Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Neno la mfalme ndiyo sheria. Akiamua sherehe zifanyike zinafanyika. Akikataa hazifanyiki, na sababu anazijua yeye. Alishasema hapangiwi wala hajaribiwi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huwezi kujua mkuu , dunia duaraHuyo Membe Ikulu ataenda kupitia chama gani?
Nimefurahi rais kutupiliambali ombi la mbowe eti maridhiano , mbowe amalize kesi zake na mahakama ndio aje aombe
Amesababisha maafa leo anajifanya mwema akaozee jela
USSR
Hali ya uchumi kwa mwananchi mmoja mmoja ipo vipiNimefurahi rais kutupiliambali ombi la mbowe eti maridhiano , mbowe amalize kesi zake na mahakama ndio aje aombe
Amesababisha maafa leo anajifanya mwema akaozee jela
USSR
Erythrocyte, hizi ndizo hulka za dictators!Nchi yeyote inayothamini Uhuru wake huadhimisha siku iliyopata Uhuru huo kutoka kwa wakoloni weupe au weusi kwa shangwe kuu iliyotukuka , hii ni siku ambayo nchi husika husherehekea minyororo ya utumwa kukatwa , nchi zilizopambana kupata uhuru huo kwa vita , huwakumbuka mashujaa wao waliokufa kwenye mapambano ambayo hatimaye yalileta ukombozi wa kweli , kwa kifupi siku kama hii ni siku Tukufu .
Baada ya awamu ya 5 kuingia madarakani ilikuja na mpango tofauti wa kusherehekea siku hii , sherehe na shamrashamra zilizoambatana na gwaride pamoja na halaiki vilizimwa kwa maelezo ya kuokoa pesa ili kujazia maendeleo ya nchi , ikiwemo kujenga barabara kadhaa , hospitali na shule .
Sikuwa na mgogoro wowote na jambo hili kutokana na " uzito " wa sababu zilizoelezwa na wakubwa ili kuhalalisha mpango wao wa kutoadhimisha siku hii kama ilivyozoeleka , bali kilichonishangaza ni kuona mwaka huu yakifanyika maandalizi makubwa ambayo bila shaka yametumia gharama kubwa ili kufanikisha maadhimisho haya Jijini Mwanza , ambako karibu kila kiongozi wa Taasisi kubwa ndani ya nchi hii amehudhuria , tena kwa gharama kubwa mno !
Swali langu ni hili : Je kilichokwamisha sherehe hizi miaka yote hii sasa kimetatuliwa ?
Naomba kuwasilisha .
Nchi yeyote inayothamini Uhuru wake huadhimisha siku iliyopata Uhuru huo kutoka kwa wakoloni weupe au weusi kwa shangwe kuu iliyotukuka , hii ni siku ambayo nchi husika husherehekea minyororo ya utumwa kukatwa , nchi zilizopambana kupata uhuru huo kwa vita , huwakumbuka mashujaa wao waliokufa kwenye mapambano ambayo hatimaye yalileta ukombozi wa kweli , kwa kifupi siku kama hii ni siku Tukufu .

unayo hoja , maana kukweli kinachosherehekewa leo ni uhuru wa marehemu TanganyikaUhuru mnautaka serikali tatu hamtaki,tanganyika imewakosea nini ?
Erythrocyte, wewe mchochezi kwa sababu sifa za wachochezi na waongo ni kupoteza kumbukumbu. Kwa taarifa mkuuNchi yeyote inayothamini Uhuru wake huadhimisha siku iliyopata Uhuru huo kutoka kwa wakoloni weupe au weusi kwa shangwe kuu iliyotukuka , hii ni siku ambayo nchi husika husherehekea minyororo ya utumwa kukatwa , nchi zilizopambana kupata uhuru huo kwa vita , huwakumbuka mashujaa wao waliokufa kwenye mapambano ambayo hatimaye yalileta ukombozi wa kweli , kwa kifupi siku kama hii ni siku Tukufu .
Baada ya awamu ya 5 kuingia madarakani ilikuja na mpango tofauti wa kusherehekea siku hii , sherehe na shamrashamra zilizoambatana na gwaride pamoja na halaiki vilizimwa kwa maelezo ya kuokoa pesa ili kujazia maendeleo ya nchi , ikiwemo kujenga barabara kadhaa , hospitali na shule .
Sikuwa na mgogoro wowote na jambo hili kutokana na " uzito " wa sababu zilizoelezwa na wakubwa ili kuhalalisha mpango wao wa kutoadhimisha siku hii kama ilivyozoeleka , bali kilichonishangaza ni kuona mwaka huu yakifanyika maandalizi makubwa ambayo bila shaka yametumia gharama kubwa ili kufanikisha maadhimisho haya Jijini Mwanza , ambako karibu kila kiongozi wa Taasisi kubwa ndani ya nchi hii amehudhuria , tena kwa gharama kubwa mno !
