Kilichotokea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ndicho kitakachofanyika 2020 ikiwa ni mpango wa Rais Magufuli kubadili Katiba kuondoa ukomo wa Urais

Magu hana uwezo wa kung'ang'ania madara kwakuwa sio jasiri, pressure point zake zipo pua na mdomo, akitibuliwa kidogo tu anaweza imaliza mbuga ya serengeti kwa miguu.
Membe akiamkia mtandaoni na timu yake, magu lazima atembee na dawa zake.
Kwa kuwa hafai kabisa kwa udi au ubani azuiliwe kabisa mipango yake hii miovu.
 
Ananiumiza sana kwa sababu anapewa ruzuku kubwa kwa kuwahadaa walipa kodi kuwa anapigania Demokrasia kumbe ana agenda zake binafsi.
Watu wamepoteza maisha yao wakiamini kuwa wanakipigania Chama lakini Mbowe anawahesabu kuwa ni wasaliti wote kisa tu amebanwa alipe kodi.

Biashara zake na chama kwa nini hataki kuvitenganisha?
Tanzania Daima ni gazeti lake binafsi lakini linaonekana kama Mali ya chadema.
Mtu kama huyo hawezi kamwe kuwaza maendeleo ya Chama.

Ukinionyesha andiko Moja la Mbowe kwenye Mtandao wowote linaloibua mjadala nitamuunga mko kuanzia leo awe mwenyekiti wa maisha na siku akifa nafasi ya Uenyekiti ibaki wazi mana hakuna wa kuweza kuongoza chama ndani ya Chadema.

Hivi kwa akili ya kawaida mtu yeyote akichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama kikubwa kama Chadema kinachomlipa mshahara mkubwa na marupurupu anaweza kuuza Chama ili iweje?

Hivi Meya Kalisti aliuza chama au Mbowe ndiye aliyekosa Busara ya kumwacha meya awatumikie wananchi waliomchagua ?
Nani anaua chama kama sio Mbowe kwa kuwazuia wabunge na mameya na madiwani kuacha kuwatumikia wananchi kuleta maendeleo kwa sababu zisizo na mashiko.

Mbowe Anachanganya kwa makusudi ,migomo ya wanasiasa na kazi za maendeleo.

Hapo hamjagundua tu kuwa Mradi wa Mbowe wa kuiua Chadema umefanikiwa kwa asilimia 90%. Ameifanya ionekane kwa wazi kuwa ni chama cha ukoo na cha kupinga maendeleo.
Utakuaje Meya wa jiji bila kushirikiana na serikali kama sio kuwa na akili ndogo?

Dawa ya Mbowe inakuja 2021 atakua hana ruzuku hata mia kutoka serikalini ili atumie pesa zake za mfukoni kuanza upya kujenga chama huku kodi zikimwandama.
Wapambe watatuambia kuwa aekuza chama au ameuza chama au vyovyote.
Mataga nyie mliopewa vyeo na Jiwe wakati hamna sifa ndio mnaounga mkono ujinga, hatutakubali mipango yake iyo miovu itmie iwe jua iwe mvua.
 
Hata sielewi umeandika nini au umeelewa!?
Utaelewa wakati umekunywa maji ya bendera ya chama cha kijani.
IMG_20191124_095116.jpg
 
Ni sawa tu mana hakuna chama cha upinzani chenye nia njema na taifa hili zaidi ya kutafuta umaarufu na kutumia upinzani kama sehemu ya kipato.

Tujiulize kama upinzani wanaamini kuwa JPM anatumia Kila mbinu kuua upinzani inakuwaje Chama kikubwa kama Chadema kinakosa mtu wa kumrithi Mbowe ambaye ameleta taswira mbaya kabisa ya Ukabila kwenye Chama.?
Kwa nini wenyeviti wa vyama vya upinzani wanangangania madaraka wakati vyama vyao vinanyongwa wakiwa wanaona na wamekaa kimya.
Wanangangania kwa sababu ipi ?
Wanafanua juhudi gani za kulinda vyama vyao visihujumiwe ?

Uchaguzi wa Chadema umedhihirisha wazi kuwa hata mbinu wanazotumia serikali wamejifunza toka Upinzani.

