Kilichowakuta wanaume wengi leo siku ya wanawake Duniani

Kilichowakuta wanaume wengi leo siku ya wanawake Duniani

RIGHT MARKER

Senior Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
129
Reaction score
473
Naamini leo wanaume wengi tumejitahidi kuwawish wanawake katika siku yao ya leo (Siku ya Wanawake Duniani - machi 8, 2025). Wengi tumekutana na mapokeo yafuatayo:

Mapokeo - Mwanaume asiyekuwa na hela:
๐Ÿ™MWANAUME:๐Ÿ‘๏ธโ€๐Ÿ—จ๏ธ "Happy woman's Day jirani yangu, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu, afya njema, na mafanikio makubwa."
๐Ÿ™ŽMWANAMKE:๐Ÿ‘๏ธโ€๐Ÿ—จ๏ธ "Asant".

Mapokeo - Mwanaume mwenye hela:
๐Ÿ™
MWANAUME:๐Ÿ‘๏ธโ€๐Ÿ—จ๏ธ "Happy woman's Day jirani.
๐Ÿ™ŽMWANAMKE:๐Ÿ‘๏ธโ€๐Ÿ—จ๏ธ "Wooow! Asanteeee, jaman nimefurahi mwenzako, asanteeee nashukuru jamaniiii, sikutegemea kama utaniwish jamoniii, Uuuwiii nimefurahiiii, leo umenisurprise. Ila umepotea huonekani yaani ni muda mrefu sikukuona, nakumbuka nilikuona jana kwa mbali, asanteee kwa kuniwish. Mzima lakini?๐Ÿซฃ

RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM.
 
Back
Top Bottom