RIGHT MARKER
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 129
- 473
Naamini leo wanaume wengi tumejitahidi kuwawish wanawake katika siku yao ya leo (Siku ya Wanawake Duniani - machi 8, 2025). Wengi tumekutana na mapokeo yafuatayo:
Mapokeo - Mwanaume asiyekuwa na hela:
πMWANAUME:ποΈβπ¨οΈ "Happy woman's Day jirani yangu, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu, afya njema, na mafanikio makubwa."
πMWANAMKE:ποΈβπ¨οΈ "Asant".
Mapokeo - Mwanaume mwenye hela:
πMWANAUME:ποΈβπ¨οΈ "Happy woman's Day jirani.
πMWANAMKE:ποΈβπ¨οΈ "Wooow! Asanteeee, jaman nimefurahi mwenzako, asanteeee nashukuru jamaniiii, sikutegemea kama utaniwish jamoniii, Uuuwiii nimefurahiiii, leo umenisurprise. Ila umepotea huonekani yaani ni muda mrefu sikukuona, nakumbuka nilikuona jana kwa mbali, asanteee kwa kuniwish. Mzima lakini?π«£
RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM.