young solicitor
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 1,123
- 713
✊hell yes to free market economy acha soko lenyewe lijiendeshe atakayeshindwa ku compete afee.Abiria ndio ataamua apande treni, basi, bajaji, bodaboda au atembee kwa miguu hadi Arusha.
Acha mlaji/mtumiaji/abiria ndio aamue.
Sijawahi ona KLM wapo rough.Buses wako rough. Kinachowazuia mchana ni uwepo wa Askari wengi na tochi. Sasa usiku watakuwa huru kucheza rafu zao unafikiri madhara hayatakuwepo? Mabasi mengi yanaendeshwa na machizi fresh hawajali watumiaji wengine hasa wenye magari madogo.
Hapa tunazungumzia mabasi kusafiri usiku. Sio KLM.Sijawahi ona KLM wapo rough.
Labda kampuni nyingine.
KLM ni moja ya kampuni ya mabasi ambao wameanza safari za usiku.Hapa tunazungumzia mabasi kusafiri usiku. Sio KLM.
Mkuu rudisha avatar picha yako ya Michael Jackson thrillerDodoma ndio ilikuwa moja ya chanzo za safari za usiku kufutwa...
Mbona vipoKwa wachaga uko wakiuza na mvinyo itapendeza,ishu ni kuchimba dawa,wangekua na vyoo kama Scandinavia enzi hizi,ingependeza zaidi
Apo safi kabisa,na kamziki lini,ukiwa na mtoto mzuri pembeniMbona vipo
Kama umeamua kubishana sawa. Nazungumzia mabasi in general. Si ya kaskazini wala nyanda za juu,most buses ziko rough.KLM ni moja ya kampuni ya mabasi ambao wameanza safari za usiku.
Sio kila basi linaendeshwa rough.
Mengi ni yanayoenda nyanda za juu kusini na kanda ya ziwa ndo yapo rough sana.
Kaskazini wastaarabu kidogo.
Zamani ndio ilivyokuwa.. tena barabara zikiwa zimejaa pot holes za kutosha, vumbi la kutosha, speed 70 to 80 km/h .Siku ikifika imefika tu. Hata kama ulisimama dukani kwa Mangi, kuna dereva mmoja tu break zitafail atakuparamia.
Ya Dar - Arusha? Watamwaga Wami au? Acha kuwa na mawazo hasi babu
Wenye Guest lazima watahujumu safari za usiku, maana wateja wao watapunguwa sana na wao kupata faida kiduchu!!Unaondoka saa 2 usiku saa mbili asubuhi unafika. Unafanya shughuli zako jioni unageuza tena.
Wenye Guest house watapata tabu sana. Usingizi tutamalizia kwenye basi.
Watanzania wengi sana hawajui nini maana ya soko huria!!Abiria ndio ataamua apande treni, basi, bajaji, bodaboda au atembee kwa miguu hadi Arusha.
Acha mlaji/mtumiaji/abiria ndio aamue.
Coaster Mahakama ya ndizi pale elfu 20 kwenda moshi, ndio usafiri wangu mimi.Mbona hiyo ruti safari za usiku zipo siku nyingi. Wanaita hakuna kulala.
zipoKuna hii ruti ya dar mbeya nayo ni muhimu sana kuwe na basi za usiku