Mbowe ni msaliti mkubwa wa Demokrasia ya nchi hii.
Wapinzani wamekosea sana kushindwa kufanya mageuzi ndani ya vyama vyao na kupata vijana wakakamavu kama akina Malema kule S.A.

CCM itajigeuza yenyewe na itaendelea kupata kura miaka mingi ijayo kama watanzania tulionao ni hawa akina Mbowe wanaofanya maigizo waonekane kuwa wao pekee ndio wanaoweza kuongoza. Kwa nini JPM na CCM yake wasiige na wao wakasema kuwa yeye ndiye mwenye uwezo wa kupambana na kuumaliza upinzani Tanzania?

CCM kama ilivyo Chadema kazi yake ni kumweka mtu inayemwona kuwa anaweza kutukomeza mpinzani wake.
Chadema wametuaminisha kuwa kiboko wa CCM ni Mbowe na wakaamua kumfanya kuwa mwenyekiti na mfalme wa kudumu milele. Sasa kwa nini tunashangaa kuona kuwa CCM inawaaminisha wanachama wake kuwa JPM ndiye kiboko wa Wapinzani ?

Tunashangaa nini kwa CCM kumweka mwenyekiti mwenye nafasi kubwa ya kuweka pembeni maslahi mapana ya Taifa na Demokrasia pana wakati Vyama vya upinzani wanajali maslahi ya vyama kuliko Nchi?

Chadema imetuamisha kuwa Chadema sio ya watanzania na haikao mioyoni mwa watanzania Bali Chadema ni Mbowe. Bila Mbowe hakuna Chadema.
Utumbo wa ajabu kabisa.

Tuiache CCM nayo iweke mikakati ya kulinda Chama bila kujali mustkabali wa nchi hii mpaka kitakapokuja kizazi kitakachokataa ghilba za watu kama akina Mbowe na wenyeviti wenzake wote wa vyama vyote vilovyosajiwa mpaka tawala.
Hakuna Chama wala mwanachama mwenye uhalali wa kumlaumu mwenzake.
Wote wanawaza vyama vyao kwanza na sio Demokrasia pana kwa ustawi wa vizazi vijavyo.
Mama yako analiwa
 
Ananiumiza sana kwa sababu anapewa ruzuku kubwa kwa kuwahadaa walipa kodi kuwa anapigania Demokrasia kumbe ana agenda zake binafsi.
Watu wamepoteza maisha yao wakiamini kuwa wanakipigania Chama lakini Mbowe anawahesabu kuwa ni wasaliti wote kisa tu amebanwa alipe kodi.

Biashara zake na chama kwa nini hataki kuvitenganisha?
Tanzania Daima ni gazeti lake binafsi lakini linaonekana kama Mali ya chadema.
Mtu kama huyo hawezi kamwe kuwaza maendeleo ya Chama.

Ukinionyesha andiko Moja la Mbowe kwenye Mtandao wowote linaloibua mjadala nitamuunga mko kuanzia leo awe mwenyekiti wa maisha na siku akifa nafasi ya Uenyekiti ibaki wazi mana hakuna wa kuweza kuongoza chama ndani ya Chadema.

Hivi kwa akili ya kawaida mtu yeyote akichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama kikubwa kama Chadema kinachomlipa mshahara mkubwa na marupurupu anaweza kuuza Chama ili iweje?

Hivi Meya Kalisti aliuza chama au Mbowe ndiye aliyekosa Busara ya kumwacha meya awatumikie wananchi waliomchagua ?
Nani anaua chama kama sio Mbowe kwa kuwazuia wabunge na mameya na madiwani kuacha kuwatumikia wananchi kuleta maendeleo kwa sababu zisizo na mashiko.

Mbowe Anachanganya kwa makusudi ,migomo ya wanasiasa na kazi za maendeleo.

Hapo hamjagundua tu kuwa Mradi wa Mbowe wa kuiua Chadema umefanikiwa kwa asilimia 90%. Ameifanya ionekane kwa wazi kuwa ni chama cha ukoo na cha kupinga maendeleo.
Utakuaje Meya wa jiji bila kushirikiana na serikali kama sio kuwa na akili ndogo?

