Kilimanjaro: Ajinyonga hadi kufa kisa wivu wa kimapenzi

Kijana mmoja Anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 35 aitwae Henry amejinyonga hadi kufa kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Tukio hilo limetokea leo mchana Katika Kijiji cha Narumu huko katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.

Sababu Za kijana huyo kujinyonga hadi kufa ni baada ya mke wake wa ndoa ajulikanae kwa jina la Zuhura Luteri kuondoka na kwenda kujihusisha Kimapenzi Na wanaume wengine na hivyo alifanya kila jitihada za kumrudisha lakini zilishindikana.

Polisi wamefika kuchukua mwili na kuondoka nao Kwa ajili ya Uchunguzi. Kijana huyo alikuwa akiishi na mama yake mzazi na ameacha watoto wawili mwenye umri wa miaka 7 na mwingine ana umri wa miaka 5.

Mwenyekiti wa kijiji hicho Bwana Ismael Urassa amethibitisha kutokea Kwa tukio hilo.
Nguvu ya mwanamke imemtafuna...
 
itoshe kusema marehemu alikuwa boya sana maaneeneer zake
 
kabsa hata mi huwa nashangaa mi Kuna jamaa yangu aliwekewa limbwata na hawara halafu hawala akamkataa unaweza kufikiria maumivu aliopitia Yani unalogwa umpende halafu anakutema bila kujua mashetani yake yanafanya kazi huku...
Maumivu ya mapenzi ni moja ya maumivu makubwa sana binadamu kuexperience. Anaebisha hajawai kupenda
 
Huenda ni Mhehe!
Kama angekuwa Mchaga angeua badala ya kujinyonga!
 
Safi sana, na bado watakufa mnooo.
Hadi akili iwakae, kunoga na padedee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom