Kilichowafurahisha Yanga nini siku ya kupanga makundi hadi wakashangilia?

Kilichowafurahisha Yanga nini siku ya kupanga makundi hadi wakashangilia?

Idara ya Habari Ndio kitengo kilichobeba slogan ya team na mtazamo wa team nje.

Sasa Kuongozwa na watoto kama Kamwe na priva Ndio kimepelekea watu kushangilia vitu vya hovyo.

Draw ya CAFCL sio ya kushangilia hata kama umepangwa na team dhaifu kiasi gani. Mpira hauangaliwi kwa macho.

Leo kamwe akianza kulala Mika tu wajinga wote wanalalamika Yanga
 
Hii inashangaza Sana🙄
Ndio nakuambia,nan alianza kulalamika kuwa Simba inapendelewa?akasema marefa wanaagenda na Simba,wanachezesha wale wale.

Bila kufanya research akakumbushwa kuwa Yanga amepata penalty 8 amekosa nyingi.
Akakumbushwa kuwa Alagija amechezesha mechi nyingi za Yanga kuliko Refa yeyote hapa Tz.
 
Sema Yanga wapo poa Sana, kila kinachosemwa na viongozi wao hukikariri na kukirudiarudia kama litani ya maisha yao.
 
Ni utoto, ndani ya Yanga kwasasa kuna watu wana utoto mwingi sana. Ni hawa ambao walibeba mkataba wa Yusuph kagoma wakawa wanacheza singeli, ni hawa ambao walingia mtaani na wakawa wanashangilia usajili wa Chama.

Hapo wanashangilia ila kilichowakuta hawana hamu. Msimu huu walijiamini sana baada ya kumpaka Chama na Dube ila ndo msimu ambao umekuwa na machungu sana kwa Yanga.
 
Sema Yanga wapo poa Sana, kila kinachosemwa na viongozi wao hukikariri na kukirudiarudia kama litani ya maisha yao.
Ni wajinga,unajua Yanga wamekosa furaha kwa muda mrefu sana na washaijua raha yake.
Ni ngumu kuwatoa hapo na kuwaaminisha kuhoji mambo.

Angalia kama slogani ya Gusa achia twende kwao,ni ujinga.
 
Angalia kama slogani ya Gusa achia twende kwao,ni ujinga.
Ila Yanga wameiweka timu yao kwenye daraja la juu sana kwenye anga za kina Real Madrid.

Mashabiki wa Yanga wanaamini timu yao ni bora kuliko hata timu kama Al ahly ya Misri.

Na wanaaminishwa hizo timu zote zipo hapo zilipo kwa kuwa zinapendelewa au kwa bahati tu.
 
Ndio nakuambia,nan alianza kulalamika kuwa Simba inapendelewa?akasema marefa wanaagenda na Simba,wanachezesha wale wale.

Bila kufanya research akakumbushwa kuwa Yanga amepata penalty 8 amekosa nyingi.
Akakumbushwa kuwa Alagija amechezesha mechi nyingi za Yanga kuliko Refa yeyote hapa Tz.
Siyo kwamba wanakuwa hawajui ni mbinu tu za propaganda za kujisahaulisha baadhi ya facts na kupush agenda unayotaka kuaminisha watu. Wanafanya hilo sana tu.
 
Sema Yanga wapo poa Sana, kila kinachosemwa na viongozi wao hukikariri na kukirudiarudia kama litani ya maisha yao.
Point muhimu sana. Yanga na Simba zina aina mbili tofauti sana za mashabiki.

Bila kuingiza siasa katika mjadala wa michezo ila mashabiki wa Yanga ni kama wanachama wa CCM kitabia, kiufahamu, kimienendo, kifalsafa, nk. Hili si la kushangaza sana maana hizi taasisi mbili zina ukaribu saaana ndiyo maana mambo yao mengi yanafanana. Binafsi naamini Yanga ni taasisi ya CCM kama ilivyo Umoja wa Wazazi, UWT CCM, au Baraza la Wazee. Ni kwa sababu siasa imekatazwa kwenye michezo ndiyo maana huu ukaribu wameshindwa kuurasimisha.

Kuna siku tuje tulifanyie mjadala mpana hili suala.
 
Back
Top Bottom