Kilimanjaro: Ajinyonga hadi kufa kisa wivu wa kimapenzi

Kijana mmoja Anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 35 aitwae Henry amejinyonga hadi kufa kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Tukio hilo limetokea leo mchana Katika Kijiji cha Narumu huko katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.

Sababu Za kijana huyo kujinyonga hadi kufa ni baada ya mke wake wa ndoa ajulikanae kwa jina la Zuhura Luteri kuondoka na kwenda kujihusisha Kimapenzi Na wanaume wengine na hivyo alifanya kila jitihada za kumrudisha lakini zilishindikana.

Polisi wamefika kuchukua mwili na kuondoka nao Kwa ajili ya Uchunguzi. Kijana huyo alikuwa akiishi na mama yake mzazi na ameacha watoto wawili mwenye umri wa miaka 7 na mwingine ana umri wa miaka 5.

Mwenyekiti wa kijiji hicho Bwana Ismael Urassa amethibitisha kutokea Kwa tukio hilo.
luambo makiadi unaona ninayosema? Moshi sio poa siku hiz
 
Alichelewa kujinyonga mkubwa mzima unaishi kwa mama yako na mkeo.Ukila mzigo usiku mke anashindwa hata kujiachia.Mpumbavu huyo alikuwa anapenda vya dezo na nguvu za kiume hana demu kakutana na mashababi na wanaojielewa ikabidi agawe bure.Shemeji lazima afike msibani na kikao cha familia atakuwepo
 
Kijana mmoja Anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 35 aitwae Henry amejinyonga hadi kufa kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Tukio hilo limetokea leo mchana Katika Kijiji cha Narumu huko katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.

Sababu Za kijana huyo kujinyonga hadi kufa ni baada ya mke wake wa ndoa ajulikanae kwa jina la Zuhura Luteri kuondoka na kwenda kujihusisha Kimapenzi Na wanaume wengine na hivyo alifanya kila jitihada za kumrudisha lakini zilishindikana.
 
Kijana mmoja Anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 35 aitwae Henry amejinyonga hadi kufa kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Tukio hilo limetokea leo mchana Katika Kijiji cha Narumu huko katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.

Sababu Za kijana huyo kujinyonga hadi kufa ni baada ya mke wake wa ndoa ajulikanae kwa jina la Zuhura Luteri kuondoka na kwenda kujihusisha Kimapenzi Na wanaume wengine na hivyo alifanya kila jitihada za kumrudisha lakini zilishindikana.

Polisi wamefika kuchukua mwili na kuondoka nao Kwa ajili ya Uchunguzi. Kijana huyo alikuwa akiishi na mama yake mzazi na ameacha watoto wawili mwenye umri wa miaka 7 na mwingine ana umri wa miaka 5.

Mwenyekiti wa kijiji hicho Bwana Ismael Urassa amethibitisha kutokea Kwa tukio hilo.
Sasa mke na watoto anamwachia nani,haoni wivu wake hauna sababu tena,na aliyekuwa akimwone wivu kapata uhuru kamili1🤣
 
Sijaona kataa ndoa, hao jamaa wakataa ndoa itakuwa wamesambaratishwa. Turudi kwenye mada, inauma sana kusikia/kuona mkeo akigawa uroda kwingine huku mko nae. Isiwe taabu, siku hizi inabidi uwe na makandokando tu ili kupunguza wivi wa kimapenzi, hata ukisikia na kuona mkeo kanyanduliwa kwingine na wewe unaenda kwa makandokando yako kupotezea stress ili ngoma iwe droo.
 
Kwa haraka haraka anaweza akaonekana ni mjinga hana akili, lakini maumivu ya mapenzi yanahitaji akili ya ziada kuyahimili. Siwezi kumshangaa kabisa
kabsa hata mi huwa nashangaa mi Kuna jamaa yangu aliwekewa limbwata na hawara halafu hawala akamkataa unaweza kufikiria maumivu aliopitia Yani unalogwa umpende halafu anakutema bila kujua mashetani yake yanafanya kazi huku...
 
Back
Top Bottom