1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Ni sawa tu mana hakuna chama cha upinzani chenye nia njema na taifa hili zaidi ya kutafuta umaarufu na kutumia upinzani kama sehemu ya kipato.
Tujiulize kama upinzani wanaamini kuwa JPM anatumia Kila mbinu kuua upinzani inakuwaje Chama kikubwa kama Chadema kinakosa mtu wa kumrithi Mbowe ambaye ameleta taswira mbaya kabisa ya Ukabila kwenye Chama.?
Kwa nini wenyeviti wa vyama vya upinzani wanangangania madaraka wakati vyama vyao vinanyongwa wakiwa wanaona na wamekaa kimya.
Wanangangania kwa sababu ipi ?
Wanafanua juhudi gani za kulinda vyama vyao visihujumiwe ?
Uchaguzi wa Chadema umedhihirisha wazi kuwa hata mbinu wanazotumia serikali wamejifunza toka Upinzani.
Mbowe ni msaliti mkubwa wa Demokrasia ya nchi hii.
Wapinzani wamekosea sana kushindwa kufanya mageuzi ndani ya vyama vyao na kupata vijana wakakamavu kama akina Malema kule S.A.
CCM itajigeuza yenyewe na itaendelea kupata kura miaka mingi ijayo kama watanzania tulionao ni hawa akina Mbowe wanaofanya maigizo waonekane kuwa wao pekee ndio wanaoweza kuongoza. Kwa nini JPM na CCM yake wasiige na wao wakasema kuwa yeye ndiye mwenye uwezo wa kupambana na kuumaliza upinzani Tanzania?
CCM kama ilivyo Chadema kazi yake ni kumweka mtu inayemwona kuwa anaweza kutukomeza mpinzani wake.
Chadema wametuaminisha kuwa kiboko wa CCM ni Mbowe na wakaamua kumfanya kuwa mwenyekiti na mfalme wa kudumu milele. Sasa kwa nini tunashangaa kuona kuwa CCM inawaaminisha wanachama wake kuwa JPM ndiye kiboko wa Wapinzani ?
Tunashangaa nini kwa CCM kumweka mwenyekiti mwenye nafasi kubwa ya kuweka pembeni maslahi mapana ya Taifa na Demokrasia pana wakati Vyama vya upinzani wanajali maslahi ya vyama kuliko Nchi?
Chadema imetuamisha kuwa Chadema sio ya watanzania na haikao mioyoni mwa watanzania Bali Chadema ni Mbowe. Bila Mbowe hakuna Chadema.
Utumbo wa ajabu kabisa.
Tuiache CCM nayo iweke mikakati ya kulinda Chama bila kujali mustkabali wa nchi hii mpaka kitakapokuja kizazi kitakachokataa ghilba za watu kama akina Mbowe na wenyeviti wenzake wote wa vyama vyote vilovyosajiwa mpaka tawala.
Hakuna Chama wala mwanachama mwenye uhalali wa kumlaumu mwenzake.
Wote wanawaza vyama vyao kwanza na sio Demokrasia pana kwa ustawi wa vizazi vijavyo.