganye mkuu punguza uongo.
Vietnam haijaanguka baada ya USA kuondoka,bali USA alishindwa ndio kakimbia.
As well as Afghanistan USA aliondoka baada ya Taliban kufanikiwa kukamata madaraka.
Na tukio la mwisho jeshi la USA lilipewa wiki moja kuondoka na kufunga base zote Afghanistan.

Kuhusu Urusi siwezi kuilaumu maana vita ya Ukraine Sio vita ndogo maana Ukraine inasaidiwa kisilaha na NATO directly na inasaidiwa kijeshi indirectly na NATO hao hao.
Tumeona askari wa nchi za NATO wakipigana front kwa mgongo wa mercenaries.
Iran imekua ikifadhili vita ya Hamas,Hizbollah na Houthi kuteka Red sea.
Wakati huo huo usisahau kuwa Israel inasaidiwa na USA,UK,France na Germany.
Hivi unavyoona wewe kuna balance hapo!?
Bado nawasifia Iran na Urusi kama wanaume kuliko USA na wengine.
kwasababu wao wachache walisimama against many.
Kitu ambacho USA asingeweza pasi na kuita genge lake la NATO.
 
Marekani,Israel pamoja na washirika wao wa magharibi wamepata goli la kujifunga, kusherehekea ni uendawazimu.
Kwa mtazamo wangi , serikali itakayofuata Syria italeta changamoto na usumbufu zaidi ya serikali iliyopinduliwa ya Assd.
Urusi na Iran watalazimika kurudi Mezani na serikali mpya ya Syria ili kuweka sawa mitazamo yao na kuishi kwa mtazamo wa ujirani mwema. Lakini ni dhahiri Marekani na washirika wake hawataendana na mipango ya Serikali mpya ya taifa huru la Syria, labda wafanikiwe kuweka kibaraka wao madarakni.
Je hao waasi wamepata mafunzo kutokea nchi ipi?
Nani mfadhili wa hayo makundi?
 
Kilichotokea hata Warusi wao hawaamini kilichotokea
 
Taarifa za Damascus kuanguka mikononi mwa waasi zikiwa zinaendelea kusambaa na kusubiria kuthibitishwa rasmi wengi wameshangazwa na waasi wa Syria kuweza kufanikiwa kirahisi na kwa haraka sana dhidi ya utawala wa Bashar al-Assad

Hapa tunajifunza kwa vitendo pia kwamba majeshi ya Urusi, Iran na Hezbollah yaliyokuwa tegemeo kuu la Assad yameshindwa vibaya kumlinda na kumtegemeza mshirika wao muhimu.

Inaonekana Urusi hawezi kupigana vita katika front nyingi, Ukraine imemtoa upepo na bado inaendelea kumtoa jasho hadi anapoteza focus kwingine. Iran na Hezbollah wametikisiwa kidogo na Israel wametepeta.

Kilichotokea Syria inapaswa kuwa aibu kubwa kwa linalodiwa taifa kubwa la Urusi, mshirika wao amepigwa wakiwepo. Afghanistan ilianguka mikononi mwa Taliban baada ya Marekani kuondoka, Vietnam ilianguka mikononi mwa Viet Cong baada ya Marekani kuondoka. Syria imeanguka mikononi mwa waasi Warusi wakiwa wamejaa kwenye makambi yao ya kijeshi Syria wakishangaa tu waasi wanvyochukua nchi.
Tofautisha Russia na USA , Russia alikuwa atawali directly ,alikuwa anasaidia air force Tu hizibullar na jeshi la Syria walikuwa wanalinda nchi ,sasa kama jeshi alipigani ingekuaje?
 
Je hao waasi wamepata mafunzo kutokea nchi ipi?
Nani mfadhili wa hayo makundi?
Makundi ni mengi na wafadhili ni wengi pia lakini wote lengo lao ni moja, kuiondoa serikali ya rais ASAD madarakani, hata hivyo hii sio shida yetu, tunachotaka kujua ni kipi kitafuata baada ya hapo!?
 
Malengo ya US yalisha timia akaamua aondoke zake bila shida tena. Kuna tatzo
Malengo ya kupigana kuwatia watalaban na kisha kuwaacha warusi Tena?
Halafu na silaha alizoacha Afghanistan mikononi mwa watalaban ilikua ni sehemu ya malengo?
 
Usitudanganye mkuu punguza uongo.
Vietnam haijaanguka baada ya USA kuondoka,bali USA alishindwa ndio kakimbia.
As well as Afghanistan USA aliondoka baada ya Taliban kufanikiwa kukamata madaraka.
Na tukio la mwisho jeshi la USA lilipewa wiki moja kuondoka na kufunga base zote Afghanistan.

Kuhusu Urusi siwezi kuilaumu maana vita ya Ukraine Sio vita ndogo maana Ukraine inasaidiwa kisilaha na NATO directly na inasaidiwa kijeshi indirectly na NATO hao hao.
Tumeona askari wa nchi za NATO wakipigana front kwa mgongo wa mercenaries.
Iran imekua ikifadhili vita ya Hamas,Hizbollah na Houthi kuteka Red sea.
Wakati huo huo usisahau kuwa Israel inasaidiwa na USA,UK,France na Germany.
Hivi unavyoona wewe kuna balance hapo!?
Bado nawasifia Iran na Urusi kama wanaume kuliko USA na wengine.
kwasababu wao wachache walisimama against many.
Kitu ambacho USA asingeweza pasi na kuita genge lake la NATO.
Ukweli mtupu huu.
 
Mwanzo nilihisi una akili timamu, kumbe nawe una akili fupi pro russia wengine.
Iulikua unataka Urusi apigane vita ngapi?
Mbona USA na NATO walikimbizwa na Watalaban TU?
Tena watalaban wala hawakua na msaada wowote?
Nil
 
US mwenyewe hawezi anachokifanya ana fund vikundi kama hivyo vya kigaidi na lengo mojawapo ni kama hapo lililotokea Syria.
Kweli hawezi maana zile millitary base za US zilizoko ulimwenguni hazina kazi yoyote ni maana ni mapambo tu yale.
 
Itakuwa labda bado anaswali, taarifa hazijamfikia.
Sijui taarifa hii imempitaje, ila akizikuta taarifa za hivi mitandaoni ndiyo huwa anakuja faster kuzifungulia nyuzi.
IMG-20241208-WA0037.jpg
 
Back
Top Bottom