Swali langu ni hili : Je kilichokwamisha sherehe hizi miaka yote hii sasa kimetatuliwa ?
Naomba kuwasilisha .
Kanyoosha mikono mwendo wa mateka....Kama macho umenyofolewa basi hata kupapasa umeshindwa ?
Nchi yeyote inayothamini Uhuru wake huadhimisha siku iliyopata Uhuru huo kutoka kwa wakoloni weupe au weusi kwa shangwe kuu iliyotukuka , hii ni siku ambayo nchi husika husherehekea minyororo ya utumwa kukatwa , nchi zilizopambana kupata uhuru huo kwa vita , huwakumbuka mashujaa wao waliokufa kwenye mapambano ambayo hatimaye yalileta ukombozi wa kweli , kwa kifupi siku kama hii ni siku Tukufu .
Baada ya awamu ya 5 kuingia madarakani ilikuja na mpango tofauti wa kusherehekea siku hii , sherehe na shamrashamra zilizoambatana na gwaride pamoja na halaiki vilizimwa kwa maelezo ya kuokoa pesa ili kujazia maendeleo ya nchi , ikiwemo kujenga barabara kadhaa , hospitali na shule .
Sikuwa na mgogoro wowote na jambo hili kutokana na " uzito " wa sababu zilizoelezwa na wakubwa ili kuhalalisha mpango wao wa kutoadhimisha siku hii kama ilivyozoeleka , bali kilichonishangaza ni kuona mwaka huu yakifanyika maandalizi makubwa ambayo bila shaka yametumia gharama kubwa ili kufanikisha maadhimisho haya Jijini Mwanza , ambako karibu kila kiongozi wa Taasisi kubwa ndani ya nchi hii amehudhuria , tena kwa gharama kubwa mno !
Swali langu ni hili : Je kilichokwamisha sherehe hizi miaka yote hii sasa kimetatuliwa ?
Naomba kuwasilisha .
Mbona una hasira sana mkuu au ulitegemea kusikia Mbowe ameunga mkono juhudi na mategemeo yako yamezimika?Nimefurahi rais kutupiliambali ombi la mbowe eti maridhiano , mbowe amalize kesi zake na mahakama ndio aje aombe
Amesababisha maafa leo anajifanya mwema akaozee jela
USSR
unayo hoja , maana kukweli kinachosherehekewa leo ni uhuru wa marehemu Tanganyika
Alisikiliza malalamiko yaliyotaka pesa hizo za sherehe zisiokolewe!!Tumemsikia Mzee wa kujimwambafy akidai mwaka 2015 aliokoa B4 shs akapanua barabara ya Mwenge~Morroco na B1 sherehe za Muungano 2017 kana kwamba hizo sherehe hazikuwa na umuhimu wowote…!
Tunataka atuambie leo ametumia gharama kiasi gani ili kuweka kumbkumbu sawa!
Kikwete alisha zila kushiriki sherehe za kitaifa ambako Rais magufuli ndiye atakuwa kinara; yeye anataka kwenda kwenye sehemu ambako atashangiliwa na kupata nafasi ya kutupa vijembe dhidi ya serikali kama vile kwenye maonyeshoa ya biashara. Sina uhakika na wala sina data zozote ila nina wasi wasi kuwa huenda tangu baada ya Magufuli kuapishwa, Kikwete hajawahi kuonekana kwenye sherehe za kitaifa pamoja na Magufuli, ni Mwinyi na Mkapa tu ambao ndio huwa wanahudhuria. Kama amewahi kuhudhuria huenda ni mara moja tu.Japo sijamuona kikwete!!LAKINI LEO ulikuwa mpango wa kumsimika jiwe kugombea 2020!LOWASA KAMALIZA KABISA KAMPENI NDANI YA CHAMA!!hakuna sherehe wala nini!!!ile ni kampeni ya kuhalalisha udikteta nchini!!!POLE KIKWETE KWA KUTUINGIZA MKENGE!!!!
Mtani ww ni nomaaMbowe kahutubia
Ww endelea kuka kwa shemeji yko tu
Hpo sebuleni
Ova
Dawa yake wazee wa ruangwa tu mpaka akimbilie msituniNeno la mfalme ndiyo sheria. Akiamua sherehe zifanyike zinafanyika. Akikataa hazifanyiki, na sababu anazijua yeye. Alishasema hapangiwi wala hajaribiwi.