Dawa ya Mbowe inakuja 2021 atakua hana ruzuku hata mia kutoka serikalini ili atumie pesa zake za mfukoni kuanza upya kujenga chama huku kodi zikimwandama.
Wapambe watatuambia kuwa aekuza chama au ameuza chama au vyovyote.
Utakuwa umekalia kitu fulani hapo matakoni
 
Mkakati mwingine ni vyombo vya habari radio, televisheni, magazeti kuimba nyimbo za kumsifu kutwa kucha mfano tbc.
 
Mkuu mpaka clip ya mwenyekiti wa kamati moja maarufu ya bunge aliyetuita kutushawishi ninayo ila tumuhurumie maxence nisiiweke.
Nimekutumia msg pm mkuu
Maana hili swala na lenyewe limenipq wasiwasi sana
 
IMG_20191202_151644.jpg

Ushahidi mwingine ni huu hapa kuzuia waangalizi wa uchaguzi 2020 ili waibe kura na kuchakachuwa matokeo ya uchaguzi.
 
Vitimbi na vituko vikivyotokea katika uchaguzi wa serikali za mitaa, mpaka kupelekea CCM kudai kushinda kwa asilimia mia moja serikali za mitaa na 99.8 vijiji.

Hizo ni njama zilizopangwa kuwahadaa Watanzania na ulimwengu wa kimataifa ionekane kuwa CCM na Rais Magufuli wanakubalika sana hivyo mwakani 2020 watafanya kila wawezalo ili ionekane CCM imeshinda over 95%.

Baada ya hapo bunge litakuwa na wabunge wengi wa CCM ndipo utapelekwa mswada wa sheria kubadili ukomo wa urais, vyanzo vya habari ambao ni wabunge waliopewa kazi ya kuzunguka nchi nzima kuwashawishi watu maarufu ili baadaye liibuke kundi la watu kumuomba Rais Magufuli aendelee na urais hata baada ya muda wake kuisha, mark my words.
Marais wastaafu kama akina mkapa hawataweza kumzuia?
 
Mkapa ndio mshauri wake mkuu anaroho mbaya kama yeye.
Mkapa mbona kwenye kitabu chake alipinga sana hilo jambo la kujiongezea muda, hasa Salimin Amour alipotaka kufanya hivyo, ama? Naona kama anatofautiana sana na Magu sababu ya yeye kujifanya mkubwa kuliko ccm
 
Marais wastaafu kama akina mkapa hawataweza kumzuia?
Ni Mkapa tu anayeweza kujaribu, wengine kama Mwinyi na Kikwete hawana lolote.

Kwa bahati mbaya sana, huyo Mkapa ambaye tungetegemea angalau amwonye tu hata huko faraghani, inaonekana ni huyo huyo anayefurahia anayofanya huyu aliyemtafuta na kumleta.

Hata sielewi kabisa kwa kiongozi kama Mkapa kuyafurahia haya yanayotendeka sasa. Sielewi yeye ana maslahi gani nayo.
 
Kwa nini unasema anafurahia mkuu, mimi niliona alikosoa mwenendo wa siasa nchini, kwenye kitabu chake, ama kuna vitu ambavyo sijui?
 
Huo urais wa milele utamsaidia nini hasa huyo jiwe??
Vitimbi na vituko vikivyotokea katika uchaguzi wa serikali za mitaa, mpaka kupelekea CCM kudai kushinda kwa asilimia mia moja serikali za mitaa na 99.8 vijiji.

Hizo ni njama zilizopangwa kuwahadaa Watanzania na ulimwengu wa kimataifa ionekane kuwa CCM na Rais Magufuli wanakubalika sana hivyo mwakani 2020 watafanya kila wawezalo ili ionekane CCM imeshinda over 95%.

Baada ya hapo bunge litakuwa na wabunge wengi wa CCM ndipo utapelekwa mswada wa sheria kubadili ukomo wa urais, vyanzo vya habari ambao ni wabunge waliopewa kazi ya kuzunguka nchi nzima kuwashawishi watu maarufu ili baadaye liibuke kundi la watu kumuomba Rais Magufuli aendelee na urais hata baada ya muda wake kuisha, mark my words.
 
