Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Utoto tuSiku ya kutangaza makundi ya mashindano ya CAF Yanga walishangilia Sana.
Kilichowafanya washangilie ni nini? Waliona timu walizopangwa nazo ni vibonde au vipi?
View attachment 3206891
Angalia jinsi Yanga walivyoshangilia timu walizopangwa nazo.
Walishindwa kusoma alama za nyakatiSiku ya kutangaza makundi ya mashindano ya CAF Yanga walishangilia Sana.
Kilichowafanya washangilie ni nini? Waliona timu walizopangwa nazo ni vibonde au vipi?
View attachment 3206891
Angalia jinsi Yanga walivyoshangilia timu walizopangwa nazo.
Case closed.Kumbuka wenye Akili ni wawili tu huko utopoloni
Haswaaa. Walijua ni NBCππWalichoshangilia ndicho walichokipata
Hili nalo likaangaliweπKwani wewe mpaka leo ulishawahi kujua kilichowafurahisha kwenye sakata la Kagoma mpaka wakawa wanacheza wakiwa wameshika makaratasi waliyodai ni mkataba, ni nini?
Ndio uone tofauti ya hizi timu na Leo wangekewemo, wangeshangilia. Yaani MTU hujavuka unashangilia?π€·π€·Sijaelewa kabisa... Leo Simba wanatafakari Yanga walikuwa wanacheza sindimba!
πππππ
Walikuwa wanajifariji tu maskini ya munguSiku ya kutangaza makundi ya mashindano ya CAF Yanga walishangilia Sana.
Kilichowafanya washangilie ni nini? Waliona timu walizopangwa nazo ni vibonde au vipi?
View attachment 3206891
Angalia jinsi Yanga walivyoshangilia timu walizopangwa nazo.
Hapo SasaπππNdio uone tofauti ya hizi timu na Leo wangekewemo, wangeshangilia. Yaani MTU hujavuka unashangilia?π€·π€·