Kilichozuia kufanyika kwa Sherehe za Uhuru wa Tanganyika kwa miaka mitatu iliyopita kimekwisha ?

Neno la mfalme ndiyo sheria. Akiamua sherehe zifanyike zinafanyika. Akikataa hazifanyiki, na sababu anazijua yeye. Alishasema hapangiwi wala hajaribiwi.
 
Naomba kukujibu kwa ufupi.
Jamaa kagundua alichokuwa anakimbwembwesha hapo awali hakijamuinua na hatujamuelewa alimaanisha nini na pesa zilizookolewa zilifanya nini cha kuonekana.
Jomba pia umaarufu umeyeyuka maana hata zile mbwembwe za tbc live hatuzioni tena so hana pakuonekana zaidi ya hafla kama hii ya leo.
Msela kapata mshauri akamwambia hata ufunge sherehe zote mpaka za birthday bado hutoweza kumaliza matatizo yote ya watanzania, Roma haikujengwa na mtu mmoja wala miaka 10 ikakamilika, Ilijengwa kwa kupokezana/kukabidhiana vijiti.
Nimefurahi rais kutupiliambali ombi la mbowe eti maridhiano , mbowe amalize kesi zake na mahakama ndio aje aombe
Amesababisha maafa leo anajifanya mwema akaozee jela

USSR
 
Hali ya uchumi kwa mwananchi mmoja mmoja ipo vipi
 
Nchi yeyote inayothamini Uhuru wake huadhimisha siku iliyopata Uhuru huo kutoka kwa wakoloni weupe au weusi kwa shangwe kuu iliyotukuka , hii ni siku ambayo nchi husika husherehekea minyororo ya utumwa kukatwa , nchi zilizopambana kupata uhuru huo kwa vita , huwakumbuka mashujaa wao waliokufa kwenye mapambano ambayo hatimaye yalileta ukombozi wa kweli , kwa kifupi siku kama hii ni siku Tukufu .

Baada ya awamu ya 5 kuingia madarakani ilikuja na mpango tofauti wa kusherehekea siku hii , sherehe na shamrashamra zilizoambatana na gwaride pamoja na halaiki vilizimwa kwa maelezo ya kuokoa pesa ili kujazia maendeleo ya nchi , ikiwemo kujenga barabara kadhaa , hospitali na shule .

Sikuwa na mgogoro wowote na jambo hili kutokana na " uzito " wa sababu zilizoelezwa na wakubwa ili kuhalalisha mpango wao wa kutoadhimisha siku hii kama ilivyozoeleka , bali kilichonishangaza ni kuona mwaka huu yakifanyika maandalizi makubwa ambayo bila shaka yametumia gharama kubwa ili kufanikisha maadhimisho haya Jijini Mwanza , ambako karibu kila kiongozi wa Taasisi kubwa ndani ya nchi hii amehudhuria , tena kwa gharama kubwa mno !

Swali langu ni hili : Je kilichokwamisha sherehe hizi miaka yote hii sasa kimetatuliwa ?

Naomba kuwasilisha .
Erythrocyte, hizi ndizo hulka za dictators!
Kumbuka:
DICTATORS Emerge in a Social and Economic Context
 
Uhuru mnautaka serikali tatu hamtaki,tanganyika imewakosea nini ?
 
Kwa tafisiri rahisi kabisa nadhani leo ni maadhimisho ya siku ya 'Transition of power from WHITES TO BLACKS'
 
Nchi yeyote inayothamini Uhuru wake huadhimisha siku iliyopata Uhuru huo kutoka kwa wakoloni weupe au weusi kwa shangwe kuu iliyotukuka , hii ni siku ambayo nchi husika husherehekea minyororo ya utumwa kukatwa , nchi zilizopambana kupata uhuru huo kwa vita , huwakumbuka mashujaa wao waliokufa kwenye mapambano ambayo hatimaye yalileta ukombozi wa kweli , kwa kifupi siku kama hii ni siku Tukufu .

Baada ya awamu ya 5 kuingia madarakani ilikuja na mpango tofauti wa kusherehekea siku hii , sherehe na shamrashamra zilizoambatana na gwaride pamoja na halaiki vilizimwa kwa maelezo ya kuokoa pesa ili kujazia maendeleo ya nchi , ikiwemo kujenga barabara kadhaa , hospitali na shule .

Sikuwa na mgogoro wowote na jambo hili kutokana na " uzito " wa sababu zilizoelezwa na wakubwa ili kuhalalisha mpango wao wa kutoadhimisha siku hii kama ilivyozoeleka , bali kilichonishangaza ni kuona mwaka huu yakifanyika maandalizi makubwa ambayo bila shaka yametumia gharama kubwa ili kufanikisha maadhimisho haya Jijini Mwanza , ambako karibu kila kiongozi wa Taasisi kubwa ndani ya nchi hii amehudhuria , tena kwa gharama kubwa mno !

Swali langu ni hili : Je kilichokwamisha sherehe hizi miaka yote hii sasa kimetatuliwa ?

Naomba kuwasilisha .
Erythrocyte, wewe mchochezi kwa sababu sifa za wachochezi na waongo ni kupoteza kumbukumbu. Kwa taarifa mkuu
2015- sherehe hazikufanyika badala yake tulifanya usafi na pesa zake zikajenga barabara DSM.
2016- zikafanyika Dar
2017- zikafanyika Dar na ikatangazwa zijazo zitafanyika Dodoma
2018- zikafanyika Dodoma
2019- Mwanza
Naomba kuwakilisha mkuu na ufute kauli
 
Nchi yeyote inayothamini Uhuru wake huadhimisha siku iliyopata Uhuru huo kutoka kwa wakoloni weupe au weusi kwa shangwe kuu iliyotukuka , hii ni siku ambayo nchi husika husherehekea minyororo ya utumwa kukatwa , nchi zilizopambana kupata uhuru huo kwa vita , huwakumbuka mashujaa wao waliokufa kwenye mapambano ambayo hatimaye yalileta ukombozi wa kweli , kwa kifupi siku kama hii ni siku Tukufu .

Baada ya awamu ya 5 kuingia madarakani ilikuja na mpango tofauti wa kusherehekea siku hii , sherehe na shamrashamra zilizoambatana na gwaride pamoja na halaiki vilizimwa kwa maelezo ya kuokoa pesa ili kujazia maendeleo ya nchi , ikiwemo kujenga barabara kadhaa , hospitali na shule .

Sikuwa na mgogoro wowote na jambo hili kutokana na " uzito " wa sababu zilizoelezwa na wakubwa ili kuhalalisha mpango wao wa kutoadhimisha siku hii kama ilivyozoeleka , bali kilichonishangaza ni kuona mwaka huu yakifanyika maandalizi makubwa ambayo bila shaka yametumia gharama kubwa ili kufanikisha maadhimisho haya Jijini Mwanza , ambako karibu kila kiongozi wa Taasisi kubwa ndani ya nchi hii amehudhuria , tena kwa gharama kubwa mno !

Swali langu ni hili : Je kilichokwamisha sherehe hizi miaka yote hii sasa kimetatuliwa ?

Naomba kuwasilisha .

Tumemsikia Mzee wa kujimwambafy akidai mwaka 2015 aliokoa B4 shs akapanua barabara ya Mwenge~Morroco na B1 sherehe za Muungano 2017 kana kwamba hizo sherehe hazikuwa na umuhimu wowote…!
Tunataka atuambie leo ametumia gharama kiasi gani ili kuweka kumbkumbu sawa!
 
Nimefurahi rais kutupiliambali ombi la mbowe eti maridhiano , mbowe amalize kesi zake na mahakama ndio aje aombe
Amesababisha maafa leo anajifanya mwema akaozee jela

USSR
Mbona una hasira sana mkuu au ulitegemea kusikia Mbowe ameunga mkono juhudi na mategemeo yako yamezimika?
 
Tumemsikia Mzee wa kujimwambafy akidai mwaka 2015 aliokoa B4 shs akapanua barabara ya Mwenge~Morroco na B1 sherehe za Muungano 2017 kana kwamba hizo sherehe hazikuwa na umuhimu wowote…!
Tunataka atuambie leo ametumia gharama kiasi gani ili kuweka kumbkumbu sawa!
Alisikiliza malalamiko yaliyotaka pesa hizo za sherehe zisiokolewe!!
 
Japo sijamuona kikwete!!LAKINI LEO ulikuwa mpango wa kumsimika jiwe kugombea 2020!LOWASA KAMALIZA KABISA KAMPENI NDANI YA CHAMA!!hakuna sherehe wala nini!!!ile ni kampeni ya kuhalalisha udikteta nchini!!!POLE KIKWETE KWA KUTUINGIZA MKENGE!!!!
Kikwete alisha zila kushiriki sherehe za kitaifa ambako Rais magufuli ndiye atakuwa kinara; yeye anataka kwenda kwenye sehemu ambako atashangiliwa na kupata nafasi ya kutupa vijembe dhidi ya serikali kama vile kwenye maonyeshoa ya biashara. Sina uhakika na wala sina data zozote ila nina wasi wasi kuwa huenda tangu baada ya Magufuli kuapishwa, Kikwete hajawahi kuonekana kwenye sherehe za kitaifa pamoja na Magufuli, ni Mwinyi na Mkapa tu ambao ndio huwa wanahudhuria. Kama amewahi kuhudhuria huenda ni mara moja tu.
 
Back
Top Bottom