View attachment 1278045
Mkuu wa manunuzi ya wapinzani.
Ni sawa tu mana hakuna chama cha upinzani chenye nia njema na taifa hili zaidi ya kutafuta umaarufu na kutumia upinzani kama sehemu ya kipato.

Tujiulize kama upinzani wanaamini kuwa JPM anatumia Kila mbinu kuua upinzani inakuwaje Chama kikubwa kama Chadema kinakosa mtu wa kumrithi Mbowe ambaye ameleta taswira mbaya kabisa ya Ukabila kwenye Chama.?
Kwa nini wenyeviti wa vyama vya upinzani wanangangania madaraka wakati vyama vyao vinanyongwa wakiwa wanaona na wamekaa kimya.
Wanangangania kwa sababu ipi ?
Wanafanua juhudi gani za kulinda vyama vyao visihujumiwe ?

Uchaguzi wa Chadema umedhihirisha wazi kuwa hata mbinu wanazotumia serikali wamejifunza toka Upinzani.

Mbowe ni msaliti mkubwa wa Demokrasia ya nchi hii.
Wapinzani wamekosea sana kushindwa kufanya mageuzi ndani ya vyama vyao na kupata vijana wakakamavu kama akina Malema kule S.A.

CCM itajigeuza yenyewe na itaendelea kupata kura miaka mingi ijayo kama watanzania tulionao ni hawa akina Mbowe wanaofanya maigizo waonekane kuwa wao pekee ndio wanaoweza kuongoza. Kwa nini JPM na CCM yake wasiige na wao wakasema kuwa yeye ndiye mwenye uwezo wa kupambana na kuumaliza upinzani Tanzania?

CCM kama ilivyo Chadema kazi yake ni kumweka mtu inayemwona kuwa anaweza kutukomeza mpinzani wake.
Chadema wametuaminisha kuwa kiboko wa CCM ni Mbowe na wakaamua kumfanya kuwa mwenyekiti na mfalme wa kudumu milele. Sasa kwa nini tunashangaa kuona kuwa CCM inawaaminisha wanachama wake kuwa JPM ndiye kiboko wa Wapinzani ?

Tunashangaa nini kwa CCM kumweka mwenyekiti mwenye nafasi kubwa ya kuweka pembeni maslahi mapana ya Taifa na Demokrasia pana wakati Vyama vya upinzani wanajali maslahi ya vyama kuliko Nchi?

Chadema imetuamisha kuwa Chadema sio ya watanzania na haikao mioyoni mwa watanzania Bali Chadema ni Mbowe. Bila Mbowe hakuna Chadema.
Utumbo wa ajabu kabisa.

Tuiache CCM nayo iweke mikakati ya kulinda Chama bila kujali mustkabali wa nchi hii mpaka kitakapokuja kizazi kitakachokataa ghilba za watu kama akina Mbowe na wenyeviti wenzake wote wa vyama vyote vilovyosajiwa mpaka tawala.
Hakuna Chama wala mwanachama mwenye uhalali wa kumlaumu mwenzake.
Wote wanawaza vyama vyao kwanza na sio Demokrasia pana kwa ustawi wa vizazi vijavyo.
Kuna hoja ya kisenge kuliko hii iliyowahi kuchapishwa humu?
 
Ananiumiza sana kwa sababu anapewa ruzuku kubwa kwa kuwahadaa walipa kodi kuwa anapigania Demokrasia kumbe ana agenda zake binafsi.
Watu wamepoteza maisha yao wakiamini kuwa wanakipigania Chama lakini Mbowe anawahesabu kuwa ni wasaliti wote kisa tu amebanwa alipe kodi.

Biashara zake na chama kwa nini hataki kuvitenganisha?
Tanzania Daima ni gazeti lake binafsi lakini linaonekana kama Mali ya chadema.
Mtu kama huyo hawezi kamwe kuwaza maendeleo ya Chama.

Ukinionyesha andiko Moja la Mbowe kwenye Mtandao wowote linaloibua mjadala nitamuunga mko kuanzia leo awe mwenyekiti wa maisha na siku akifa nafasi ya Uenyekiti ibaki wazi mana hakuna wa kuweza kuongoza chama ndani ya Chadema.

