Kilimanjaro: Ajinyonga hadi kufa kisa wivu wa kimapenzi

Kijana mmoja Anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 35 aitwae Henry amejinyonga hadi kufa kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Tukio hilo limetokea leo mchana Katika Kijiji cha Narumu huko katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.

Sababu Za kijana huyo kujinyonga hadi kufa ni baada ya mke wake wa ndoa ajulikanae kwa jina la Zuhura Luteri kuondoka na kwenda kujihusisha Kimapenzi Na wanaume wengine na hivyo alifanya kila jitihada za kumrudisha lakini zilishindikana.

Polisi wamefika kuchukua mwili na kuondoka nao Kwa ajili ya Uchunguzi. Kijana huyo alikuwa akiishi na mama yake mzazi na ameacha watoto wawili mwenye umri wa miaka 7 na mwingine ana umri wa miaka 5.

Mwenyekiti wa kijiji hicho Bwana Ismael Urassa amethibitisha kutokea Kwa tukio hilo.
Wanaume tupo katka vita kali mno sasa ona wanae kawaacha katka mazingira magumu Hawa mama Yao kishazoeq kudanga tu hajui kama vina mwisho
 
Kijana mmoja Anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 35 aitwae Henry amejinyonga hadi kufa kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Tukio hilo limetokea leo mchana Katika Kijiji cha Narumu huko katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.

Sababu Za kijana huyo kujinyonga hadi kufa ni baada ya mke wake wa ndoa ajulikanae kwa jina la Zuhura Luteri kuondoka na kwenda kujihusisha Kimapenzi Na wanaume wengine na hivyo alifanya kila jitihada za kumrudisha lakini zilishindikana.

Polisi wamefika kuchukua mwili na kuondoka nao Kwa ajili ya Uchunguzi. Kijana huyo alikuwa akiishi na mama yake mzazi na ameacha watoto wawili mwenye umri wa miaka 7 na mwingine ana umri wa miaka 5.

Mwenyekiti wa kijiji hicho Bwana Ismael Urassa amethibitisha kutokea Kwa tukio hilo.
35 Unaishi na mama hapo lazima mke akukimbie
 
Alikuwa anaishi na mama yake au kwa mama yake?
 
Back
Top Bottom