Hivi kwa akili ya kawaida mtu yeyote akichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama kikubwa kama Chadema kinachomlipa mshahara mkubwa na marupurupu anaweza kuuza Chama ili iweje?

Hivi Meya Kalisti aliuza chama au Mbowe ndiye aliyekosa Busara ya kumwacha meya awatumikie wananchi waliomchagua ?
Nani anaua chama kama sio Mbowe kwa kuwazuia wabunge na mameya na madiwani kuacha kuwatumikia wananchi kuleta maendeleo kwa sababu zisizo na mashiko.

Mbowe Anachanganya kwa makusudi ,migomo ya wanasiasa na kazi za maendeleo.

Hapo hamjagundua tu kuwa Mradi wa Mbowe wa kuiua Chadema umefanikiwa kwa asilimia 90%. Ameifanya ionekane kwa wazi kuwa ni chama cha ukoo na cha kupinga maendeleo.
Utakuaje Meya wa jiji bila kushirikiana na serikali kama sio kuwa na akili ndogo?

Dawa ya Mbowe inakuja 2021 atakua hana ruzuku hata mia kutoka serikalini ili atumie pesa zake za mfukoni kuanza upya kujenga chama huku kodi zikimwandama.
Wapambe watatuambia kuwa aekuza chama au ameuza chama au vyovyote.
Haya ni maneno ya mtu aliyenogewa na matunda ya ukoloni wa ccm.

Nchi hii inahitaji ukombozi mpya kutoka makucha ya ccm.

Ccm ni mkoloni mweusi na ni lazima ang'oke kwa nguvu zote na kila mwenye akili timamu.

Viva Tanzania,viva Mbowe
 
Walichukua Form watu 42 wenye uwezo wa kuongoza nchi ndani ya CCM . Na walizunguka mikoa yote kutafuta wadhamini.
Chadema walimwacha Mbowe awachagulie mgombea badala ya kuwashindanisha ili wanachama waone hoja zao wajue nani mwenye uwezo.

Mfano Mbowe leo alipaswa kustaafu uenyekiti ili aache nafasi kwa wengine wapige kampeni ya kujinadi kuwa watakifanyia nini Chama katika mazingira ya sasa ya mbinyo wa Demokrasia.
Kwa vyovyote angepatikana mtu mwenye roho ya ushawishi kwenye jamii. Mtu ambaye akisema kesho tuelekee Dodoma kudai Uhuru wa kisiasa watu wangetoka Pande zote za Tanzania kuelekea huko. Serikali ya mkoloni ilikua katili sana lakini Hoja na imani ya watanganyika kwa viongozi wa harakati za kupigania Uhuru ziliwashinda wakoloni.

Chama kinapukutika wabunge,chama kinapikutika madiwani,chama kimekosa hata mjumbe mmoja wa serikali za mitaa halafu Mbowe anatuambia yeye pekee ndiye anayeweza kupambana na serikali ya Awamu ya Tano. Wagombea wa Ubunge wanaporwa Fom mchana kweupe hakuna hatua kali ya kuwakatisha tamaa kabisa wanaofanya ushenzi huo.Wanachama na viongozi wanatekwa mpaka jimboni kwake ,wanapotea kama Saanane Mwenyekiti kimya anachoangalia ni uenyekiti wake tu usiguswe.
Hayo mapambano yake ni yapi?
Tafakari vizuri mkuu.
Hizi ni mbinu na akili za NAZI walizotumia kwa wapinzani wao huko Ujerumani.

Ccm kutoka chama cha ukombozi mpaka chama cha kifashisti ni maporomoko makubwa mno,na wala wenyewe hawajioni.
 
Ni Mkapa tu anayeweza kujaribu, wengine kama Mwinyi na Kikwete hawana lolote.

Kwa bahati mbaya sana, huyo Mkapa ambaye tungetegemea angalau amwonye tu hata huko faraghani, inaonekana ni huyo huyo anayefurahia anayofanya huyu aliyemtafuta na kumleta.

Hata sielewi kabisa kwa kiongozi kama Mkapa kuyafurahia haya yanayotendeka sasa. Sielewi yeye ana maslahi gani nayo.
Hana lolote kubwa jinga lile
 
Back
Top Bottom